Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 969
- 1,697
Gent,s
Tutajua baada ya timbwili hiyo 7/7 kama yasemwayo yapo tutajua nan? Anaongoza
Wamaji walichapwa sana na Mh.. mwenda zake, wa awamu ya 3, aliwanyoosha kweli kweli bwana yule na wao waliweka moyoni tu na kujiuliza lini watalipiza kisasi
Si wakajipindua na kujisahaulisha wannchi kavu wakataka kuandamana 0mbilitisa , wamaji wakasema waache hawa wamejifanya wamesahau walivyotunyoosha kipindi kile, wakawa wanawaombea dua msighairi kuandamana mkajiroga mkaandamana , wakawanyoosha kisawa sawa, kisasi ni haki Kikaenda sawa wakawa wamelipiza
Sasa ni moja moja, inasubiriwa mtu ajichanganye apigwe la pili, waandamanaji wakiwaweza wanakuwa wa nchikavu wanaongoza mbili ikitokea wakiandamana na wannchi kavu wakidundwa wanamaji wanakuwa wanaongoza wao mbili moja
Mtanange utakuaje hiyo 7/7
Nitasikitika sana baadhi ya I’d zikiwa hazipo active baada ya maandamano itaniuma sana aisee, tumewazoea ila mapambano ni muhimu sana