Free Tanzania - Maandamano 7/7

Free Tanzania - Maandamano 7/7

Matovu Godfrey

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
949
Reaction score
639
Join #MariaXSpaces 📍 🇹🇿
HK24S30XYAAU9oX.jpg

Leo #MariaSpaces tunajadili: 7/7 Maandamano nchi nzima - tupo tayari au maneno tu?
Maandamano yametangazwa na madai ni #FreeTunduLissu #Haki za #MO29, #KatibaMpya #SamiaMustGo
Na hadi polisi wameanza kuandamana! Je tuko tayari kwa vitendo au maneno tu? Leo saa 2 uck
HK1TZPQWgAA3EFL.jpg

#tanzania #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #SamiaMustGo #StopAbductionsTz #FreeTunduLissu
 
Join #MariaXSpaces 📍 🇹🇿
View attachment 3608568

View attachment 3608569
#tanzania #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #SamiaMustGo #StopAbductionsTz #FreeTunduLissu
Huyo Maria Sarungi na yeye atakuja road au ndo keshawatuma nyie?
 
Unyanyue vizuri ili wakufirimbe vizuri.. Upanue labisa.. Ukiona wafirimbaji unawashwa? Nyanyua hata sasa
Nyumbu una hamu ya kufirwaa, si mchezo. Inaonekana Kuna kakitu kanakunyegesha huko topeni kwako na haraka umedhamiria mkuyenge (wangese wangese kama wewe huita 'magic stick') wangu ndiyo uje kukufokoa. Aisee hilo lishimo lako linaonekana ni chafu mno, silihitaji. Mpelekee lissu segerea huko, Hana chaguo anaweza akakufokoa tu......kama Bado hajafokolewa lakini.
 
Join #MariaXSpaces 📍 🇹🇿
View attachment 3608568

Leo #MariaSpaces tunajadili: 7/7 Maandamano nchi nzima - tupo tayari au maneno tu?
Maandamano yametangazwa na madai ni #FreeTunduLissu #Haki za #MO29, #KatibaMpya #SamiaMustGo
Na hadi polisi wameanza kuandamana! Je tuko tayari kwa vitendo au maneno tu? Leo saa 2 uck
View attachment 3608569
#tanzania #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #SamiaMustGo #StopAbductionsTz #FreeTunduLissu
Ndio, mpaka kieleweke!
 
Naunga mkono maandamano ila nafikiri safari hii wabadilishe mbinu, ile CHOMA CHOMA haijakaa vizuri sana.

Siku zote Waoga ndio huwazika Mashujaa, na Nchi huwa haikombolewi na kundi kubwa la watu.

Kuandamana ni HAKI, na Kutoandamana pia ni HAKI, hivyo tusikatane vidole kwa wale ambao mtajitokeza kuandamana, acheni na wengine watumie haki zao kisawasawa, ndio DEMOKRASIA.

Wote hatuwezi kuwa Majasiri, na vilevile wote hatuwezi kuwa Waoga, kama unajiona ni Muoga basi tuliza mshono na uwaache Majasiri wakupiganie kwa niaba, Usiwakatishe tamaa wala kuwavunja Moyo, Just relax and Enjoy the Show.

Kutaka anayehimiza maandamano nayeye awepo kuandamana ili eti nawewe ndio ujitokeze, huo ni UKONDOO, ni tafsiri kuwa hujui unachofanya ila unafuata mkumbo hivyo ni bora ubakie nyumbani na familia yako, Ujiinga wako utakuokoa.

UOGA pia huwa ni njia ya kujilinda, kama ambavyo Jasiri anapambana na Simba, vilevile hata anayekimbia akilia kwa sauti nae anapambana kwa style yake, Lengo ni moja ila njia ni tofauti.

Kila la kheri kwa wale watakaojitokeza kupambania Taifa letu.

Ukweli usiopingika ni kwamba Tanzania inahitaji UKOMBOZI.

Be a Man, Stay Taliban.
 
Back
Top Bottom