maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya maandamano 2026

    Ya sabasaba yamepita bila watu wengi kuandamana kutokana na nguvu kubwa ya ulinzi iliyotumika kudhibiti maandamano Siku ya 7/7 ilitawaliwa na ukimya wa kutisha Barabara zilikuwa tupu Biashara asilimia 99 zilikuwa zimefungwa Watanganyika kwa asilimia 90 hawakutoka majumbani, kitu ambacho si...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Dangote aichagua Kenya badala ya Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta

    Kampuni ya Dangote (Dangote Industries Limited) imetangaza mpango wa kujenga mtambo mkubwa wa kusafisha mafuta nchini Kenya utakaokuwa na uwezo wa kuchakata pipa 700,000 kwa siku Mabadiliko ya kutoka Tanga kwenda Kenya Mradi huu unakuja kufuatia taarifa za awali za Rais wa Kampuni hiyo, Aliko...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Vyama vya siasa ndio vipewe haki ya kuitisha maandamano kwa uwajibikaji na matokeo ya maandamano

    Kwako , Rais wetu Dkt. Samia Suluhu na Serikali kwa ujumla, Nakusalimu kwa jina la JMT, Nina ushauri wa kudhibiti hali ya tishio la maandamano la mara kwa mara. Katika matishio hayo inavyoonekana kwa nje , wananchi ndio wanayoratibu na wanayataka wao lakini ukweli ni kwamba maandamano hayo...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Ubungo wachangishwa hela ya ulizi wa maandamano 7 7

  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania RPCs, OCDs, maRCs na maDCs wametumia uwepo wa maandamano ya 77 kutapeli wafanyabiashara mamilioni ya pesa eti ili biashara zao zilindwe 24hrs!

    Anaandika Hilda Newtown kutoka ukurasa wake wa X-TWITTER... ================== Baada ya Gen-Z kutangaza Maandamano ya Amani ya 7/7 #77Tunatoka. Sasa maandamano haya kwa MaRPC na Wakuu wa Wilaya nchini, wao wakaigeuza kuwa fursa ya kutapeli Wafanyabiasha wenye Maduka pamoja na wamiliki wa Petrol...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hakuna maandamano haramu yatayokafanikiwa tena Tanzania

    Unaweza kuthibitisha mwenyewe kwamba wajinga waliisha Tanzania. Hayupo mTanzania atakae kubali tena kujitokeza barabara kupiga mayowe kama mwendawazimu, kopora mali za wengine, kuharibu miundombinu, makazi au ofisi za umma, kumuumiza au kumuua mTanzania mwingine kwa niaba, faida au manufaa ya...
  7. passioner255

    JamiiForums Tanzania Maandamano yamefanikiwa

    The fact that maandamano yameleta usumbufu wa kisaikologia kwa watawala ni ushahidi kuwa watawala hawa waovu wanakosa utulivu na wametingishwa.tunajua kabla ya siku ya leo kila kiongozi wa serikali hii alitoa Tamko. Lakini tujiulize haya mambo yataendelea hadi lini?hii ni zao la nchi kuendeshwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amefanikiwa Kugusa Maisha ya Watu Na Mahitaji ya Mioyo yao na ndio Maana Hakuna Mtanzania Mwenye Kuunga Mkono Maandamano

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania wa Leo chini ya Uongozi Thabiti na Madhubuti Wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan hawawezi kukuelewa wala kukuunga Mkono wala kukusikiliza wala kuwa nyuma Yako ukiwaambia habari za kuandamana...
  9. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Sioni umuhimu wa maandamano

    Kila mtu atafute hela yake, mwanasiasa hawezi kukuletea pesa ya kula. Vijana pambaneni, mnatumiwa na wanasiasa kupigania nafasi zao
  10. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Leo ni Kama Tufanyapo Uchaguzi, Anayeshinda X Anatangazwa Y. Leo Maandamano Wamealikwa Wengine Wanaandamana Polisi!

    Kuna mambo yanaendelea ni ya kushangaza, Sasa ona Leo hata kazi za ujenzi wa taifa na uchumi wa individuals hazijafanyika kisa Waandamanaji wamealikana wao wenyewe lakini walioandamana na kwa gharama kubwa ni askari wetu. Hii tabia Sasa inajirufia sana, uchaguzi nao tumekuwa na tabia hii ya...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini huwa kinawasukuma watu wa kawaida kwenda kwenye maandamano ya timu za michezo?

    Katika vitu ambavyo huwa sijawahi kuvielewa ni mtu wa kawaida tena mvuja jasho tu kufunga safari kwenda kwenye maandamano ya timu ya mpira au paredi akitumia muda wake na gharama zake mwenyewe, Sijawahi kuelewa wanafaidika nini na maandamano kama hayo, michezo kuna namna fulani huwa inawafanya...
  12. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamechagua amani badala ya vurugu: Wanaharakati wa maandamano wameshindwa

    Leo, tarehe 7 Julai 2026, Jiji la Dar es Salaam limeshuhudia mtihani mzito wa kisaikolojia baada ya barabara kuu kuwa tupu na maduka mengi kufungwa, kufuatia hofu ya maandamano yaliyohamasishwa na wanaharakati lakini yakapigwa marufuku na serikali. Hatua hii ya serikali ililenga kuzuia ghasia na...
  13. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Maandamano yanaweza yasitokee,ila wafanyabiashara wengi watapata hasara

    Nipo viwanja vya sabasaba hapa Dar,polisi wametanda wengi sana nje na magari yao na majibwa ndani 95% nawaona ni wahudumu tu ,kupita getini unapekuliwa sana hasa ukiwa kijana kama mm sema mimi nimevaa kwa code ngumu na sina chochote. Bado sijaona mobilization kwa sasa mpaka nipate uhakika wa...
  14. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tunatangaza tarehe 8/8 kutakuwa na maandamano makubwa sana ambayo hayajapata kutokea

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Leo tumewaachia police Tukutane barabaran tarehe 8/8 LONDON BOY
  15. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii, waandaaji wa Maandamano wameshinda kwa 100%

    Leo hii ilitangazwa kuwa itakuwa ni siku ya maandamano nchi mzima. Huyo admin wa hayo maandamano inaonekana anatumia akili nyingi sana huku akiiacha serikali ikiandaa ulizi wakidhania watakutana na waandamanaji barabarani. Leo hii hakuna makundi ya waandamanaji barabarani lkn pia hakuna...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mpaka Kenya nako polisi wametanda wakiogopa maandamano

    Leo hapa Nairobi nako maduka yamefungwa na polisi wametanda. Ina maana lugha moja inaanza kutawala kwa wananchi.
  17. F

    JamiiForums Tanzania Serikali bado haijaelewa maana ya maandamano siku hizi. Serikali itatue kero za waandamanaji

    Maandamano yamefanyika tayari na kwa mafanikio makubwa huku serikali ikisambaza vyombo vya ulinzi kuyazuia! Ni vizuri serikali ikatambua kuwa maandamano siku hizi hayamaanishi watu kukusanyika mitaani. Ni vizuri watawala wakatatua kero za wananchi kuliko kutumia nguvu nyingi kuzuia maandamano.
  18. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Serekali yetu ni lazima itafute,ishughulikie vyanzo vyote vinavyoanzisha maandamano

    Hakika hakika, Taifa letu litachezewa sana,serekali yetu ione jinsi ya kudeal kikamilifu,na huu ujinga,ona shughuli Kariakoo zinaendelea kwa unyonge sana,watu wanajawa hofu, what's this kisa,matarumbeta ya akina maria na mange,.. Kuomba mawazo kwa Rais Kagame sio jambo baya he know well on how...
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa maandamano 7/7

    Tunaanzia wapi wazee
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kesho, wachochezi, wafaddhili wao, na wafuata mkumbo wa maandamano haramu ya fujo na ghasia, wataishia kutukana na kuporomosha matusi tu mitandaoni

    Kwasababu hicho ndicho wanachoweza kufanya watu hao clueless, rudderless na planless, wanaotumwa na mabwenyenye ya magharibi kupitia vibaraka wao humu nchini. Na matusi hayo yatatokana na waTanzania kuwapuuza na kudinda kubebwa ufala wa kifikra na kukataa kudanganywa kilofa lofa tu, eti...
Back
Top Bottom