maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Novena maana yake mgomo. Wakatoliki tuko kwenye mgomo. Mungu asihusishwe kabisa mana hasikii sala za wenye hasira (unafiki)

    Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never. Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
  2. Tarehe yako ya kuzaliwa na maana yake

    TAREHE YAKO YA KUZALIWA NA MAANA YAKE. Hizi ni tabia za kilamtu kulingana na tarehe aliyo zaliwa kuanzia tarehe moja hadi 30. Terehe 31 tunaihesabu sawa na tarehe moja. 01. Mtu alie zaliwa tarehe 1 atakua ni mtu wa bahati sana na maisha yake ni marefu. 02. Mtu alie zaliwa tarehe 2...
  3. Tafadhali sana, kama hujui maana ya siasa usiandike mada za kisiasa!

    Within the interminably oscillating palimpsest of this terrestrial concatenation, where vicissitudes writhe in kaleidoscopic infinitude and temporality itself submits to recursive aberration, there subsists an anomaly of such preternatural incongruity that the multitudes, loquacious to the point...
  4. Umeshawahi kutana na koboko(black mamba), uliescape vipi maana huyu sio wa mchezo

    kwa upande wangu sikawahi kutana nae ila nisikia ni hatare sana na wanasema sana sana anptkn Tabora, kanda ya ziwa ,Dodoma na Mbeya Kama ushawahi kutana nae share nasi tujifunze😁
  5. Je, wamjua aliyemchangia Samia Sh. Bilioni 10 aingie IKULU? Mama unaingia IKULU (mahala patakatifu) kwa fedha chafu(?)

    Nina uhakika mama umelala, ila mwenzako sijalala nalitumikia taifa, mama je WAMJUA yule kijana aliyekupa bilioni 10 ili uingie IKULU? Kama humjui, lile faili ndioooo yeye - lipo MEZANI kwako ukitaka lisome; hutaki - acha!
  6. Kuota unadumbukia kwenye shimo lisilo na mwisho maana ake n nini ??

    Naombeni kujuA hv kuota unadondokea kwenye shimo refu maana ake ni nin ??
  7. Wengi wetu humu JF tunaunga unga sana ni basi tu maandishi yanatufanya tuonekane wamoto na sio kitu kibaya maana tunakuja kupunguza stress humu

    Kuna wakati nilijua kila mwana JF anaendesha crown na harrier. Mkate wananua mlimani mall tu Pia nilijua kila demu ni slay queen na matipwa tipwa, Nilijuaga members wote humu wamesoma zile shule za "dont touch me" maana majina yao karibia wote ni ya lugha ya malkia elizabeth. Nilijihisi niko...
  8. Drug abuse: Dawa za kulevya, maana yake, aina zake, vyanzo vya kutumia dawa za kulevya, madhara yake na ufumbuzi wake

    NB: lengo la ujumbe ni kutoa elimu kwa wasomaji sio kutoa tiba kwa muathirika wa dawa za kulevya. Kwa muathirika wa dawa za kulevya anatakiwa kufika katika hospitali au vituo vya afya vyenye kutoa huduma hiyo. Drug Abuse ni kutumia dawa za kulevya au kemikali kwa njia isiyo sahihi, mara nyingi...
  9. Mifano inayoweza kuleta maana pale unapo linganisha dunia na ulimwengu

    Mfano wangu wa kuilinganisha dunia na ulimwengu. Tuseme umebeba mzigo ambao unauzito wa ulimwengu wote halafu kwenye kutembea ukaidondosha dunia. Basi hauta hisi kama umepoteza chochote atakama utaenda kupima kwenye mzani wenye sensors za kisasa bado hauwezi kugungua tofauti yoyote kama...
  10. Kuna wanawake wanaosema bora kimoja cha maana kuliko vingi vya kuchoshana. Je kuna ukweli hapa?

    Habari, Hii ni kauli nimeipata kwa mwanamke zaidi ya mmoja wakisema kuna wanaume wanaweza kupiga kimoja cha maana wakatosheka kuliko zaidi ya vitatu tunavyovitolea jasho. Je ni kweli?
  11. Ndo maana wanaume tunakufa haraka imagine Kuna mtu alikuwa haamini Kama uchaguzi upo haamini October tunatiki ndugu yangu unajipa kisukari bure

    Wanaume huwa tuna ubishi wa kitoto sana, huku tunajua kuwa kila kiongoz anaapa kuilinda Katiba ya JMT lakini bado Kuna mwanaume anajidanganya moyoni mwake eti oooh hakuna uchaguzi, oooh form haitachukuliwa Kama ulikuwa na fikra Kama hizi ujue ww ni mgonjwa tayari. Haya Taifa lipo na slogan ya...
  12. Siwezi walaumu kopola na mkewe, maana tofaut na watu weng, wana uthubutu wa kupambania fursa, fursa iliopo mbele yao ya watu wa imani za kufikirika

    Kama mkewe angekuwa katika kongmano huko amsterdam, basi angewaambia wazungu kuwa mume wake alimuomba Mungu ili afike salama mahali pa kuchukulia gesi maana muda ulikuwa ni giza kali usiku na alifika salama. Ila kwa sababu amekaa na wenzake ambao amezoea kula pesa zao kwa mazigaombwe basi acha...
  13. Kushangilia kifo cha Ayubu hakumuudhi wala kumkera Belshaza, maana Ayubu hakuwa mtu wake

    Nimeona wananchi wengi wakishangilia kifo Cha Ayubu (Job) Kama njia ya kumkera na kumuudhi Belshaza (Mtawala). Niwakumbushe kuwa hata huyo Ayubu alijiuzuru kwenye nafasi yake baada ya kukosana na Belshaza. Kwahiyo tangu hapo Ayubu na Belshaza hawakupikika chungu kimoja. Kwahiyo kushangilia...
  14. Ndiyo maana IDF inaitwa The Most Moral Military Army in the Planet

    Huko Ramallah tunaona "raia wasio na hatia" wakishambulia jeep ya IDF kwa mawe. Huwezi kuona kwenye Jeshi lolote duniani wanavumilia upuuzi kama huu!!! Ni IDF tu wanaweza kukuvumilia kwingine kitakachofuata utajuta mwenyewe!!
  15. Rais anasikitika wananchi wanafurah hii Ina maana Gani kwa Rais, naomba wakamatwe wote mpaka tuzike ndo watoke rumande

    Nauliza hivi kweli Rais anauzunika ANALIA wananchi mnaruka ruka mna adabu nyie kweli? Nafahamu Pascally Mayalla na Proffesa Mussa Assad mnafurah ila ndo mkodi mziki? Naomba mwekwe ndani mpaka azikwe.
  16. Nini Maana ya Chama Cha Mapinduzi?

    Tumelelewa na Chama Cha Mapinduzi lakini hatujui maana yake,Chama kigumu kutoka madarakani lakini tunaendelea kuimba demokrasia,je Chama cha Mapinduzi ni nini? Katiba ya Chama Cha Mapinduzi inasema hiki ni Chama Cha Ujamaa,Je nini Maana ya Ujamaa!? Katiba ya CCM inasema Chama Cha Mapinduzi ni...
  17. Tanga ni chimbo la CCM lakini hakuna cha maana kitu kutoka CCM

    Nimegundua kitu kimoja muhimu. Mikoa yote ambayo CCM imetamalaki majimbo yote kwa 100%, sio kipaumbele cha serikali kwenye kupeleka na kumaliza miradi ya maendeleo kulinganisha na mikoa ambayo wapinzani wameshika baadhi ya majimbo ya mikoa hiyo. Mifano ni mingi sana. Kwanini imekuwa hivyo?
  18. Wiki hii ndio nimejua maana halisi ya neno "WAHUNI"

    Polepole alianza kutamka neno hili "wahuni" kitambo sana, ila watu tulikuwa hatujamwelewa. sasa, naelewa, wahuni ni nani na ameanza kupambana nao lini.
  19. GE2025 Nimetonywa: Mauzi kumfuata wa Kisesa, labda muandika Majina ya vita Kagera amalize mchezo maana dada Kaitwa

    Dada mtu kaitwa kwa Bwana mkubwa muandika Majina ya waenda vita ya Kagera hapo pembeni baada ya kusikia Kaka na Baba wana afiki kabisa Jamaa kutua kwenye usajili Mpya ! Kuna taarifa kwamba atahakikisha anakinukisha japo naye ananuka Kesho Saa tano Mpaka kumi kwaweza kuwapo Breaking Nyuziiii...
  20. Mithali 1612 Wafalme wakitenda yasiyo haki ni chukizo; Maana kiti cha enzi huthibitika kwa haki

    ……… Kwa manufaa yake wenyewe siyo Umma Britanicca
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…