maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Je, na zile Daladala na Bajaji Ambazo Tayari Zimebadilishwa Mfumo Kutumia Gesi ya CNG Nazo Zinaongeza Nauli? Maana Kg 1 ya CNG ni Sawa na TZS 1550

    Je zile Daladala na Bajaji Ambazo Tayari Zimebadilishwa Mfumo Kutumia Gesi ya CNG nazo Zinaongeza Nauli? Maana Kg 1 ya CNG Ambayo ni Sawa na Lita 1 ya Petroli/Dizeli ni TZS 1550 tu. Kufuatia kuongezeka kwa bei za mafuta katika soko la kimataifa, hali hii mara nyingi husababisha ongezeko la...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Demokrasia kwa tajiri maana yake ni kumnyonya mwananchi wa kawaida sio kuwa na utawala wa sheria

    Matajiri wote wanaopigania demokrasia maana yake wawe na uhuru wa kupanga bei za bidhaa bila hata kuangalia mnyororo wa udhalishaji. Moja wapo ya njia hizo ni kutengeneza cartels. Matajiri wanakubalia bei ya soko ili kusiwe na ushindani makampuni ya mtandao ya simu ni mfano mzuri.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ndoto hii?

    Nimeota niko ndani ya nyumba nimefungiwa siwezi kutoka yani kifupi nimetekwa lakni nilikuwa natafuta kila siku njia ya kutoroka nakosa lakini akaja mgeni ndani kumbe hajui kama nimetekwa pale Basi nikamuomba anifungulie mlango nilisingizia kuna mtu ananiita nje baada ya kunifungulia nikaanza...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Hamna kipindi ambacho wanajeshi halisi wanakifurahia kama wakati wa vita maana ndo wakati wa kuonyesha ujuzi wao kiuhalisia

    Hii ni Siri lakini ndo ukweli Nilipata stori ya mjeda anasema hamna kitu Cha hazuni Kwa wanajeshi kama kukuta JINA lako halijapangwa kwenda vitani wakati wa vita. Sasa hii furaha zaidi Kwa majeshi yenye uwezo kama Marekani mjeda anatamani hata kutoa chochote apangwe vitani. Sio madili ya...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukichunguza deeply, unakuja kugundua hata wasioamini katika Mungu wana roho nzuri kuliko hawa fanatics wanaojitapa kumjua Mungu vizuri

    Ninaamini katika Mungu wa chanzo na balance ya uwepo huu duniani na beyond ila siamini katika idea ya Mungu iliotangazwa karne na karne maana imekuwa twisted na mis-interpreted Idea ya Mungu inayoeleweka sawa sawa na wanadamu inatembea sambamba na mambo ya kufikirika, yasioeleweka na yasio na...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kubanangwa, kubagazwa na kutinganywa bila huruma maana yake nini?

    Habari? Leo nimetoa haya maneno ! Nikaamka usingizini fasta! Lakini sijaelewa maana yake .Naomba anayeweza kunisaidia tafsiri yake. Uzi tayari.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola

    Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola . Yaani wameshidwa kushindana kwa hoja za maendeleo na makada na viongozi wengi hawana vipaji vya kushinda kwa hoja. Kingine wamempa nguvu sana mwenyekiti kiasi kwamba sasa wanawekwa machawa na ndugu watupu na kwasababu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Maji - Mtaa wa Kanisa la Hija, Pugu

    Mamlaka husika ishughulikie maana bili ya maji inakuja tunalipa lakini huduma ya maji ni ya kuvizia. Maji yanatoka dakika kumi mpaka tano yanakata. Na mamlaka husika zinalijua hili, tunaomba DAWASA walifanyie kazi tumechoka.
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Dkt. Gwajima amesema Kumusahau Polepole Ni Ngumu Maana Alikuwa Rafiki wa Kweli

  10. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ndio maana mnaambiwa brand ni muhimu kwa mafanikio yako. Hebu imagine kila mtu anamjua huyu ni nani!!

    Umeshamjua huyu ni nani?😂😂
  11. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Chuki isiyo na sababu/msingi ni sawa sawa na uchawi

    CHUKI NI TUNDA LA UCHAWI Awali ya yote leo sikujisikia kabisa kuandika kitu chochote ila nimeona ngoja niandike. Sio mtu wa kuandika na sio muandikaji mzuri. Ila tuvumiliane. Zingatia mambo yafuatayo : a. Chuki isiyo na sababu ni bure kabisa ni sawa kufukuza upepo. b. Ili uchukie lazima uwe...
  12. Desierto

    JamiiForums Tanzania Haya maneno yapo kwenye nyimbo nyingi je yana maana gani?

    Kwenye nyimbo za kizungu, kibongo,nk. Je? Yana maana gani? Na chimbuko lake ni wapi?
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali ipongezwe kwa kuongeza Mabasi Mwendokasi ruti ya Kimara tena yasiyo na rangi ya kijani maana Ruti hiyo haipendezwi na rangi ya kijani

    Hamjambo wote! 1. Mapema wiki hizi kumekuwa na ongezeko la mabasi ya Mwendokasi Ruti ya Kimara Mbezi. 2. Mabasi ni mapya na mazuri. 3. Kiyoyozi na WiFi kama zote. Password utajua pakuipata. 4. Serikali kwa hilo ipongezwe kwa sababu kama yakiwa hayapo watu wanalalamika na kukosoa. Basi yakiwepo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba wa Ndoa, Mimi siyo Mtu wa kujichanganya sana na watu huko Mitaani ndiyo maana nimeleta hoja zangu hapa

    Habari wanajamii, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi. Kwa ufupi kuhusu mimi: Urefu: sentimita 185 Muonekano: Mwembamba, mweusi Mtindo wa maisha: Baada ya majukumu ya siku...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya umeme Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni

    Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
  16. Morning Joy Motors

    JamiiForums Tanzania Je , wajua maana ya taa za viashiria hivi kwenye dashboard ya gari yako na rangi hizi zinavyomaanisha.? Soma hapa tumekuwekea ufafanuzi.

    Kikawaida kuna rangi tatu za taa kwenye dashboard ya gari yako. Rangi hizi standard : red, orange, na green. Zingatia kwamba green wakati mwingine huwa ni blue, inategemea na aina ya gari uliyonayo ila haibadilishi maana halisi ya ka,zi yake ni kama tu vile huwa magari mengine symbol ya...
  17. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Kila upande moto unashuka,hivyo tuseme haina maana kuwa na vipangua makombora??

    Miaka mingi tulikuwa tukihabarisha kwamba kila mtu ana mitambo ya kujilinda,wapo waliotolea mfano nchi ya ahadi hata ukitupa jiwe haliwezi kufika kwenye ardhi yao,yaan linapanguliwa juu kwa juu. Huku baba wa dunia akisema yeye ndio kiboko wa mitambo ya kudungulia takataka zote zinazoelekezwa...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wabobevu wa maandiko ni nini maana ya kuwa mwilini mmoja?(Mwanzo 2:24)

    Mwanzo 2:24 [24]Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh. Nimeweke na tafsiri ya kiingereza ili ilete maana yenye...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wairan wanafurahia msaada wanaopewa, Wanafurahia viongozi wao kuuawa, Ina maana sisi wengine ndio tunaijua Iran kuliko raia wa Irani ?

    Nimebaini kuwa kuna kundi kubwa la watu wanaoegemea upande wa serikali ya Iran, huku wakipuuza au kutozingatia kwa kina matakwa ya sehemu kubwa ya raia wa Iran wenyewe. Serikali imenyanyasa sana wairan ikiwemo tukio la kikatili la kuzima internet na kuua wairan zaidi ya elf 40, huku baadhi ya...
  20. Red black

    JamiiForums Tanzania Huu uzikaji wa white people uko poa sana watu 10 wanamaliza msiba kabisa.

Back
Top Bottom