Waliona namna watu walivyokuwa confused toka utotoni na mambo ya kufikirika na pia wakaangalia ni namna gani mtu mwenye msongo na confusion anapenda maneno ya faraja
Waka combine hivo vyote lakini ili kuongeza kuaminiwa zaidi inabidi wajipatie title, sasa ndo maana kila mmoja wao either ajiite...
Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji.
Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo;
1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo...
Mara kadhaa nimekuwa nikiwaambia Wazanzibari (Hasa watoto wa hapa Forodhani) na sasa vijana wa kitanzania kwa ujumla wake
Yale mambo baadhi ya vijana watamba nayo eti kuzaliwa maeneo ya Forodhani, Kariakoo, Ilala, Temeke au wasema "mimi nimezaliwa hapahapa Kinondoni wala si Mtu wa kuja🤣
Mfano...
Naomba tafsiri ya hiyo picha.
Kwene DSE
Lini unaweza toa hela??
Je kama hisa zinashuka unaweza ziuza ili usipate hasara??
Ukiuza hisa ulizo hold inachukua muda gan kupata hela yako??
Je kuna ufanano kati ya liquid acc ya utt na Hisa za DsE kwene mfumo wa kutoa hela? Maana utt siku tatu za kazi...
Salaam. Bila kuwachosha
Moja kati ya kauli ambazo Huwa nashindwa kuelewa ni pale naposikia mtu anasema kwamba usioe mwanamke unaempenda
Maybe Kuna hoja ya msingi nyuma yake
Swali linakuja nawezaje kuishi na mwanamke Ambae simpendi Wala kuwa na hisia nae
Huwa mnalenga Nini mnaposema hivyo...
Mbaya zaidi hujui ameshaliwa na wangapi kwa style karibia zote..
Hujui ametoa mimba mara ngapi
Hujui watu waliopita nae
Alafu aje kuniletea watoto alafu niwapende
Siwezi
Mtu ana makovu ya kusalitiwa alafu nije kumpa relief aaah neverrrrrr
Kwa jinsi nilivyojitunza na uvulana wangu nahisi...
Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa.
mifano miwili
1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye...
GT
Hakuna asiyejua contents creator wengi wa Tanzania ni propaganda machines za CCM . Hivi wanaombewa 2B kwa lipi kwanza.
Hivi hili taifa halina vipaumbele hadi tunaenda kwenye biashara za watu binafsi watz wanteseka sana kwa kukosa huduma muhimu sana kama maji na huduma za afya.
Kwa nini...
Habari wanaJF?,
Kuna siku utanielewa kwamba vyote tulivyokuwa navyo ni kwajili ya kujifariji na kuyapa maana maisha .
Kwanzia magari,nyumba ,Mke na watoto.
Siku vitu hivi ukivipoteza unakosa maana ya maisha kabisa.
Ni sababu zipi ambayo zinakufanya mpaka saivi haujajiua?
(Nikawa na maana kifo...
Uhuru wa habari utazidi kuminywa..
Vyombo vitazidi kuminywa na mateso yatazidi zaidi..
Maana ya kumteua ni moja tu..
Kumaliza yale yote yaliyobaki...
Kumbuka huyu ni mpenda Sifa yaani hapo Dully Sykes akajifunze..
Kwa hiyo tutegemee sana wimbo wa mama this ... Mama that..
Uzuri ni kwamba hata...
1. Amevamia Venezuela
2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration
3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu
4. Anawaza kuivamia Columbia
5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na Congo; Thailand na Cambodia; Israel na Palestine etc etc
6. Amejitoa mashirika mengi ya kimataifa...
Kisa kwa ufupi: Viktor Frankenstein, mwanasayansi kijana hodari, anashikwa na jazba kuu ya kutaka kugundua siri ya uhai. Hatimaye anafanikiwa kuunda linunda hai kutokana na viungo vya binadamu alivyovikusanya. Lakini ghafla anashikwa na woga na kutishika kwa linunda lile na anaamua...
I am proud kwamba bado nikiwa kijana nime debunk utapeli wa dini na itikadi katika maisha yangu.
Thus kwa maana hio, nitakufa sio kama mtumwa wa kitu ambacho ili bidi babu yangu acharazwe viboko na kuteswa ndio akipokee.
Nitakufa nikijua, sijakubali itikadi yoyote ile ishinde utashi ulio asili...
Hebu angalia hapo chini gharama ya ujenzi Kenya ukilinganisha na jengo bei haiendani kabisa.
Huyu ni injinia wa majengo lakini bei yake rahisi sana.
Ghorofa hili eti anakujengea hadi finishing shilingi za Kenya million 70- 75 ukibadilisha kwa madafu 1.34 billions kweli inawezekana bongo...
1. Mdude nyagali chadema atarudishwa Kwa mke wake au mahakamani.
2. Waliompiga risasi TUNDU LISSU mwaka 2017 watakamatwa na kuwekwa hadharani.
3. Waliomteka Mzee Ally Mohamed KIBAO watakamatwa na tuambiwe ni wakina nani.
4. Yule kijana aliyechora picha ya mwanamke kule mbeya halafu akapotezwa...
Kwanza nimpongeze alieandika huu uzi:
https://www.jamiiforums.com/threads/kuna-umri-ukifika-vitu-vingi-vinakosa-maana-isipokua-pesa-familia-na-afya-njema.2324044/
ukwel ni kwamba katika ujana, unaweza kudhan una vitu vya msingi sana vya kupigania kama mali, fedha, wanawake lakini kwa sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.