maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Majizo, wasanii wanapaswa wawajibike kwa Makosa yao. Masuala ya kuajiri sijui kujiajiri hayana maana kama hawako upande wa wananchi

    Hamjambo wote! 1. Nashangaa wanaolalamika kuhusu Wananchi kususia wasanii. Mimi mpaka sasa sijaona kama Wananchi wamesusia kazi za wasanii. Bado sijaona. Ni kama wamewapa tuu tishio na sio kwamba wameamua kuwapiga Pin. 2. Tunapoelekea kwa kiwango cha awareness na elimu ndani ya jamii...
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi mkeo anapokuambia usimwagie ndani anakua na maana gani haswa?

    Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri hapa. Anasema jana wakati wanabanjuana na mkewe..mkewe alimsisitiza eti asimwagie ndani. Sasa jamaa amechanganyikiwa hapa anasema iweje mkewe ampe hayo masharti..? Nikasema ngoja nije niwaulize wadau wa humu. Eti wakuu ina maana gani hiyo?
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Siwezi shangaa Dar kukosa maji maana hata sehemu zenye maziwa maji hakuna

    Hawa watawala ndio wameishia uwezo wao. Sio dar kuwa na ukosefu wa maji au matatizo ya kukosekana maji. Hata sehemu zilizozungukwa na maziwa maji yana kosekana Nchi imekosa ubunifu wa kutatua shida za maji.
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wachina ni wezi wa teknolojia si wabunifu, ndio maana mzozo wao na USA hauwezi kuisha

    Wachina wengi wanakimbilia sana kusoma nchi zenye teknolojia kubwa sio kwa ajili kusoma bali kuchukua maarifa kupeleka kwao ambacho hizo teknolojia zimetumia mda mrefu kiutafiti. Nchi kama USA wanatumia bajeti kubwa za utafiti ukilinganisha na wachina. Sasa hapa unaweza kusema mchina ni mkali...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza: Ina maana Ubalozi wa Marekani nao unatudanganya ?

    Juzi ubalozi wa Marekani ulisema umekutana na Rais. Kwenye page ya ITV ubalozi ulikutana naye Oktoba 8. Nani anaficha ukweli. Hii picha waliotoa angalia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kesho yatakuwa mazuri zaidi maana wasiokuwa na ajira hawana cha kupoteza

    Kesho ndiyo kutakuwa na mtiti wa ukweli maana wale wote wanaozarauliwa na serikali ndiyo watakaokuwa barabarani halafu hawana cha kupoteza ngoja tuone
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,036

    Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036) Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene...
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha mpaka sasa Tundu Lisu asalie mahabusu? Maana ilibidi atoke November 3

    Tundu Lisu ilibidi aachiwe tangu November 3 baada ya samia kuapishwa . Naona umepita mwezi sasa tunaona kimya, kesi haisikilizwi na yeye bado hajaachiwa. Au je mamlaka husika wanaona nchi bado haijakaa sawa kutokana na hofu ya maandamano au wanahisi atakuwa chachu ya watu kuandamana akiingia...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi kumwona huyu chali akiwa hai maana maneno yalikuwa mengi sana

    GT Mwamba huyu hapa engine ya maandamano M029 kutoka kimara
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Utawaweka vizuizini wangapi maana unajiofia na watu wako

    Aisee yani kama anajiogopa kila mtu anamuona ana msaliti. Kanogewa na madaraka mpaka kufikia kuweka mashushu wake toka visiwani kila idara ili ukileta jambo la kukataa basi unaliwa kichwa au kupotezwa. Sasa unaweka watu kizuizini mpaka watu walioamua kujitenga na wewe na uliwanyima wasiwe...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto

    Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto. Kwa kifupi tushawashinda wanabaki kubweka bweka hasa huyu mzee wa ufafanuzi amebaki na mipasho tu. wataenda kunyea debe soon.
  12. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

    Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna Media inakumbushia yaliyowahi tokea Zanzibar. Ina maana gani?

    Kuna mada hapa niliweka Moderator unaweza kurudisha kichwa cha habari kina sema inawezekana ni kulipa kisasi. Kuna media hipo Facebook inakazania matukio yaliyotokea Zanzibar mfano la kupinduliwa na wale waliohukumiwa kifo mbele ya wananchi. Maandamano ya kupinga uchaguzi kipindi cha mkapa...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ina maana Wikipedia nayo imekaataa uchaguzi na hakuna Rais Tanzania

    Who are you sasa kazi unayo nendeni wikipedia mkaone wasifu wake hatambuliki kuwa ni raisi 2025. Na wameshamsagia kunguni ya wasifu wake kwenye wikipedia.
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Samia katangaza kutawala kwa upanga, karipio kwaa TEC maana yake uhai wa Watanzania hauna maana kwake

    GT Hali ya sasa nchini tanganyika kwa ukatili samia inasikitisha hata Magufuli hakuwa na moyo mbaya kiasi hiki juu ya uhai na maisha ya watu. Sasa tunajiuliza anaongoza ili iweje kama hata uhai wa wale anaowaongoza haudhamini. Yupo pale kwa ajii ya nini? Kifupi katangaza vita upya na raia...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nguvu kubwa haiondolewi na nguvu ndogo; hiyo ndio maana halisi ya Dola

    Hamjambo! 1. Nitaongea kidogo kifalsafa na kisayansi. 2. Kisayansi kuna law inasema survival of the fittest kwa tafsiri ya mwenye nguvu ndiye anaishi. Sikumbuki aliitoa Mwanasayansi Charles Darwin au Bwana Lameck. Kwa Wahenga wanasema Mwenye nguvu mpishe. 3. Nguvu ndogo haiwezi kuondoa nguvu...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu hata akiachiwa kwa sasa haina maana yoyote. Too late

    Hamjambo wote! 1. Ndugu zangu Watanzania, mnakumbuka miezi ya nyuma kidogo niliandika nyuzi takribani tatu mfululizo nikiisihi serikali kumiachia Tundu Antipas Lisu. 2. Nafikiri wengi wenu mnakumbuka. Niliandika vile kutokana na sababu kuna Jambo na mambo mengi niliyaona katika spiritual...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Itafutwe namna serikali izungumze na viongozi wa upinzani na wanaharakati kuona tunamalizaje haya Mambo. Maana!

    Habari za Sabato! 1. Ndugu Watanzania nichukue nafasi hii Kwa sehemu yangu kama raia wa Nchi hii kama mlivyo nyie. Kuzungumza machache kama sehemu ya maoni na mchango wangu. 2. Binafsi nipo kwenye hali ya Wasiwasi mkubwa na hali inayoendelea. Naamini sio mimi pekee yangu nipo katika hali hii...
  19. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Mika chavala, anaeshikiliwa kwa kesi ya uhaini huyo dogo si mzembe ni balaaa zitooo ndo maana

    Katika pitapita zangu instagram Kuna page nika kuta huyo dogo akifanya mahojiano na professor pro Lumumba aiseee nimechokaaaa, kumbe polisi wanamjua huyo dogo ndo mana nilikua najiuliza huyo dogo mbona wamemtaiti ni nani huyo si wamwachie, kumbe serikali inajua huyo ni mtu hatari. He is so...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za Sheli za 'Lake Oil'. Wenye ushahidi waitwa

    Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki. Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe kama kuna mwenye nao alete, watu waambiwe ukweli. Pia Soma: Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil...
Back
Top Bottom