maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ubakaji kwa wenza walio katika ndoa ina maana gani?

    Wakuu, ni matumaini yangu kuwa hatujambo wote! Yawezekana nikawa mgeni, lakini ninastaajabu Sana ninaposikia eti mtu yupo katika ndoa na anabakwa na mwenza wake waliojenga ndoa pamoja! Niliziona taarifa katika tovuti ya BBC, zikimwelezea mwanaume mmoja ambaye alikuwa akielezea kwa maskitiko...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba jiuzulu; ulilazimisha wananchi wanyonywe kupitia tozo kubwa

    Uliwadharau Watanzania na ukatoa kauli za kebehi kuwa hii ni sheria ya bunge hivyo kila mtanzania anatakiwa kulipa tozo za kizalendo ili kujenga shule, zahanati na vituo vya afya. Watanzania wakakuona hufai maana ulibuni chanzo cha mapato kisichofaa na kinachowanyonya watanzania wanyonge. Maana...
  3. JamiiForums Tanzania Kama tunapokea msaada wa kuondoa umasikini ina maana tunakiri kuwa Nchini tuna Watu Masikini? Je Masikini hao nao wanatozwa tozo au wanapewa unafuu?

    Sweden grants 100bn/- for fund TASAF Phase II - IPP Media https://www.ippmedia.com › news › sweden-grants-100... Nimeona kama Nchi tumepokea Msaada kwa ajili ya Mpango wa kupunguza umasikini Nchini. Hii inamaanisha ya kuwa kama Serikali tunakiri ya kuwa Sehemu ya Wananchi wetu ni Masikini na...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Paul Makonda angekuwa RC Dar matukio ya ajabu yasingetokea, maana alidhibiti uhalifu. Wauza shisha walipotea kama barafu iliyoyeyuka

    Msingi wa jeshi la polisi imara ni operation ili kudhibidi uhalifu. Ndio maana Makonda kama mkuu wa masuala ya usalama aliamini kwenye operation. Makonda alimsimamia vyema Igp Sirro wakati huo ni kamanda wa kanda maalumu kuhakikisha uhalifu wa kila aina unatoweka Dar. Vibaka, wahuni, majambazi...
  5. JamiiForums Tanzania Nini maana ya maisha?

    Habari wana janvi, Naomba mwenye kujuwa maana halisi ya maisha anijuze maana nimekuwa nikifikilia sana kuhusu maisha lakini sipati maana halisi. Unakuta mtu anasema huyu atakuja kuwa na maisha magumu sana au maisha marahisi sana. Je, maisha ni uhai anaokuwa nao mtu, au maisha ni zile kazi za...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Hivi umepata kujiuliza unapopita katika mitaa mbalimbali ya mjini Dar au mji mwingine wowote Tanzania, jina la mtaa au eneo husika limetokana na nini? Kwa mfano, Kijito Nyama limetokana na nini? Au Mlalakuwa, Au Mtoni kwa Aziz Ali n.k, n.k. Labda utadhani imetokea tu ... just ipo ipo, hapana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tunaposema Jezi mpya ya Yanga SC ni mbaya na mbovu muwe mnatuelewa, Asante Oscar Oscar kwa leo Kupiga Dongo la maana huko Yanga SC

    "Tafadhali kama kwa bahati mbaya umempoteza au umepotezana na Ndugu yako kwa muda mrefu jaribu kumuangalia katika Jezi mpya ya Yanga SC unaweza ukampata" Chanzo: Mchambuzi EFM na TvE Oscar Oscar Wakati Oscar Oscar ( ambaye Personally ) namjua ni Simba SC lia lia alipochukua Fomu ya Kugombea...
  8. JamiiForums Tanzania Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika, hazina maana yeyote zipuuzeni

    Habari wakuu, Kama unaota unakimbizwa na majini, unaota mtoto wako wa kumzaa sio wako, unaota upo darasani mnafundishwa na lecturer ilihali ulishamaliza chuo kitambo na upo kazini tayari, unaota ndugu yako kafariki, unaota umekuwa Raisi wa JMT ili hali hujawahi kuwa hata barozi wa nyumba...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kiroho?

    Salaam! Kuna ile hali huwa inamtokea mdogo wangu, kuna watu ambao mara nyingi humtabiria mema kama vile kuja kuwa kiongozi mkubwa n.k Mfano mara nyingi hukutana na hizi kauli "ahsante sana utakuja kufanikiwa", " wewe ni mkombozi", "wewe ni kiongozi" n.k Kauli hizi huambiwa hata na watu ambao...
  10. JamiiForums Tanzania Nini maana ya 'kuoana'

    Wakuu naomba maana ya maneno haya! 1.Kuoa 2.kuolewa 3.kuoana Mi naona yananichanganya hivi,hasa hilo neno KUOANA
  11. JamiiForums Tanzania Mke akikufumania fanya yafuatayo ili akusamehe

    Habari wakuu, Leo nawaletea mbinu ya kivita ambayo unaweza kuitumia kwa mkeo ili akusamehe kiulaini, mfano kama kakufumania, kakukuta na SMS za michepuko, au kosa lolote kubwa ambalo limeleta ugomvi na linatishia uhai wa ndoa au mahusiano yako, Tumeambiwa Tuishi nao kwa akili, Njia nzuri ya...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Maana ya Furaha na Nadharia ya Punda anayekimbiza karoti

    Je umewahi kujiuliza Furaha ni nini? Je umewahi kuwa na furaha? Ilikuaje ukawa na furaha? Je unakumbuka nini siku ile ulipopata matokeo yako ya kidato cha nne ? Bila shaka ulihabarishwa kuwa umefaulu na unatakiwa kujiunga na chuo au kuendelea na kidato cha tano, bila shaka ulipata Furaha kubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hizi alama za barabarani zina maana gani?

    Katika sheria za barabarani ziko aina zaidi ya 3 za alama na kuendelea kulingana na kila siku kuongezwa. Yaani alama za onyo, maelekezo, masharti na muongozo na amri.na katika alama hizo kuna zinazoongezwa ambazo kwa sisi madereva wa zamani bado ni ngumu baadhi kuzielewa. Kwa mfano nimekutana...
  14. JamiiForums Tanzania INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba

    Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata Mashamba kilomita Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10 Mpaka acre 500...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana kuweni makini na rangi za nguo mnazovaa, nyingine zina maana mbaya sana

    Hizi rangi zimevamiwa sana na vijana wa kitanzania tena bila hata kujua maana yake. Hizo ni rangi zinazounga mkono jamii ya mapenzi ya jinsia moja lesbian, gay, bisexual, transgender, intersex, queer/questioning, asexual. (LGTBQ) nilianza kuona hizi rangi lakini sikuelewa maana yake...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha leo: Kipanya anamuuliza msure wake maana ya nchi kuwa fragmented.

  17. JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru lamalizika sokoni tangu saa 2 asubuhi, Wasomaji walisaka hata kwa dau kubwa

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo. Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Maana ya dhana hizi za Kiuchumi kwa Kiswahili

    Naomba kujua kiswahili Cha Cost Benefit Analysis Cost effectiveness Value for Money Cost effeiciency
  19. JamiiForums Tanzania Yanga ni bora tusingeshiriki Kagame. Mimi naona kama sisi kuna Kitu tulifanywa tulipokuwa wadogo

    Sisi Yanga kuna kitu tulifanywa kwa kweli. Ni mashabiki wa kipumbavu sana. Yaani week nzima tunahangaika na Manara na Mo. Hatujiandai Wachezaji wetu wapo muda wote busy na mitandao. Insta na twitter kumuunga mkono Manara na kumsema Mo. Tunatolewa mapema mashindano ambayo yangetupa uzoefu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Nimeliona hili mara Mbili karibu na Jengo la VIP Mortuary ya Lugalo Hospital hasa wakifa Viongozi je, lina maana au 'tunakompliketi' tu mambo?

    Alipokufa Hayati Rais Dkt. Magufuli na Kuhifadhiwa hapo kwa Siku kama Mbili au Tatu hivi barabara ambayo si tu hutumiwa na Wanajeshi lakini hata Raia ( akina GENTAMYCINE ) ilifungwa huku 'Makomandoo' wakirandaranda japo baadhi yao mida ya Usiku tulikuwa tukipishana nao mno tu katika 'Korido' za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…