maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKO

    TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI. TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam. Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
  2. JamiiForums Tanzania Leo nimemuota Magufuli Amekufa, usiku wa kuamkia leo, Nikafadhaika sana. Hii maana yake nini?

    Wakuu Kwema! Usiku wa leo nimefadhaika Sana, nimesononeshwa mno, nimepatwa na uchungu usioelezeka mpaka usingizi ukakata nikaamka yapata saa saba na dakika ishirini na mbili Kwa saa ya ukutani. Mwaka Jana niliota ndoto ya namna hii hii lakini nikashindwa kuipandisha hapa kutokana na sababu...
  3. JamiiForums Tanzania Wataalamu hii "code" ina maana gani?

    Gari yangu aina ya toyota liteace ya dieseli ina toa muungurumo mbaya na kutoa moshi. Pia taa ya check engine inawaka. Fundi wa kwanza akasema tumeweka mafuta machafu hivyo tusafishe tank. Fundi wa pili akasema tununue diesel treatment tuweke, na watatu akasema switch ya kwenye pampu ama pampu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Serikali na Wizara ya Afya, tulikosea sehemu ndio maana mapambano dhidi ya covid yamekua magumu kueleweka, tumieni njia hizi

    Mapammbano dhidi ya COVID 19 yamekua magumu kueleweka kwa wananchi, kwasababu hatukuwekeza zaidi katika afya msingi, kuanzia kwenye jamii zetu. Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na mikakati endelevu wa kuhakikisha huduma za afya hususa ni kuzuia maambukizi mapya (Prevention). Afya ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania " Anaupiga mwingi" maana yake nini? Mi ni mgeni hapa CHADEMA

    Nasikia makamanda wakilitumia sana hili neno kwamba Tundu Lisu " anaupiga mwingi" so kama member mgeni wa hapa Ufipa naomba ufafanuzi wa hii kauli ya Anaupiga Mwingi. Peoples.........!
  6. JamiiForums Tanzania Watu makini kama mbunge wa Kawe Josephat Gwajima wamekaa kimya juu ya uharamu unaotendwa na serikali kwa wananchi. Hii maana yake nini?

    Je, CCM huwaweka kitimoto wabunge wake mara tu wanapoapishwa? Wanakuwa watu makini lakini huwezi kuwaona wakiipinga serikali kwenye masuala muhimu kama haya ya kodi. Inatia ukakasi sana.
  7. JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati muafaka elimu ya chuo kikuu itolewe bure, wanafunzi shule za msingi na sekondari wale chakula cha mchana bure, maana fedha ipo.

    Habari! Huhitaji kuwa na shahada ya taxation au uhasibu kujua kuwa pesa itakayokusanywa kupitia miamala ya simu na vocha kwa mwaka mmoja ni matrilioni. Serikali inapaswa kuboresha sekta ya elimu kwa kuondoa ada au kuwalipia ada wanafunzi wote wa chuo kikuu huku ikiwapa angalau mlo mmoja...
  8. JamiiForums Tanzania Nini maana ya neno Crystall Balls katika uchumi

    Kwa wale walisoma Economics sentence hii ina maana gani? "While our crystall balls are cloudy" Asante
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndio maana halisi ya neno ndoa halali

    Nimewasikia wengi wakilitumia neno ndoa halali. Wakisema ni mume wangu halili, wengine wakisema mke wangu halali. Wengine wakisema kuwa wamefunga ndoa halali n.k. Je, mume anaporudi nyumbani asubuhi bila kusema alikuwa wapi hiyo tutaendelea kuiita ndoa halali? Mke na mume kila mmoja hajui...
  10. JamiiForums Tanzania Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

    Huyu jamaa ndio mwamba wa GOLDEN DEER [emoji1662][emoji1662][emoji1662] T 712 DPK anayezisumbua SCANIA za SAULI [emoji1631][emoji1631] za DAR - MBEYA - TUNDUMA Ametrend sana wiki hii akiwa na memes mbali mbali
  11. JamiiForums Tanzania Maana ya baadhi ya maneno kwa kiswahili

    Naomba kufahamishwa maneno yafuatayo yanayotumika kumu"address" viongozi mbalimbali wa kiimla na wakisiasa. Emperor na empress Chief Prince na princess Crown prince na crown princess His/her majesty His/her highness Duke His/her worship His/her Excellency Na mengineyo mengi. Unaweza...
  12. JamiiForums Tanzania Kusema hatujawahi kuwa na Rais mwenye msimamo tangu enzi za Mwalimu Nyerere, ni kudhalilisha viongozi

    Rais anashauriwa vibaya. Tumekuwa tukiwatetea Marais wetu wapendwa kwa kauli hii. Unajiuliza yeye Rais hana akili? Yaaani leo hii nije kukushauri ukajisaidie hadharani itaonesha kuwa wewe ni mtu wa watu huchagui au huna majidai. Nawe unaenda? Wewe si huna akili sasa? Hii kauli ilishika kasi...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tulikueleza mapema hawa CHADEMA sio wa kuwalegezea maana ni waganga njaa wasiojali maslahi ya taifa. Sasa mapema umeona madhara yao

    Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewashtukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi. Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa. Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga...
  14. JamiiForums Tanzania Vielezi (E) na aina zake

    Wakuu salaam, tunaendelea na mada kuu ya aina za maneno katika lugha. Katika uzi huu tutafafanua dhana ya Vielezi na aina zake. Twende pamoja: VIELEZI Vielezi ni maneno yanayotumika kufafanua kitenzi, kivumishi au kielezi kingine. Au pia, ni maneno yanayosifu au kufasili sura za vitenzi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Katiba tuliyonayo ni madhubuti ndio maana imetuvusha tulipopata matatizo!

    Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya katiba iliyoongozwa na Jaji Warioba na ambaye kwa sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi amesema Katiba ya Tanzania ni madhubuti ndio maana imetuvusha tulipopata tatizo kubwa. Nawasalimu kwa jina la JMT! === Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Walio wa mlengo fulani kisiasa, ndio wanaokumbatia Corona maana wanaitumia kufanikisha agenda yao. Sasa wanafuata upepo tu

    Katika dunia hii kuna watu wameikumbatia sana corona na wanaitumia kufanikisha malengo yao!! Kwa bahati mbaya sana kuna mataifa mengi hasa ya kiafrika yanayocheza ngoma wasiyoielewa! Hawajui malengo ya wanaoipiga!! Kuna watu wanafurahia sana kuona mahali fulani maambukizi yameongezeka na wako...
  17. JamiiForums Tanzania Zuchu kuendelea kumburuza Ali Kiba, hii ina maana gani?

    Kwa msanii mkongwe kama Ali Kiba kushindwa kumpiku Zuchu ni aibu kubwa sana. Inamaana Zuchu amekuwa mkubwa kuliko Ali Kiba? Ni maswali tu wanayojiuliza wataalam wa mambo ya muziki.
  18. JamiiForums Tanzania Nini maana ya taarifa za Intelligencia zinazosemwa na Jeshi la Police?

    Wakubwa shikamooni, Naomba Leo niwe mjinga kiwango Cha lami ya kutoka Iringa kwenda dodoma. Leo hii tunashuhudia kesi mbali mbali zikiwa zinahitimishwa mahakani na watuhumiwa kuachiwa huru bila kukutwa na hatia, na majaji au mahakimu wakisema ushahidi umeshindikana kuletwa au kujitosheleza...
  19. R

    JamiiForums Tanzania AE, ME, IE, PA nini maana ya haya maneno katika TENDER NUMBER

    Habari wadau Mm ni mwajiriwa nafanya tender lakini mara kadhaa nimekutana na hayo maneno katika TENDER number lakini nimejaribu kugoogle nimeshindwa kupta abbreviations zake kwa anayejua maana zake naomba anielimishe ili kuongeza ufanisi wa kazi. mfano ukiona tender imeandikwa ICB means...
  20. JamiiForums Tanzania Uzalendo na maana yake kwenye maendeleo katika Taifa

    Habari Tanzania! Naomba niwakumbushe vijana, wazee na watoto machipukizi ya kuwa Uzalendo huwa unajumuisha na kubebwa kifuani na watu wachache. Katika taifa lolote walio wazalendo huwa ni wachache sana na wanauwezo wa kufanya lolote, popote na wakati wowote kwa kuishi katika manufaa ya taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…