Kipindi cha obama Russia iliivamia Ukraine wakajimegea mkoa wa Crimea.
Kipindi hiki cha Joe Biden, Russia anaimega huko ukraine mikoa miwili
Kipind cha Trump , Putin hakuthubutu.
Kiukweli Obama na Bidden ni maraisi ambao wanapaishwa sana na media kuanzia magazeti mararufu kama New York Times...
Hii ndege ya rais iliyonunuliwa kwa bei ya $40,000,000 kwa nini haikutumika kumpeleka rais Belgium/France na nchi nyingine za magharibi na badala yake inazurura tu mikoani pasipo kuwa na ratiba maalamu.
Sisi walipa kodi tuna haki ya kujua ndege iliyonunuliwa kwa hela zetu kwa nini inazurura...
Hapo vip!!
Nijambo la kushangaza na kuchekesha leo Tundu Lissu kumuomba Rais Samia atumie mamlaka yake kuondoa kesi inayaomkabili mbowe mahakamani.
Ni wazi Lisu amesikika akisema hii kesi ni ya kutengenezwa na hamna kesi hapo,hivyo alisikika akimuonya Zitto kabwe kutomuombea msamaha mbowe kwa...
Katika Utumishi wa Umma,Kuna Watumiahi wanaitwa Kamishna...Kuna Kamishna wa Magereza, Uhamiaji, Kazi, Ustawi wa Jamii nk
Je kwa nini viongozi Hawa wanaitwa Makamishna?
Naomba kujua vigezo vinavyotumika kuwaita Makamishna?
Habari wanajukwaa, naomba moja kwa moja niende kwenye uzi mfupi wa hiyo swali kama linavyosomeka.
Katika baadhi ya nyaraka mbalimbali ninazokutana nazo kama za kazini, NIDA, fomu za maombi ya kupigia kura, kujiunga na Chuo na nyaraka nyingine zinahozitaji kijua wapi ulipotoka au wapi...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
akaunti
ccm
chama
jifunze
kazi
kugharamia
maana
matibabu
nyingine
prof. jay
rais
rais samia
samia
serikali
serikali ya ccm
ummy mwalimu
upinzani
vijana
wajinga
watanzania
Wakuu nawasilimuni,
Nimebaini kwamba baada ya jina la Katibu wa Bunge wa sasa Mh. Nenelwa J. Mwihambi kumekuwa na kifupisho cha 'ndc'. Napenda kufahamu nini maana ya kifupisho hicho?
Shukrani!
Utangulizi:
Kijiografia bahari zinachukua takriban 71% ya eneo lote la uso wa Dunia yetu na kwa nadharia za kisayansi inaaminika kwamba maisha ya viumbe yalianzia baharini. Hivyo basi, kwa vyoyote vile iwavyo, bahari imekua sehemu muhimu kabisa ya maisha ya kila siku ya binadamu. Binadamu...
Takwimu za Asec mimosa ligi kuu
mechi 7 win 7 point 21 na wanaongoza ligi
Huku upande wa simba mambo yako hivi.
Morrison
Lwanga- injury
Chama
Mugalu
kibu denis- injury
Hawa ni wachezaji watakao kosekana mechi ya shirikisho zidi ya Asec mimosa.
Mimi ni yanga damu ila Kusema kweli simba hawatoboi
Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi.
Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi kwenye miradi ya maji ktk nchi hii. Huu ni msimu wa mvua baada ya ukame mrefu.
Kipindi cha ukame...
Wakati Marekani inaingia kwenye vita ya dunia, kwa mara ya kwanza ndio ikawa mwanzo wa kodi kwa raia wake sababu ikiwa ni kugharamia vita kama wanainchi wazalendo dhidi ya vitisho vya wa NAZ.
Ajabu ni kwamba kodi zile zimeendelea kuwepo hata baada ya vita kuisha mpaka leo miaka mia imepita toka...
Mungu akamuumba punda na kumwambia, “Utakuwa punda na kubeba mizigo ya kila mtu na utaishi miaka 40.” Punda akasema, "Kubeba mizigo ni sawa, lakini miaka 40 ni mingi kwangu, nipe miaka 30 tu." Mungu alitimiza matakwa yake.
Mungu alimuumba mbwa na kumwambia, “Utakuwa mbwa na unachunga mali ya...
Kibatala: Unafahamu hiyo namba hapo
Shahidi: naona Meseji Kwenda Kwa Mbowe tu
Kibatala: Kwani Meseji hiyo Uliyotuma hiyo Meseji Kwenda Kwa Mbowe, Je ni Namba ipi ya simu
Shahidi: Nilitumia Mtandao wa Telegram
Kibatala: Mtandao Wa Telegram Unapotumia unahitaji Mtandao
Shahidi: Ndiyo...
Nipo South Africa siku ya tatu hii. Nlikuwa narudi toka China. Nikiwa kwenye ndege First Class nikaenda wash room ndo nikagundua nimetokwa na kipele(pimple) kwenye mkono.
Niliomba nishushwe South Africa wakanifanyie check up na surgery ikiwezekana. Maana naona kama kinaharibu mwonekano wangu...
Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation.
Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa. Aliongeza Jeff
Jeff alienda mbali zaidi akasema "Kwa Yanga hii ambayo ndani...
Sielewi hizi takwimu ya kipato cha Mikoa kinachotolewa zina lengo gani haswa, je ni kuonyesha Mkoa upi ni masikini zaidi ya mwingine au ni nini?
Na kama ndiyo je, tukishajua Mkoa fulani ni masikini then what ? Nini kinafwatia? Tunafanya nini sasa na hizo namba?
Kwangu mimi ingeleta maana kama...
Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi.
Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za witch doctors a.k.a waganga wa jadi?
Kama yupo ebu aje hapa atoe ushuhuda wake ili na sisi tukajaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.