Kuna vitu mpaka kufkia utu uzima wangu huu nimeshaviona ila sijawai kujua maana yake. Bila kupoteza muda;
Cha kwanza ni hii ya wauza maduka kutokuuza sindano majira ya usiku. Hii niliithibitisha mimi kwenyewe siku moja. Nilitoka usiku kwenda dukani kununua sindano, nikaenda duka la kwanza(kwa...