Mtu unaweza kumfanyia jambo baya mwenzako halafu unasahau. Ukifika wakati wa kuvuna uovu uliopanda mtu hulalamika sana na kutafuta huruma kwa watu!! Lakini ni wazi kuwa Mbatia alishiriki kumng'oa Mrema pale NCCR Mageuzi akishirikiana na wenzake!! Alichokifanya kinamrudia. Namshauri aende kuomba...
Dhamana ni haki inayopata msingi wake katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 ambayo ina dhana inayotamka kwamba mtu hatochukuliwa kuwa mwenye hatia mpaka tuhuma zithibitishwe dhidi yake, Ibara ya 13(6) (b).
Ili kuzingatia dhana hii ni muhimu kumruhusu mtuhumiwa kwa kumpa dhamana...
Moja ya tuhuma iliyotolwlewa dhidi ya Mbatia ni kumwita rais Samia Dada huku akiacha kumuita Mama. Hii imeonyesha kuwa ni mtovu wa nidhamu.
Mbali ya hayo kuna tuhuma za upigaji pesa za umma.
Kuna harufu ya viashiria kuwa rais Samia na Mbatia haviivi au hazipandi.
Kwa hali hii kumbe rais...
Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh...
Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa?
Yaani hata Samia anamshinda amechora uso...
Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika.
Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na...
Royal Tour imeonesha mbuga, mlima na bahari lakini kuna vitu vingi vya kihistoria ikiwemo mifupa ya mijusi mikubwa, unyayo wa mtu wa kale, na mambo mengine ambayo ni muhimu sana kwa tafiti sio tu kwa watalii ambapo hela ambayo tungeweza kuipata ni kubwa zaidi kuliko inayopatikana kwenye utalii...
Kwema waheshimiwa?
Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?
NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Omary Kapinga ndiye ambaye aliyeanza kwa kutoa jibu kuwa mitihani haijafuja tangu mwaka huo, binafsi naona kama kuna kitu hakipo saw ana takwimu zake ndio maana hadi Spika amezungumzia na kuamua kuiweka hoja hiyo pebeni kwa muda
"Suala la uvujaji wa...
Timu za Berkane na Orlando Pirates zimefika hatua ya final mashindano ya caf championship, Hii ni mara ya pili kwa timu ambazo zilifungwa na Simba kwenye uwanja wa Mkapa kufika hatua ya kucheza fainali kwenye mashino ya CAF.
Hii ina maana gani kwa timu ya Simba, uwanja wa Mkapa na timu zetu za...
Kiswahili chetu huwenda kuna maneno yumkini hayako sawa katika kuleta uwiano wa maneno na au kiko sawa Ila kuna maneno yakitamkwa huonekana ni kama yako sawa na ukija kwenye kuutafuta ukweli, mtu unajikuta neno hilo linalokataza kitu Fulani kisifanyike, basi pia neno hilo hilo linamkataza...
Wakuu Habari ya Mda Poleni na Heka Heka ya Timuana ya Mlimani City Juzi.
.
Wakuu naomba kufahamishwa hizi alama kwenye dawa ya mswaki huwa zina maanisha nini?
Katika watu ambao nilikua najivunia uplayer na kuchezea wanawake basi mimi ni miongoni mwao.Sina idadi kamili ya wanawake ambao nilishawahi kuwachezea,kumbukumbu zangu hata haisebiki. Mtu mwenye akili hutulia na mpenzi mmoja! Hii ni dhahiri huna vitu vingi vya kuwaza ukitulia na wa kwako mmoja!
Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana?
Rais akinunua ndege mtaandamana?
Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi.
What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
Kwa sasa hata kwa baadhi ya matambiko ya kiluguru kuna maneno ya kiluguru utayasikia yanasemwa, haya maana sana ila yanaonesha hali ilivyokuwa kipindi hiko.
Kagone vigonele fungo
Munu mkulu kagona kikunza
Kwekuka wayago tokuja
Hayo maneno utayasikia kwenye matambiko, siku za hivi karibuni...
Habari Wakuu.
Naomba msaada kwa anaefahamu format ya namba ya utambulisho NIN kwenye kitambulisho cha taifa anijulishe maana ya makundi mbalimbali ya namba ukiacha tarehe ya kuzaliwa.
Sikuweza kupata maelezo mtandaoni.
Mwaka 2020 nilishauri serikali juu ya energy security ila haikunielewa.
Energy security ni muhimu sana kwa taifa lolote duniani maana huwezi jua ni wakati gani hali ya usalama wa dunia inaweza kuchafuka.
Na ikichafuka tusidhani kwamba viongozi ndio tutapona, hapana wote tutaathirika.
Kuna...
Hapa ndio utajua anayejua baba wa mtoto ni mama na ndio maana tukasema nani km mama maana mama hazingiziwi mimba wala mtoto ila baba wengi wanalea watoto sio wao.
Mgawanyo wa majukumu huo, Mmoja yupo kwajili ya pesa mwengine yupo kwajili ya mapenzi na shoo.
Ukitaka uujue uchawi weka mashine ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.