Wana njaa sana na wao pesa mbele.
Wapo tayari kuuza watu kisa pesa tu.
Ni mamluki wa CCM ambao hawana uchungu na taifa lao. Wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Bora Mrema anapinga ufisadi kwa dhati
Wakuu jana CCM wametoa press na kusema kuna haja ya kufufua mchakato wa Katiba mpya
Katiba mpya ambayo imekuwa kilio cha muda mrefu cha wapinzani na wataka mabadiliko nchini, inatarajiwa kukuza demokrasia, kuleta uwajibikaji, ugatuaji wa madaraka na ufanisi wa kuendesha serikali
Sasa CCM ambao...
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.
Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.
Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa...
Wanasimba niwaibie tu Siri licha ya Mo kutapa kuwa anataka ubingwa wa Africa ili jamaa ni bahili balaa.
Misimu uliopita alileta ubahili akaleta wachezaji wa bei chee tukachemka, msimu huu yatajirudia yaleyale, ukiwatizama viongozi wetu unawaona kama wapo serious vile kumbe hawana lolote.
Kwa...
Kwa Kiingereza hodi unasemaje??
Anyways hodi humu jamvini. Mimi new member naitwa Afrocentric, kwasababu sijawa brainwashed na propaganda za Wazungu, Wachina, Wahindi, Waarabu n.k.
Afrika na Dunia nzima inakiri kuwa Dr. JPM (Hayati) ndie kiongozi bora na mzalendo kwlikweli kuwahi kutokea katika karne ya ishirini na moja.
Ni rais pekee aliyethubutu kutoa maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania.
Katika awamu yake, alithubutu kukingia kifua raslimali za watanzania...
Wakati Magufuli akiwa Rais kwenye tukio kama la utilianaji saini wa mradi wa LNG tungeona wabunge, mawaziri, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nk.
Tungesikia nguvu ya ushindi ya Watanzania wakipewa sauti ya kizalendo lkn kwa Sasa hv wanatiliana saini utafikiri Mali yao binafsi.
Habari ,Hivi wanaJF kuna nini Nyuma ya Tofauti hizi Mbili ambazo ziko wazi zinajionyesha :-
1. Mitaani watu wanamkubali Sana Hayati JPM kuliko Mitandaoni .
2. Mitaani wanaona kuna Ugumu wa maisha na tunapotea Mitandaoni idadi kubwa wanaona tunarudi kwenye mstari na tunaenda vizuri.
Binafsi...
Upinzani sio kuwa mpinge kila jambo.
Upinzani sio kukomaa na kushikana mashati.
Lakini sio kwa kuendekeza njaa na kuonesha wazi kuwa una njaa.
Njaa za kushibisha matumbo njaa!
Wananchi wanaona kwa macho. Sasa mmeambulia nini? Wakiopata chochote kitu ni Mbowe na wajanja wachache.
Kamanda Mbowe amekuwa na hulka tofauti sana tangu aanze safari za ikulu.
Anawapa makavu vijana wanaojifanya wana uchungu na chama chake.
Je, nini kimembadilisha?
Ni muda ndio utasema.
Uhuni huu enzi ya Hayati Magufuli haukuwepo ila naona umerudi kwa kasi baada ya Mama Samiah Suluhu kutwaa madaraka.
Kwa ufupi ni kwamba mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais ikulu imejaa na inanuka rushwa, hili limedhilika kwa baadhi ya wateule wa Rais katika nafasi mbalimbali ikiwemo DC...
Rangi aina nne au Tano zitasaidia kuepuka maajabi ya rangi za ajabu. Lkn lazima Kuna rangi za Kupiga marufiku kitumia.
Kwa mfano. Black
Lazima nyumba zitapendeza.
Angalia nyumba za bongo zingependeza Sana kama wangepewa option.
Kuna aina ya bangili huwa zinauzwa na wamasai za copper Mara nyingi huvaliwa na wanaume, je huwa Zina msaada gani mwilini au hasara gani kwa mvaaji?.
Nawasilisha
Ahlan wa sahla
Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu Torati, Zaburi, injili na Quran , Mungu amekemea sana kuhusu hii dhambi ya ushirikina.
Ama kwa hakika ndio amri ya kwanza aliyopewa Musa ktk zile amri kumi ili awaongoze wana wa izraeli.
Kwenye kitabu kitakatifu cha Quran vivyo hivyo imekemewa...
Kwa namna upepo wa kisiasa unavyovuma hapa nchini inaonyesha wazi kwamba uwezekano wa wapinzani kuchukua nchi kwa miaka ya karibuni ni mdogo sana, ingawa sijasema haiwezekani ila dalili zinaonyesha kwamba hawana huo ubavu Kwa sababu zifuatazo:
1. Kubadilibadili hoja
2. Kuvurugana kama...
Mzee wa upako akiwa kwenye kongamano la viongozi wa dini la kumuombea na kumpongeza Rais Samia ameongelea kuhusu uongozi na ameongelea jinsi viongozi wa Tanzania walivyopatikana ikiwemo Samia, Magufuli na mwl Nyerere.
Mzee wa Upako(Anthony Lusekelo): Wakati Jakaya anamaliza uenyekiti wa chama...
Hivi utumishi wanaposema MDs ndio wana maana gani?
Mfano kazi za afisa biashara, mtu ukibahatika kupata ndio kusema utapelekwa huko Nanjilinji vijijini au ndio utakua Dar es Salaam tu?
Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.