maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya serikali iliyoko madarakani ndiyo sababu pekee ya maana ya kupinga tozo

    Hatua ya serikali kutoza tozo kama njia ya kuongeza mapato yake ili kutoa huduma kwa wananchi ambao wanadai hiki na kile, imepokelewa kwa kiasi kikubwa kwa kukataliwa ikiwemo na wabubge wenyewe waliopitisha sheria hizo. Wakati upingaji huu unatokoea na kuendelea, wanaopinga wanakubali tozo toka...
  2. JamiiForums Tanzania Hii meseji ina maana gani wadau wa JF?

    Nimetumiwa hii message ya trophy point cjui award sasa nauliza kwa wataalam humu ni nn na ina maana gani kwa mtumijaji wa jf?
  3. JamiiForums Tanzania Nimeelewa maana ya karma kupitia siasa za Tanzania

    Siasa za Tanzania zinatoa somo zuri sana juu ya karma na namna ya kuwa mtu mwema na wa kufata sheria. James Mbatia Huyu alitumiwa na Magufuli kufanya siasa za hila Mbeya, leo hii yeye kafukuzwa NCCR Mageuzi!
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mwenye kujitambua na mwenye Akili Timamu anayeweza kuishabikia au kuiunga mkono CHADEMA kwa Sasa

    Ndugu zangu huo ndio ukweli japo Ni mchungu lakini ndio uhalisia wenyewe wa mambo, kwa Sasa hakuna mtu mwenye Akili Timamu na anayejiheshimu anayeweza akaanza kuiunga mkono Chadema Kwa Sasa Ni chama kilichokosa dira na muelekeo, Ni chama kilichokosa uongozi wenye kufanya maamuzi ya mwisho na...
  5. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na hizi kampuni zifuatazo za kubeti maana ni matapeli

    Kuna makampuni matatu ambayo kiukweli usijaribu kuweka dau refu au usiwategemee sana pindi unapobashiri michezo mbalilili. 1.Gal spot Betting; hawa jamaa siku wakiliwa sana wanazima mtandao,au wakiona kuna mechi zimekaa mkao wanahofu watapigwa lazma wazime mtandao.Ukiweka dau kubwa kuanzia...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana Ukraine waliwaachia Warusi waingie, ili wajichukulie silaha

    Kwenye hili, Ukraine walifanya babkubwa yaani, waliwaacha Warusi waingie na silaha zao ndani kwa ndani, na Warusi walivyo wajinga wakaingiza silaha zao Ukraine kichwa kichwa, ghafla Ukraine wakatiririka kwa mshtuko wa ajabu, Warusi wakakimbia na kuacha silaha zao, Ukraine wamejichukulia zana za...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Utunzaji wa Afya kwa Watanzania

    Afya Afya ni hali ya kuwa na ustawi au kujisikia katika hali nzuri kimwili, kiroho, kiakili na kijamii. WHO inabainisha kuwa afya ni kuwa na ustawi kimwili, kiakili na kijamii. Aina za Afya Afya ya kiakili, inajumuisha hisia, tabia na mitazamo ya mtu kuhusu binadamu wenzake na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania You Tube kuniletea suggestions za nyimbo za dini ina maana gani?

    Mimi sio mtu wa dini, nimeshangaa leo na renew you tube premium membership yangu naletewa suggestions za nyimbo za dini wakati sijawahi kuzitafta kwenye huo mtandao hata siku moja. Mbaya zaidi you tube wameniletea ngoma za zamani za kina malebo, kina kijitonyama choir nk za enzi zile naelekea...
  9. JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala bora

    UTAWALA BORA Ni vizuri tukaanza kwa kuangazia maana ya utawala bora, japo sio kwa tafsiri rasmi. Utawala bora ni dhana inayohusisha ushirikishwaji wa wananchi katika maamuzi yanagusa maisha au maslahi yao kwa namna moja au nyingine. Maamuzi hayo yanaweza kuwa yanagusa nyanja za kisiasa, kijamii...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini maana ya huku kususia chaguzi ya vyama vya siasa hususani CHADEMA?

    Habari JF Kumekuwa na Tabia ya kususia Chaguzi kwa baadhi ya Vyama hususani CHADEMA, kwa namna navyoelewa kususa haijawahi kuwa suluhu ya tatizo labda kipindi cha utoto tu napo wazazi walikuwa wanaweza kukupotezea tu. Hivyo nikawaza kwa kina sana nikapata tafsiri zifuatazo zinaweza kuwa sahihi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Acha wanasiasa wafaidike na tozo, maana siasa za Tanzania zinahusisha fitina, uzandiki, ngono na ulozi

    Kama kuna mtu anaona wanasiasa wanafaidi naye aingie kwenye kinyang'anyiro cha udiwani, ubunge ama urais. Lakini... 1. Uwe tayari kufanya ulozi na makafara. Mfano mzee wa nje ya box na mzee wa mama Amina. 2. Uwe tayari kutoa roho ya mtu. Kuna wanasiasa Alphonce Mawazo, Dr. Mvungi, n.k...
  12. JamiiForums Tanzania Vipodozi Bidhaa Inayopendwa Na Watu, Tushughulike Na Wanunuaji

    Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV vipondozi vinatekezwa na mamlaka husika. Ninavyojua mtu hawezi kuweka bidhaa kwenye duka lake ikiwa haina soko, tena bidhaa ambayo ni hatari kwake akikutwa na serikali. Vipodozi hivi vinanunuliwa sana na watu ndio maana vinajazwa kwenye maduka. Leo...
  13. JamiiForums Tanzania Askari Polisi Ajinyonga akiwa Guest House na kuacha ujumbe, "Maisha hayana maana"

    askari Polisi wa kituo cha kati cha Dar es Salaam (jina kapuni) amekutwa amejiua kwa kujinyonga katika nyumba ya kulala wageni. Askari huyo kabla ya kujitoa roho aliacha jumbe mbali mbali mojawapo ni kudai kuwa "maisha hayana maana" Askari huyo alijaribu kujizuia kujiua mara kadhaa lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Nimegundua Bashe hajui maana ya Food Security

    Naamini anajua kiiengeleza sasa namuwekea hapa maana yake. Food security is the measure of the availability of food and individuals' ability to access it. According to the United Nations' Committee on World Food Security, food security is defined as meaning that all people, at all times, have...
  15. JamiiForums Tanzania Maana halisi ya "If you do me, I do you", tukutane Mahakamani

    Unyama mwingi mwaisa.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Komredi Kinana: Wabunge wa CCM kuweni Wakali kwa Serikali ili iweze kuwatumikia Wananchi kikamilifu

    Komredi Kinana amewataka Wabunge wa CCM kuwa Wakali kwa Serikali I'll matarajio ya Wananchi yafikiwe Kinana amesema yeye ni muumini wa siasa za kukosoa na kukemea lakini ni lazima Wabunge hao wawe Wakali Kwenye mambo ya msingi na siyo kufanya mbwembwe tu Kinana amesema Wabunge wasimwachie...
  17. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Crimea waombwa wachukue tahadhari ya mabomu, maana ukombozi unakuja

    Wananchi walioko Crimea wameagizwa wachukue tahadhari ya mabomu, maana vita vitahamia huko muda usio mrefu na kutakua na umwagikaji wa damu balaa kwenye jitihada za kumfukuzia adui Urusi aliyeingilia nchi ya watu, wanajeshi wa Ukraine wanajitoa mhanga, wanauawa kishujaa kwa ajili ya vizazi vyao...
  18. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maana halisi ya Taifa la kesho na kuliandaa

    Moja katika rasilimali ya Taifa ambayo ni muhimu sana kuifahamu ni vijana, hawa ndio nguvu kazi ya Taifa Kwa muda wa sasa na hata wa badae. Lakini pia watoto ni nguvu kazi ya Taifa Kwa muda wa baadae. Hvyo watoto na vijana ni jamii ya watu watakaoishi baadae kwa uendeshaji wa maisha Yao Kwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Toa tozo nzuri au nikuandikie makosa yote maana kesho ya Kinana sijui kama nitakuwepo hapa barabarani - Trafiki

    Yamenikumba leo, nikatafakari nifanyeje maana gari ina makosa (ingawa si mengi) na nilimuunga mkono Comred Kinana kwa kero hizi za trafiki! Kilichofuatia ngoja nikiweke sirini. Nchi ya tozo, Tonzonia, sasa trafiki nao wana tozo zao, mwendo mdundo. johnthebaptist
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amejaa hofu ya Mungu, ndiyo maana unaona akihubiri haki

    Ndugu zangu nadhani sote tumeendelee kusikia kile kinachojiri huko mkoani Kilimanjaro ambako Mh. Rais wetu yupo huko. Ndugu zangu ukimfuatilia Mh. Rais wetu hata kabla ya kuwa Rais wetu ni kiongozi aliyekuwa akipenda kuona haki ikitendeka kwa watu wengine bila kujali hali zao. Hali hiyo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…