Mbowe pamoja na kuchangisha pesa mikakati iwe kuchukua dola 2025. CCM haikubaliki kabisa maana kwa mwaka mmoja tu imepoteza nguvu

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
2,580
3,383
Anza mikakati ya kutafuta wagombea makini kwa ajili ya udiwani, ubunge na urais. Pia chaguzi za serikali za mitaa.

Msisitizo ni kuwa hii ni wananchi kuikataa hii CCM ya wapiga madili hii ndio iwe hoja kuu.

Wewe binafsi usigombee maana haukubaliki. Tafuta watu makini.

2025 ushindi upo wazi kabisa.
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
12,086
12,693
CCM haifi kwa kuwa JPM hayupo tena.

CCM haifi kwa kuwa baadhi ya wafuasi wa CCM mlikuja chamani kwa sababu ya mtu.

Wewe kweli kamanda hamnazo unayejifanya ni mfuasi wa CHADEMA ilihali ni mwanaCCM mnafiki ,mjasiria tumbo kwa ajili ya mtu/watu.

CCM ni IMANI..

IMANI haiuawi /haifi eti kwa kuwa punguani /zwazwa mmoja anaichukia baada tu ya NABII mmoja miongoni mwa WENGI kuondoka ulimwenguni.

#Siempre JMT🙏
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
12,086
12,693
Ungekuwa una akili timamu usingeandika huu upuuzi. Mimi sio MccM mwenzako. Fanya tafiti upate majibu mitaani CcM haikubakiki kabisa.
Wewe ni CCM mnafiki....nakujua vyema tu...

Wewe ni CCM "zugazuga" unayetamalaki humu JF kwa ajili ya UTAWALA WA AWAMU YA 5....umeshakwisha wewe juha....CCM ipo tu fulafula wewe.... itaendelea kuwepo hata baada ya awamu ya 10 sakala wewe.....

#Siempre CCM🙏
 
Keenly

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
221
391

Aisee punguza hasira, inaelekea maisha bado kwako ni yale yale. 😃😃😃
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
12,086
12,693
Kubali ukweli ndio huo, bora mjipange na sio kubisha. Wananchi sio wale wa 2015.
Umeufanyia utafiti huo wapi ili iwe ni kweli ?!!!

Yaani usingizi umekuruka na kutuaminisha kuwa UKWELI ni ule tu unaopendwa na HISIA zako kinyume na UHALISIA ....

Ilisemwa CCM ingemfia mh.Kikwete....hilo limetokea ?!!?
 
Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
2,580
3,383
Umeufanyia utafiti huo wapi ili iwe ni kweli ?!!!

Yaani usingizi umekuruka na kutuaminisha kuwa UKWELI ni ule tu unaopendwa na HISIA zako kinyume na UHALISIA ....

Ilisemwa CCM ingemfia mh.Kikwete....hilo limetokea ?!!?
Unajua nini kilitokea baada ya kujua CcM inaenda kumfia Jakaya?
 
Keenly

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
221
391
Umeufanyia utafiti huo wapi ili iwe ni kweli ?!!!

Yaani usingizi umekuruka na kutuaminisha kuwa UKWELI ni ule tu unaopendwa na HISIA zako kinyume na UHALISIA ....

Ilisemwa CCM ingemfia mh.Kikwete....hilo limetokea ?!!?

Nipo likizo huku masaa yalipo mbele ya hapo unaposhindwa kupata usingizi. Fanya biashara ule maisha, acha kutaka kuwa fisadi. Ya JK ya nini kwenye uzi huu?
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
12,086
12,693
JPM hajatajwa kwenye Post lakini unavyoweweseka sasa nikama mwanamke anapomuona alie mtoa bikra.
Usichokijua ni kuwa sote mimi na huyo KAMANDA sakala tulikuwa wote tunamhubiri JPM wa CCM humu ndani....ajabu mwenzangu kaamua kuikandia CCM ileile.....

#Siempre CCM🙏
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
12,086
12,693
Wewe huna hoja zaidi ya ushambenga wa kiToT
Leo hii ?!!!

Lini umekuwa na hoja toka awamu hii ya 6 imeanza?!!!

CCM ni imani....ipo tu....CCM haiwezi kuwa imepoteza mwelekeo eti kisa tu MFUMO WAKO wa viposho umekatika.....

Acha usakala wewe hobobo......

#Siempre JMT🙏
 
Keenly

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
221
391
Wewe na huyo kamanda "zuga" ndio wenye hasira....

Mwenzako "mrija" wake UMEKATIKA....

#Siempre JMT🙏

Mtu akikatika mrija, umefaidikaje? Au makwenu hamkati mrija? Wewe hautakata? Furaha hiyo inakufaidishaje maishani mwako?

Mnavyomtaja kila mara inaonyesha kwamba, kuna mengi hakuna Mtanzania anaweza kuyafikia au kumfikia.

Alipendwa nawe pia, ndio maana unamuwaza na kuandika. Waliokata mirija kwenu,unawakumbuka pia kila sekunde?
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
12,086
12,693
Mtu akikatika mrija, umefaidikaje? Au makwenu hamkati mrija? Wewe hautakata? Furaha hiyo inakufaidishaje maishani mwako? Mnavyomtaja kila mara inaonyesha kwamba, kuna mengi hakuna Mtanzania anaweza kuyafikia au kumfikia. Alipendwa nawe pia, ndio maana unamuwaza na kuandika. Waliokata mirija kwenu,unawakumbuka pia kila sekunde?
Ni kweli nilimpenda.

Ila ninaipenda IMANI zaidi ya nabii mmoja miongoni mwa manabii wengi WANAOPITA kuihubiri hiyo imani.....acha uzwazwa

CCM ni IMANI yenye kuishi milele.
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
12,086
12,693
Mbona unalamisha ?
Acha kujifanya CHADEMA...unapoteza nguvu zako tu....

Ninyi ndio maadui wakubwa wa CCM kuliko hata hao CHADEMA.....

Sikiliza KAMANDA ZWAZWA....CCM ni imani....na IMANI haifi kwa kuwa nabii uliyempenda miongoni mwa WENGI ameondoka......

Tutolee unafiki wako hobobo wewe
 
Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
2,580
3,383
Acha kujifanya CHADEMA...unapoteza nguvu zako tu....

Ninyi ndio maadui wakubwa wa CCM kuliko hata hao CHADEMA.....

Sikiliza KAMANDA ZWAZWA....CCM ni imani....na IMANI haifi kwa kuwa nabii uliyempenda miongoni mwa WENGI ameondoka......

Tutolee unafiki wako hobobo wewe
Tayari umeshapatikana.
 
4 Reactions
Reply
Top Bottom