Kipi kiwanja safi na totoz za maana Mwanza?

kimbogota

Member
Apr 29, 2022
8
0
Leo niko huku kanda ya ziwa Mwanza.

Nitakuwa huku kwa siku tatu,kwa wenyeji wa Mwanza ni sehemu gani unaweza kupiga bia vizuri huku ukizungukwa na totoz nyingi za maana,nimezoea sana maisha ya Dar.

Kwa mwenye ufahamu adondoshe comment.

Karibuni.
 
The joint Isamilo, the cask pale Rock city mall ndio number 1 hasa ijumaa na jumamosi, jumapili Nenda elevate kule Malaika hotel kuanzia saa 3 usiku..

Jumapili kuanzia saa 11 jioni na jumamosi nenda pia Bonasera na Diamond kona ya Bwiru. Maeneo haya yote niliyokutajia kuna Class chicks.

Ijumaa jioni katembee Tunza beach utanishukuru.
 
Wananchi wengi ni washamba kwenye huu mji bado hawajakuelewa
 
CCM Kirumba kwa nyuma, kuna zombie za kutosha kuanzia saa moja jioni. Perioooood
 
Back
Top Bottom