Wakti wengine wanaonyesha uzalendo kwa kuvaa nembo na tai zenye bendera ya Tanzania, wanyama wakuu wa tanzania na mlima Kilimanjaro na Zanzibar tu huyu kijana ameamua kutufundisha maana halisi ya uzalendo.
Hivi ni kweli ni yeye tu aliyekuwa ameiona ndege ikianguka kwenye maji?
Tunajua kuna...
Serikali imeamua kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa kutumia chombo kinachoitwa Bodi ya mkopo (Higher education students' loans board, (HESLB)) kwa malengo gani? Je, ni kuongeza idadi ya wanafunzi wanaomudu kupata elimu ya chuo kikuu? Je, ni kuongeza idadi ya watumishi nchini wenye...
Kumekuwa na ongeseko la kusikika hotuba za Magufuli huko mitaani.
Katika maeneo niliyo shuhudia nimeona watu wakikusanyika na kutazama au kusikiliza hotuba zilizowahi kutolewa na hayati Magufuli.
Maeneo ya Baa, vijiweni, madukani na nyumbani. Maeneo yote inaposikika sauti ya Magufuli watu...
Najiuliza hili jambo mara nyingi kwani kuna wakati nilikuwa kule Sharjah,moja katika falme za kiarabu (IMARATI).
Siku moja ikanyesha mvua kubwa tena ya kutisha na kwa muda mrefu.
Nikajiuliza kule hakuna misitu kama huku kwetu tunayoitegemea kwa mvua,inakuwaje wapte mvua ?
PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali?
Au hatambui maana ya cheo ni dhamana?
2020 Mv Ukerewe iliua watu wengi yeye akiwa waziri mkuu. Shughuli za uokozi zilikuwa za kiwango cha chini...
Baada ya kuharibiwa kwa Yerusalemu 70AD, mlima sayuni (mount Zion) haukuweza kufahamika tena ulipo. Ndio maana mwanahistoria Josephus hajaeleweka kuhusu location ya hekalu kwasababu maelezo yake yanapingana na kinachoitwa mlima sayuni leo hii.
Hekalu la mfalme Suleiman lazima lijengwe tena...
Hello wana JF,
Iatia hasira sana, tangu ni nunue his hiyo bank mwaka 2015 kwa tshs 500 mpaka leo haijawahi panda na zaidi inashuka leo hii ths 380 kwa hisa.
Naona hii bank itakuja ishia na pesa za watu. Kama wameshindwa kuiendesha basi bora ifungwe. Ninachoona kuna wajanja wanakula pesa...
Jamani hivi mmegundua kuwa tangu itangazwe kuwa kuna upungufu wa Maji unaosababisha mgawo, DAWASA wameanza kuzibua Visima 161 mitaani huko ambavyo havikuwa vikifanya kazi.
Kwa jinsi hali ilivyo ni wazi kabisa kuwa hawa jamaa DAWASA hawana kawaida ya kuchukua tahadhari yoyote kuhusu dharula ya...
Wana JF kuna mpangaji mwenzangu mumewe alimtelekeza na mtoto wa miaka 7, na mda sana tangu amtelekeze dada huyu amekuwa akipambana mwenyew akiuza genge lake ili kujikimu katika mahitaj yake mbalimbali.sa nmetokea kumtamn sana maan bado n mdogo umri ake hauzid miaka 25.
Huwa anakuja getho kwang...
Tangu tukiwa wadogo tumekuwa tukiambiwa wewe ni mtoto wa kiume Acha Kulialia jikaze, tangu lini umeona mtoto wa kiume analalamika hovyo! Haya na mengine mengi yamemjenga mtoto wa kiume kumeza machungu yake yeye mwenyewe pasina kuomba msaada Kwa watu wengine,kumemfanya kupambana na mitihani...
Hii adhabu tunayoisikia kila uchwao ya kunyongwa hadi kufa ina maana ya kumtundika mtuhumiwa kwenye kamba au hutekelezwa pia kwa njia zingine kama kiti cha umeme au sindando ya sumu hapa kwetu?
Wataalam wa Saikolojia ya Mapenzi (mibanduano) wanasema kuwa ndani ya mwezi ni siku sita ambazo wanawake hutamani kupenziwa (kubanduliwa) na wanaume ila siku zingine zote huwa hawajisikii hamu. hivyo ni kama vile wanaume wengi huwa tunapiga punyeto tu ndani ya mbunye zilizo mbele yetu.
Sasa...
Kwema watu wa Mungu?
Naomba kuuliza,hawa heslb wamemwekea mdogo wangu hii status kwenye account yake.
Je kuna matumaini yoyote ya kupata mkopo kweli au ndiyo nijipange na mapema tu kumtafutia ada?
NOTE:amechaguliwa SUA kozi ya veterinary medicine.
Baada ya kuwafurusha Kipanga mabao saba, tumepewa hiki kikundi cha Wakongomani wa jangwani wanaoitwa Utopolo.
Tujipange kwa ajili ya sherehe pale kwa Mkapa na hitimisho kule Tunis.
Wadau!
Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Leo asubuhi nikiwa njiani kwenda kazini nmekutana na madubwi yasiyopungua 5 njiani. Binafsi sijawahi kabisa kuvutiwa kuyacheza, ila ongezeko la hizi mashine mtaani limenifanya nijiulize sana kuhusu mashine hizi.
Kuna kipindi wakati niko Rombo nakumbuka nilienda kumuoji mzee mmoja anaitwa mzee Afande kuhusu maswala ya zamani. Yule mzee alinambia kuwa kat ka maisha yake amemwona babu yangu (nami namfahamu), baba yake babu yangu (alifariki 1983 simfahamu) na babu yake baba yake babu yangu (simfahamu). Na...
Muhanga mkubwa wa vita huwa ni ''ukweli" kwani nivigumu sana kupata ukweli wa chanzo cha vita, pia ni ngumu zaidi kupata ukweli ndani ya uwanja wa medani. Hali hii inasababisha na ubaya we vita ambao huweza kubadilisha Maisha kuwa kama jehanamu. Vita ya kagera mpaka leo chanzo chake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.