Manara tumembeba habebeki. Ndo maana Simba walimfukuza. Huyu jamaa ni kirusi

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Manara ana Nyota ya Ufitini na Uchonganishi. Wakati anakuja kwa Steve kuomba asaidiwe usemaji Yanga, mimi nlikuwa mmoja ya watu ambao tulikuwa tunaona Manara kafukuzwa kwa kuonewa Simba.

Lakini kwa kipindi hiki ambacho tumekaa naye huyu jamaa ni kunguru. Hafugiki. Kashawachonganisha watu wengi sana kwa Ghalib. Watu wananyamaza tu sababu yeye anaonekana kama ni mwandani wa Ghalib wa muda mrefu sana.

Uongozi kwa kiasi fulani ni kama unamuogopa sababu ya ukaribu wake na Ghalib.... Ila watu wanamwangalia tu jinsi anavyojishengendua kikahaba. Amefikia hatua anawaponda hata waliomsaidia.

Mimi huwa sikubaliani na Steve maana naye ni mlaji wa mdomo ila katika hili alihusika sana kumsaidia Manara ambaye tayari alikuwa ameshachanganyikiwa hasa tena baada ya Azam kumkataa. Maana yeye anasema ilikuwa Azam wamchukue lakini dakika za mwishoni wakamkataa.

Tumemsaidia sasa amekuwa chawa mpaka anapitiliza. Sisi tunamwangalia tu

Screenshot_20220410-114524~2.png
 
Azam walimtosa hadi ubalozi, Bakhressa hapendi mambo ya kijinga alivyoanza kumtukana Mo kwa ku compare na Bkhressa mzee akaona utoto huu.

Hata Harmonise alivyotoa kale kanyimbo alihisi mzee angebabaika ndo kwanza siku hiyo kafika kwa mzee bila appointment kule masaki kaishia kufukuzwa getini kama mbwa.
 
azam walimtosa hadi ubalozi, bkahressa hapendi mambo ya kijinga alivyoanza kumtukana Mo kwa ku compare na Bkhressa mzee akaona utoto huu ,hata Harmonise alivyotoa kale kanyimbo alihisi mzee angebabaika ndo kwanza siku hiyo kafika kwa mzee bila appointment kule masaki kaishia kufukuzwa getini kama mbwa
Weee kumbe yaaw yaaaw alifukuzwa kwa bakhresa?
 
Wewe ni Bumbuli?
Kwani hakuna maelewano mazuri kati ya bumbuli na manara mpaka ufikirie hivyo

By the way bumbuli yuko positive sana na anashikilia vyema dhana ya utani kwa ku behave kama mwana sport.

Nilimuona juzi kwenye interview ya Ahmedy Ally akiwa mcheshi tena politely na leo tena nimeona akikabidhiwa jezi ya timu pinzani wanayokutana nayo leo kwenye robo ya ASFC
 
azam walimtosa hadi ubalozi, bkahressa hapendi mambo ya kijinga alivyoanza kumtukana Mo kwa ku compare na Bkhressa mzee akaona utoto huu...
I guess kwa kuwa tajiri ndio unamuita mzee, Angekuwa maskini usingeweka neno "mzee" duh kweli everyone wants to be a friend of the rich, everyone likes the man who controls the means of living
 
Azam walimtosa hadi ubalozi, Bakhressa hapendi mambo ya kijinga alivyoanza kumtukana Mo kwa ku compare na Bkhressa mzee akaona utoto huu.

Hata Harmonise alivyotoa kale kanyimbo alihisi mzee angebabaika ndo kwanza siku hiyo kafika kwa mzee bila appointment kule masaki kaishia kufukuzwa getini kama mbwa.
Acha uongo na chuki Bro Manara bado ni balozi wa bidhaa za Azam na Asas unadanganya hapa ili uoneshe wewe ni mwanaume wa aina gani?
 
Back
Top Bottom