maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Naona kama simridhishi demu wangu, ni wa moto sana

    Money Penny njoo kwanza unishauri Jamaa: Nimepata demu mkali, ana shepu kama Vera Sidika wa Kenya Mkali sana Mzuri sana Hapa hapa bongo Ila kila tukiingia kwenye tendo la ndoa naona kama simridhishi, au ni wasiwasi wangu tu? Maana ni wamoutoooooor halafu ana nata sana Nifanyaje? Haya wale...
  2. Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

    Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!. Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba. Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu. Mimi binafsi simpendi na si...
  3. K

    Je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring?

    Wakuu niko njia panda kipi kianze je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring juu ya dari maana kuna wizi wa hizi nyanya sana
  4. Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

    Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini Lakini Kama kuna pesa wasanii wenzake siwangeenda Pia Dah inauma sana ,bora wajitokeze watu wamsaidie TABLE TURNS...
  5. Ni dhahiri kuwa CHADEMA wameikataa ofa ya kupewa wabunge wa mezani walioahidiwa na CCM. Maana sasa wamechachamaa

    Kauli za kiongozi mwandamizi wa CCM ndugu A. Kinana kuwa Chadema wanakiuka misingi ya maridhiano ni picha kuwa Chadema wanashusha maneno mazito yanayoumiza umtima. Sakata la bandari limeibua mengi. Huko mikoani Chadema wanashambulia majukwaa . Wanaongea mengiii kiasi cha kuonekana wanakiuka...
  6. Yanga shukuruni maana ratiba ya African Football League msingeiweza

    Yanga wamekuwa na tabia ya kuomba mechi zao ziahirishwe pale wanapokuwa na mfululizo wa mechi . Ni juzi juzi tu hapa tulikuwa tunajadili ni kwa nini mechi ya Yanga vs KMC iliahirishwa ilhali Yanga walikuwa wacheze na katimu kadogo ka ASAS Djibouti kwa mechi zote zilitakiwa kuchezwa Dar es Salaam...
  7. R

    Kwanini Mhe. Nape asijiari? Amekiri mabadiliko ya baadhi ya mawaziri yalifanya awashe AC kwa hofu; maana yake anafahamu kwamba hayupo pale kwa merits

    Waziri Nape amekiri aliposikia mkeka wa mabadiliko ya Mawaziri umetoka ilibidi aongeze AC kwa hofu aliyokuwa nayo. The same minister wakati wa Magufuli alimtafuta hadi Mama Maria Nyerere amwombee msamaha kwa JPM; Mtu kama huyu kwanini asijifunze kujitegemea? Kwanini asijiajiri ili afanye kazi...
  8. Nini kimejificha kwenye Uteuzi wa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu? Nini maana yake kihistoria na upi mwelekeo wa Nchi baada ya Uteuzi huu?

    Baada ya kufatilia mjadala huu kwa ukaribu Sana na kuona wengi Wakitoa Presidential Decree mbalimbali zinazolindwa na katiba nimeona sio vibaya kama na mimi nitakuja na Historia kwa sababu historia huwa haidanganyi na ndio suluhisho Lini Hiki cheo kilikuwepo na watu walioteuliwa,Na nani...
  9. Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

    Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa? Kwa miaka 3 hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu...
  10. Shekhe acharuka Mwamposa kuingiza milioni 900

    Shekhe anadai Mwamposa aliingiza million 900 siku ya mkesha wa chako ni chako katika uwanja wa Mkapa kwa kuuza udongo tu.
  11. K

    Ina maana DP World imeizika kabisa Bandari ya Bagamoyo?

    Miezi mitatu tu baada ya kufariki kwa Rais wa Awamu ya tano Dk John Pombe Magufuli, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya mama Samia, ilianza mazungumzo na wawekezaji kufufua mradi wa Bandari ya Bagamoyo pamoja na ule wa Mchuchuma na Liganga. Juni 26, 2021 wakati akifungua mkutano wa 12 wa Baraza...
  12. Usalama wa taifa wamshauri Putin kumfuta kazi waziri wa ulinzi maana aibu imepitiliza

    Wanashangaa kwanini bado yupo ilhali taifa linapitia aibu yote hii na mateso mengi tu....wanajeshi wanauawa kama senene kule kwenye uwanja wa mapambano huku drones za Ukraine zinajipigia popote ndani ya Urusi ikiwemo hata ikulu. Some in Russia's intelligence services are calling on dictator...
  13. Waraka umeanza kuleta Majibu

    Wakati Majujee wanaendelea kuwehuka badala ya kusoma hoja, taratibu wengine wanaanza kurudiwa na fahamu. Sitakua na cha kuongea, bali mjionee.
  14. Mradi wa kiuchumi mnaufanya mjadala wa kidini. Hamna maana kabisa

    Haijapata kutokea katika historia ya nchi yetu masuala ya kiuchumi kugeuzwa mjadala wa kidini. Kuliwahi kuwepo na miradi ya kifisadi iliyodumu na kuleta athari mbaya kwa nchi wakati wa maraisi walipita yote ilijadiliwa kwa ufisadi wake na yote yaliyofuata yalikuwa malalamiko ya kawaida tu.Huu...
  15. Tafakuri ya FaizaFoxy 8; Ni nini maana ya "Mahaba" (Love)?

    Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba. Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi, mapenzi, pendo, upendo nakupenda, sikupendi na kadhalika...
  16. K

    Busara za wazee: Mfumo wa vyama vingi uendelee lakini CCM iendelee kutawala mpaka pale...

    Kuna kijiwe ambacho mida ya jioni, wazee hukutana kujadili baadhi ya vitu na kubadilishana mawazo, watu wengi hukusanyika hususani vijana kuchota busara za wazee hao. Watajadli mambo mbalimbali kuanzia mpira, Imani mpaka siasa na yote wanayojadli vijana huokota chochote Cha kuwafaa maishani...
  17. Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki...
  18. Mtu anayepata Uraisi afu anaanza kunawili Usitegemee jambo lolote la maana kwenye Taifa

    Asikwambie Mtu Uongozi ni kitu moja kigumu sana. Uongozi wa aina yoyote ile hata kama una ongoza watu 20 kuna challenges kibao lazima kichwa kiume. Sasa unapokuka ngazi ya uraisi ndiyo balaa zaidi nywele zote kichwani zinaweza kuisha kwa kuwa na majukumu mengi. Cha kushangaza mtu anakuwa...
  19. Nini maana ya ndoto hii?

    Nimeota nipo sehemu nisioijua ni kama mji hivi, umechangamka kiasi nikajikuta na mtu nisiemjua, tukaenda kwenye mwembe uliokua umemwaga maembe mengi lakini hayana muokotaji. Basi tukaanza kuyaokota lakini mengi yalikua mabichi nikasema niokote mabichi ndio makubwa na la kuiva lilikua dogo...
  20. K

    Hii kauli ya Mo ina maana gani?

    Rais wa heshima wa Simba Mohammed 'Mo' Dewji, amewaambia wanasimba wote: "Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji' Nimejiuliza hii kauli ina maana gani? Kwa nini itoke sasa? Kama ni kutoa pesa kwa nini atoke hadharani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…