Hii kauli ya Mo ina maana gani?

Kichuchunge

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
338
891
Rais wa heshima wa Simba Mohammed 'Mo' Dewji, amewaambia wanasimba wote: "Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji'
Nimejiuliza hii kauli ina maana gani?

Kwa nini itoke sasa? Kama ni kutoa pesa kwa nini atoke hadharani kusema? Mbona matajiri wengine kama akina GSM, Yusuph Bakhresa wa Azam au wa Singida wanatoa tu pesa bila kujitangaza walichotoa?
 
Ameongea hivyo sababu Kuna watu wasio watu wa mpira Huwa wanamwandama sana na maneno ya chini kwa chini.
 
Rais wa heshima wa Simba Mohammed 'Mo' Dewji, amewaambia wanasimba wote: "Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji...
Ana akili/mawazo ya kimasikini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom