Ni dhahiri kuwa CHADEMA wameikataa ofa ya kupewa wabunge wa mezani walioahidiwa na CCM. Maana sasa wamechachamaa

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Kauli za kiongozi mwandamizi wa CCM ndugu A. Kinana kuwa Chadema wanakiuka misingi ya maridhiano ni picha kuwa Chadema wanashusha maneno mazito yanayoumiza umtima.

Sakata la bandari limeibua mengi. Huko mikoani Chadema wanashambulia majukwaa . Wanaongea mengiii kiasi cha kuonekana wanakiuka maridhiano. Picha ni kuwa sasa hata ubunge wa ofa hawautaki tena kama hapo awali, ambapo walionekana kufurahia fursa na kuanza kurandaranda majimboni.

Sasa hivi wapo busy kumwaga sumu...
 
Sasa hata Katiba Mpya hawapati
 
Hawaipati kutoka kwa nani?

Katiba huandikwa na wananchi wenyewe..

Serikali inatakiwa ku - facilitate tu zoezi hili..

Wananchi wakichoka kuibembeleza serikali kuchukua hatua za ku - facilitate mchakato, basi itabidi ifanye hivyo kwa kulazimishwa...!!

Asante🙏
Kwa CCM
 
CCM nao ni sehemu ya hawa wananchi ninaowasema..

CCM hawana haki kuzidi wananchi wengine na wao wala hawana maamuzi yao kuhusu katiba..

Ofcoz wao ndiyo wanaongoza serikali. Lakini serikali ipo pale kwa mujibu wa katiba...

Na katiba ni makubaliano ya wananchi wenyewe ya namna yao ya kujitawala au kuendesha mambo ya nchi yao..

Wenye utaratibu (i.e wananchi) wakiamua kujibadilishia, utaratibu wa kujitawala, basi inakuwa hivyo na hakuna serikali ya kuzuia mabadiliko hayo..!

Ndiyo maana nikakuambia, wakileta za kuleta, basi the circumstances shall force to abide to the changes..!
 
Kauli za kiongozi mwandamizi wa CCM ndugu A. Kinana kuwa Chadema wanakiuka misingi ya maridhiano ni picha kuwa Chadema wanashusha maneno mazito yanayoumiza umtima.

Sakata la bandari limeibua mengi. Huko mikoani Chadema wanashambulia majukwaa . Wanaongea mengiii kiasi cha kuonekana wanakiuka maridhiano. Picha ni kuwa sasa hata ubunge wa ofa hawautaki tena kama hapo awali, ambapo walionekana kufurahia fursa na kuanza kurandaranda majimboni.

Sasa hivi wapo busy kumwaga sumu...
potelea mbali wacha liwalo na liwe
 
Back
Top Bottom