Jaji wa Namibia anakuja kushirikiana na tume za Samia kuchunguza mauaji ya 29.10.2025.
Tume ya Huduma za Mahakama nchini Namibia (JSC) imemteua Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus T. Damaseb, kujiunga na Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Jinai nchini Tanzania inayochunguza chanzo cha ghasia...
Siku ya tatu leo nipo Tanzania. Sasa leo naondoka kuelekea Arusha . Kwa muda ntakaoondoka natagemea kufika Arusha saa 8 Usiku kuwa Karatu. Nataka enda Ngorongoro na Serengeti Weekend hii
Swali ni kama nitafika Arusha saa 8 usiku nikaenda Hotel kulala. Lets say nimefika nikaandika Check in...
Habari
Hatukatai kwamba kwa sasa serikali inafanya mambo mengi ambayo wananchi hawayafurahii na kiwango cha uungwaji mkono ni kidogo sana kulingana na aina ya utawala uliopo
Matukio mengi yanayoripotiwa kama ukosefu wa uwajibikaji ,vitendo vya rush wa, utekaji ,mauaji ya raia wasiokua na hatia...
Inasikitisha sana kuona kijana hujiwezi kiuchumi, lakini unalazimisha sherehe ya harusi na kuanza kusumbua watu na kadi za michango. Kibaya zaidi, wengine tayari mmeshajenga familia, mmeshazalisnana maisha yanaendelea sasa hiyo sherehe kubwa ya gharama kwa wakati huo ni ya kazi gani?
vijana...
Wengi wetu humu tumo kwa ajili ya kutafta attention. (subconsciously kila mtu hupenda kuonekana)
Binafsi napenda kuwa the center of attention.
Sikupata attention, growing up. Sio kwamba wazazi hawakunipa maisha bora, nooo.. Ni kuwa nilikosa upendo wao wa dhati, ilionekana ya kuwa wao...
Kwa sisi wazoefu wa football ya nchi hii tunajua kuwa, hizi timu mahasimu wawili simba na yanga zinahitaji kuwa na viongozi katili kweli kweli.
Jiulize kwanini mahasimu wetu yanga linapokuja suala la mangungu wanamtetea kweli kweli? Jibu ni hili, dhaifu rahisi kuingilika. Jamaa ni mbobevu...
Wanawake ambao huwa wanatoa namba za simu kwa uchangamfu mkubwa tu baada ya kuombwa na wanaume kisha wakishaachana wanawapotezea (ghost) au kujifanya matawi huwa ni wapuuzi wakubwa sana.
Kama huna mpango wa kuwasiliana na mwanaume hakuna haja ya kutoa namba ya simu.
Ona huu unyama hao wapinzani waliopitia
1. Maalim seif alinyang'anywa uraisi na zecha .aliteswa sana na CCM machafuko ya 2001
2. Lipumba alipigwa hadi kuvunjwa mkono huko zanzibar 2001 na mhanga wa mauji hayo.na juzi kafanyiwa fitina akaporwa uenyekiti.
4.Dr slaa alipigwa na kuvunjwa mkono...
Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama.
Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
Wengine sijui ndio umri au vipi, hizi lugha za mtaani zinaanza kutupita sasa.
Rafiki wa girlfriend au mkeo akikuita shem darling anamaanisha nini.
Hii shem darling ni jina, utani au code?
afcon
afcon 2027
caf
chadema
dalili
evarist chahali
fifa
gani
hii
iko
jasusi
kushindwa
kuu
kwao
maana
msigwa
peter msigwa
political
poor
salama
samia
strategy
ugaidi
ujumbe
wanajua
wenzake
Maendeleo ni matokeo ya kazi, bidii, maarifa na juhudi. Falsafa ya mwenge wa uhuru ni mazingaombwe na miujiza, eti mwenge unaleta amani. Mbaya zaidi miaka michache mbeleni ikaibuka vita vya Kagera, haukupelekwa mwenge kwenye uwanja wa mapambano, walipelekwa askari wetu, na wakafa kwa wingi huko...
Haya ndiyo madhara ya Elimu mbalimbali; Mtu level za akina Bashite na Baba Levo lakini kutwa kuchwa kujikuta kukimbilia tu PhD pasipo kujua uzito wa hadhi hiyo kitaaluma. 🚮🚮🚮
waafrika tunapenda kujitetea ili kufanya make up upumbavu wetu, kwa sababu unafanya ushirikina sasa unataka uhusishe na wengine ili usionekane fala.
Mmezidiwa mamlaka, mmezidiwq akili, mmenunuliwa kwa pesa alafu mnataka kusema mchina ku-survive hapo kariakoo eti kwa sababu anachinja sana mbuzi😁...
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno ya Lissu Akilalamika na kumlalamikia Katibu Mkuu wake John Mnyika kuwa watu waliojitokeza ni wachache sana na kwamba inaonyesha hajafanya Hamasa ya kutosha ili watu waende kwa wingi kusikiliza kesi.
Lissu ni lazima afahamu kuwa watu wana kazi zao na...
Kwa nini watu wengi wanaamini vyakula vilivyo tiwa viungo vingi na nakshi mbalimbali ndio vyakula vitamu hadi kufikia kumsifu mpishi kuwa anajua kupika??Je viungo ni vya lazima sana kwenye mapishi?mbona Mimi naona viungo vinapoteza ladha halisi ya chakula husika??na hapa ndipo ninapoona anaepika...
Amenunua hiki kiwanja kina sq merter 510 KIBAHA ila analalamika kwasababu ya umbo la kiwanja na bei aliyouziwa....yaan anaona kiwanja kimekaa umbo la pembe 3 hivyo hapafai au hapatoshi kujenga nyumba.
Mfano wa hicho kiwanja kilivyo kaa ni hiki apa
Hicho chenye umbo la pembe 3, kimeandikwa 510...
Mnavo angalia zile sinema mfano spider man,wolf na zengine zikiwaonesha wanadamu kuwa na mwingiliano wa viumbe ni ujumbe wanawapa mujiaandae.
Leo kuku anaweza kukuambukiza magonjwa yake au mnyama wakati sio genetic yake.
Kuna project ambazo ni za siri sana inasemekana genetic ya mwanadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.