Nini maana sexual fantasy?

Nini maana sexual fantasy?

kufanya ngono kihisia hasa hasa kwa kupata vichokoo vinavyoamsha msisimko.
Mfano kutazama picha na video za ngono mathalani bila picha hizo hupati hisia kali unayatakiwa kuwa nayo.


kwa hali hiyo inachochea homoni ya dopamine ambapo usipoweza kujitawala unakuwa mraibu (addicted) wa ngono.
Poor Brain
dronedrake Mbaga Jr
 
Wenye kufahamu kwakina Nini maana sexual fantasy?

Tupeane maarifa maujuzi sasa

Uwanja ni wetu
Sexual fantasy (kwa Kiswahili: njozi za ngono au maono ya kimapenzi ya kufikirika) ni picha, mawazo, au matukio ya kimapenzi ambayo mtu anayawazia kichwani mwake ili kujisisimua au kuongeza hamu ya siri ya kimapenzi. Mawazo haya hutengenezwa na akili au ubunifu wa mtu mwenyewe. Mara nyingi yanajumuisha mambo ambayo mtu anatamani kuyafanya au kushuhudia katika tendo la ndoa.
 
Siwezi kueleza chochote Ila watu wana mambo mazito uliyasikia utajiona mpya huko kitandani na mubebeziii
 
Sio kunyandua while drinking fanta kweli.

Ila bro u can google for more usisumbuke kusubiri jibu hapa
 
Back
Top Bottom