Pili pili hoho, hasa hoho za njano ni moja ya matunda yenye Vitamin C nyingi zaidi. Ina vitamin C nyingi kuliko machungwa na malimao.
Vitamin C ni muhimu sana katika kujenga mwili na kujenga kinga ya mwili. Ukosefu wa vitamini C uliua sana mabaharia wa zamani baada ya kuwa wamekosa matunda na...
Ndugu zangu Watanzania,
Hata Hayati Baba Wa Taifa Amewahi kusema na kuandika katika kitabu chake cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania cha Mwaka 1994 ya kuwa Ukimtikisa Rais Wa Nchi unakuwa Umeitikisa Nchi yaani Huwezi kumtikisa Rais wa Nchi na Nchi ikabakia Salama.
Unaweza kumtikisa...
KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo.
Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Uandishi wa Sheria Bungeni, Ndugu Agnes Ndumbati akielezea mchakato mzima wa Muswada wa Sheria kabla haujawa Sheria kamili.
"No Reforms No Election sio uhaini, ni kauli mbiu ya kudai mabadiliko ya sheria na katiba kabla ya kwenda kwenye uchaguzi. Tulizunguka kwenye balozi na asasi za kiraia kuelezea ujumbe wetu kuhusu No Reforms No Election. Ingekua kauli ya uhaini tusingeweza kwenda kote huko. Tulienda pia kwenye...
Kuna clip nimeona Sheikh Walid anatoa daawa mi
sikitini halafu wanainuka watu wanampa pesa kwa kumuwekea kwenye mifuko ya koti, kumshikisha mkononi na nyingine hadi kwenye bargashia!
Huu utamaduni wa kutunza/kutunuku pesa bongo huwa una maana gani hasa ? Huwa naona nchi nyingine utunzaji...
Kauli za wanasiasa wasio na Maadili zinaathari kubwa sana kwenye ustawi wa Taifa letu, Leo hii serikali imerudi nyuma kutengeneza miundombinu ambayo ilishamalizana nayo kitambo kwasababu ya kauli za hovyo za viongozi wajinga na wapumbavu so paining 😭
Sheria zipo na hazimuogopi mtu.
Mtu mmoja...
Kauli HIZO amezitoa mwenyewe Civilian-Coin akikanusha kuwa hajawahi kukutana Wala kuonana na watoto wa Rais mstaafu wa marekani Barack Obama na Hana mpango huo labda nafsi ikifunguka.
Kumekuwepo na machapisho yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii yenye nukuu mbalimbali zinazodaiwa kuwa zimetolewa na viongozi wa nchini Tanzania.Moja ya kurasa hizo ni mjadala tv na siasa za kweli ambazo huchapisha maudhui hayo mara kwa mara
WATIBELI TUNAJUA PESA INAUMA KULIKO MAPENZI NDIO MAANA HATUMGHARAMIKII MWANAMKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Vijana waliowahi kuwasiliana na mimi kila mara nawaambia kwenye mahusiano, pale wanapojiweka karibu na wanawake. Kitu kikubwa wanachotakiwa kukilinda kuliko kitu chochote ni PESA...
Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
Huwa najaribu kuwaza kunamatangazo. Haya ya pombe mwisho huwa wanasema haiuzwi kwa waliochini ya miaka 18. Je ni kweli wahudumu huwa mnawauliza wateja wenu umri wao kabla ya kuwauzia bia??????
Jana tena katika ajali ya basi na Aphard huko Moshi, msemaji wa Polisi anasema vikosi vya polisi na Zimamoto walifanikiwa kuzima moto. Nashindwa kujua hayo mafanikio wanayoyataja ikiwa hali ya basi lililoungua ni kama hapa chini. Kauli hizo ni sawa na zile nyingine kauli potoshaji za Polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.