maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre International School

    JamiiForums Tanzania Mpatie mwanao elimu maana ndio urithi wa kudumu

    📚 ELITE HOME TUITION 🏠🎓 Unahitaji Mwalimu Binafsi (Private Tutor) kwa ajili ya mtoto wako? Elite Home Tuition inakusaidia kupata walimu wenye uwezo na uzoefu kulingana na darasa, curriculum na mahitaji ya mwanafunzi. ✅ KG hadi University ✅ Cambridge, IB, British, Indian & Kenyan Curriculum ✅...
  2. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Tyler Perry: Kamwe sitakuja kuoa maana Ndoa ni Utapeli

    Muandaaji na muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani, Tyler Perry amenukuliwa akisema kwamba "hatakuja kuoa maana anaamini ndoa ni utapeli" Ninacho ogopa siyo ndoa, bali ni talaka ambapo mwanaume hupoteza zaidia ya nusu za mali zake kumpa mtaliki wake pale wanapoachana Ameongeza kuwa...
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Ndo maana nimepanga kuoa foreigner

    Kuna kisa kimetokea manyuzi tu na kimenifanya lile wazo langu la kuoa mwanamke asiye mwafrika kuzidi kukomaa... (Sidhani kama Nitakuja kuoa mbongo au mwafrika) Unajua nini, ukweli usemwe tu wanawake wa huku Africa ni vichomi. Sio kwa ubaya ila ni kitu ambacho kinazidi kudhihirika.. Ni hivi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Mkubwa Viongozi wa CHADEMA Wakiongozwa na Heche Walishazitafuna pesa za Michango na kuanza kuhaha kufidia . Ndio Maana wakasogeza mbele

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna watu wahatari na balaa linapokuja suala la pesa basi ni Viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unatakiwa uwaweke mbali na pesa ama harufu ya pesa basi ni viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unapaswa kutokuweka Imani yako linapokuja suala la pesa na harufu ya pesa...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Emmanuel ni neno la Kiebrania maana yake ni Mungu yu pamoja nasi Isaya 8:8

    Manabii walihubiri kwamba nyakati za mbele mataifq yote yamtafahamu Bwana na kumkimbilia Isaya 42:6;45:14
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hakuna tumaini la kesho bora wewe kijana uliewekeza katika upole na unyenyekevu maana wanaokusubiri mchezoni hawakutazami kama mstaarabu bali mnyonge

    Katika hii dunia ambayo walio top ya foodchain ni fisi tena fisi wenyewe wana hurka ya kula mnyama akiwa hai, yaani hawa kabi kwanza shingo ufe, unaanza kuliwa huku ukishuhudia. Ndoto za watu wengi zimepotea kwa kuingia katika huu mchezo wa maisha kwa style ya ustaarabu, kuna tofauti kati ya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Huyu baharia wa "SAUZI" akitumika vizuri na Polisi/Uhamiaji, anaweza kuwa Balozi wa maana sana katika kupambana na janga la vijana kuvuka mipaka.

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Huyu baharia wa "SAUZI" akitumika vizuri na Polisi/Uhamiaji, anaweza kuwa Balozi wa maana sana katika kupambana na janga la vijana wadogo kuvuka mipaka bila utaratibu. Ndugu Katibu Mkuu, Wizara ya mambo ya ndani. Natumai barua pepe hii inakukuta ukiwa mzima wa...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hijabu haina maana, tamaa ya wanaume wengi ni makalio, matiti na sura

    Hakuna mwanaume anayejali nyweli au kichwa cha mwanamke. Mwanamke hata awe na kichwa kizuri na nywele za peponi hisia za wanaume zinaanzia kwenye makalio, matiti na sura. Dini imewafanya wanawake kituko na hamnazo kufunika kichwa huku wameyaachia makalio yanatikisika yakivutia wanaume.
  9. VanDon

    JamiiForums Tanzania Ni nini EL NIÑO na madhara yake

    Haya hapa maelezo kwa ufupi (njia ya picha) juu ya maana, inavyotokea, madhara, na tahadhari juu ya El niño.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa uelewa wako nini maana ya kutumia mantiki (logic) vs mihemko (emotions)?

    Tumesikia mara nyingi kauli kama 1.Anafanya maamzi kwa mihemko 2.Kukurupuka 3.Kwa kufuata hisia 4.Kwa logic(mantiki) 5.Kwa kufuata upepo(fallacy) Kwa uelewa wako unatofautishaje kati ya kuamua kwa mantiki na mihemko? ShesRise_1 Mshana Jr win-one de Gunner Infropreneur et al
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanaosema Ukristo sio dini huwa wana maana gani?

    Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini. Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
  12. Right Flower

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wanawake tunaharibu muonekano na mvuto wetu kabisa ndio maana siku hizi hatuwavutii mabwana zetu.

    Huyu kaka amezungumza ukweli mtupu, tunajiachia sana siku hizi na hapo ndio tunaboronga tunakua manungaiyembe. Tujitunze kuzuia kunenepeana japo maisha yamebadilika teknolojia imerahisisha maisha lakini tujitafakari. https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania SAMIA : MPANDISHE CHEO IGP AWE WAZIRI WA MAMBO YA NDANI HALAFI WAZIRI AWE IGP AU MPELELEZI MAANA ANAFANYAKAZI ZA POLISI

    Yule Waziri anajia work descriptions zake kweli ? Ukute alimwagiza IGP kufanya anachokifanya akagomewa akaona sio kesi afanye hayo mahojiano mwenyewe
  14. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Vilio vinasikika kila kona ya Tanganyika. Wanawalilia wapendwa wao maana yamkini hawatoonekana tena. Wametekwa na waovu.

    Wengi wa waliotekwa na wanaotekwa ni vijana wa umri tofauti walioowa na ambao hawajaoa. Kwenye serikali ya awamu hii, vilio vinasikika kila kona ya Tanganyanyika kwasababu zisizoeleweka watu wanachuuuliwa kama mwewe anavyonyakua vifaranga vya kuku. Hakuna wakuwasemea wala kuwatetea. Imefika...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi ya Ajabu?, Pamoja na Fursa Zote za Kidigiti, Mpaka Leo Bado Hatuna Sheria ya E-Commerce?!. Usikute Ndio Maana Tunachelewa Sana Kuendelea

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo nikiishangaa jinsi nchi yangu Tanzania tulivyo nchi ya ajabu!, pamoja na fursa zote za kidigiti, na biashara ya mtandaoni, lakini mpaka leo bado sisi Tanzania, kama nchi, hatuna Sheria ya biashara mtandao, E-Commerce...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwana JF nini maana ya financial freedom? Ni vitu gani vitakubana usiifikie na vitu gani vitafanya uifikie?

    Eyce Marcostilone life255 Hata uende wapi, ufanye nini na uamue uishi vp ujue kuwa pesa na urahisi wa maisha ndio inabaki kuwa motisha ya confidence, afya chanya ya akili na amani moyoni. Na ili ufike hali hii inabidi utoe kafara ya mambo lukuki maishani mwako especially tabia ulizoea hadi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kipanya ana maana gani hapa?

  18. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika ni kiboko, ndiyo maana alikuwa Tanzania One! Soma alivyombabadua Katuga

    Katibu Mkuu wa Chadema anaendelea kutoa ushahidi wake. Mahakama imerejea muda huu saa tisa kasoro alasiri. Majaji wameingia tayari na Ajuaye Zengeli anasema wako tayari. Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika anapanda kizimbani. Anasimama KATUGA anasema atakuwa na maswali machache labda kama...
  19. HOST NOT FOUND

    JamiiForums Tanzania Kumbe ambao hawajaoa/kuolewa amri ya saba haiwahusu? au Usizini maana yake nini Wajuvi

    Nimekuwa nikitafakari kuhusu Amri ya Saba: “USIZINI” (Kutoka 20:14), na hapa ndipo nimekwama kidogo. Kama kwa maana ya kawaida uzinzi ni mtu aliye kwenye ndoa kufanya tendo la kingono nje ya ndoa, je, hii means vijana ambao hawajaoa/kuolewa hawahusiki kabisa na Amri ya Saba wanapofanya sex...
  20. polokwane

    JamiiForums Tanzania Sera ya CCM kuwa wafia chama badala ya nchi ndizo zinazo liua Taifa, wakibadili tu huo mtazamo wa tutapata viongozi bora kabisa maana wapo

    Na hata hivyo huko kwenye chama wanaburutwa tu kama tela la punda, Mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti tangu zama za nyerere ndio zinazo liua sana taifa hakafu kuna anasema nyerere mtakatifu, anautakatifu gani wakati alijiandalia katiba inayo mlinda yeye
Back
Top Bottom