maamuzi

  1. Carleen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ungekuwa kwenye nafasi hii, ungefanya maamuzi yapi?

    Hi guys, Mnawe kwa maji tiririka, mvae barakoa, mkunywe maji ya tangawizi na limao na mjifukize, narudia tena mpige nyungu..! (Msopenda thread ndefu sitotaka malalamiko, tafadhali beba tu huu ushauri na uende) Enwei, kuna mpendwa wangu mmoja alikuwa ana date this gentleman for so long, lakini...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu soka nchini Ufaransa yafutwa kutokana na CoronaVirus. Maamuzi ya PSG kupewa Ubingwa au la kujulikana Mei

    Ligi Kuu Soka nchini Ufaransa (The Ligue 1) na Ligi Daraja la Pili (Ligue 2) zimefutwa baada ya Waziri Mkuu wa nchini hiyo kusema michezo yote itatakiwa kuendela Septemba 2020 Amesema kuwa michezo yote iwe inachezwa bila mashabiki au na mashabiki haitaweza kuendela nchini humo kabla ya Septemba...
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli alifanya maamuzi ya busara kwa kuwaita Wakuu wa Vyombo vya Usalama kuongelea COVID19, badala ya kuwaita Wataalamu wa Afya?

    Tuliona wenyewe Rais Magufuli akiwaita wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, wengi wakitoka jijini Dar na wengine wakitokea Dodoma, umbali mrefu wa kilometa maelfu, kuongelea ugonjwa wa corona, ambao unatikisa dunia nzima hivi sasa, ikiwemo Tanzania. Nimekuwa nikijiuliza hivi si yeye...
  4. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa, huu ndio wakati wa kuweka siasa kando. Ni wakati wa kuchukua maamuzi sahihi

    Wantanzania kama taifa tupo katika kipindi kigumu sana.Maambukizi ya huu ugonjwa yameongezeka kwa kasi (Covid -19). Kama taifa inatupasa tuweke siasa kando. Tushikamane ili kupambana na hili janga. Kama jamaa zetu kule China wana namna ya kupambana na huu ugonjwa basi tuwanonog'eze watuambie ni...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Bashiru wagonga mwamba, walazimisha maamuzi yao kupita bila pingamizi, NEC wagoma kuburuzwa

    Kikao cha NEC kikiendelea kusubiriwa kwa hamu sana, ili kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi mkuu ujao pia kwa ajili ya kupokea Maazimio ya Central Committee juu ya Kinana, Membe na Makamba. Tayari wanaCCM nchini kote wamewashangaa Magufuli na Bashiru kwa kukiuka kanuni za ccm na kutoa maazimio yao...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ili Tupate maendeleo tunahitaji viongozi wenye maamuzi magumu!

    Kilimo cha vanilla kinasemekana ni mkombozi mkubwa sana, imagine kilo moja inaweza kuuzwa 150,000/= Mche mmoja tunaambiwa unavunwa kuanzia nusu kilo mpaka kilo 3 Kilimo hiki kinakubali sana mkoa wa Kagera lakini wizi wa mazao haya umekithiri pamoja na uvivu. Niwaulize viongozi wetu hivi...
  7. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais John Magufuli yathibitisha umahiri wake katika kupambana na corona na kuwalinda wananchi wake

    Ugonjwa wa Corona umeanza December 2019 katika mji wa Wuhan nchini China.Mpaka hivi sasa ugonjwa huu umeshasambaa kwa watu takribani 819,025 na kusababisha vifo vya watu wapatao 39,794 duniani kote akiwemo raia mmoja wa Tanzania. Kusambaa kwa ugonjwa huu duniani kumeleta taharuki kubwa kwa...
  8. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Upumbavu ni hali ya kutotumia fikra vizuri na kufanya maamuzi mabaya. Je, Rais kuwaeleze ukweli watendaji wake ni wapumbavu anakosea?

    Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako. Akiwa hajafurahishwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha...
  9. Dr Mathew Togolani Mndeme

    JamiiForums Tanzania Kenya na Mlipuko wa Covid-19: Nini faida na hasara za kujifunza kwa maamuzi ya haraka waliyochokua?

    Hali ya maambukizi ya Covid19 duniani hadi kufikia 16/03/2020 Kenya wamethibitisha uwepo wa watu 3 wenye Covid19 na tayari leo Rais Kenyatta katangaza kufungwa kwa shule na taasisi zote za elimu nchini kuanzia kesho. Pia amefunga mipaka yake kwa raia wa nchi yoyote ambayo imeshatangaza kuwa na...
  10. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania Tuuseme ukweli mchungu hali ya vyombo vya maamuzi ni mbaya na vinaingiliwa sana

    Naomba niandike kwa kifupi sana . Katika Nchi yeyote ya kidemokrasia vyombo vya kiuchunguzi wa jinai na utoaji haki hutakiwa kuwa huru na hivyo vionekane kutenda haki. Kwa siku za karibuni hapa kwetu kumekuwa na udhaifu na dosari kadhaa hivyo kupunguza kuaminika kwa vyombo hivyo. Natoa...
  11. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli heshimu maamuzi ya wananchi kupitia sanduku la kura kwenye Uchaguzi Mkuu mwishoni mwa mwaka huu

    Miongoni mwa mambo yanayowatia sana wasiwasi wananchi katika kipindi hiki ni Uchaguzi Mkuu unaotegemewa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu. Ingawa Rais Magufuli umetoa uhakikikisho kwa Jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na haki, lakini maneno na vitendo vya viongozi...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho Amesema uamuzi huo umekuja baada ya taarifa zake ndani ya chama kuonesha mwenendo wake kutoka mwaka 2014 kuwa amewahi kupata...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dr Bashiru: Ripoti ya Makamba, Kinana na Membe iko tayari na itawasilishwa kwa kamati kuu kwa maamuzi wiki hii

    Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema ripoti ya Makamba, Kinana na Membe iko tayari na itawasilishwa mbele ya kamati kuu ya CCM wiki hii tayari kwa kufanyiwa maamuzi. Kadhalika Dr Bashiru amesema swala la katiba mpya ni la mchakato wa muda mrefu na siyo la wiki moja kama wenye tamaa ya kwenda...
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kinana agoma kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM

    Wakati Membe akitamba kuwa alienda mbele ya kamati ya maadili ya CCM kuwafunda na kuwaelimisha kuhusu mambo mbalimbali, Kinana amegoma kufika mbele ya kamati hiyo. Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, Kinana ameona ni kama kudharauliwa kwa kuitwa kuhojiwa mambo ambayo kimsingi ni malalamiko...
  15. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Wito: Kampeni ya kum-follow Pompeo

    Wale tuliofurahishwa na maamuzi ya Secretary Pompeo naomba tumfollow Twitter, tuvamie Twitter page yake na following za kutosha. Kama ilivyo kwa watu wa mpira walivyofollow aston villa hadi wazungu wakajua tulivyofurahishwa na usajili wa Samatta kule kwao basi tumfollow Pompeo hadi ajue...
  16. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni Mwaka wa Uchaguzi Mkuu 2020: Kuthibitisha au Kutengua Maamuzi ya 2015?

    Mwaka 2020 ni mwaka wa kufanya uamuzi kuhusiana na utawala na mwelekeo wa taifa letu. Huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu, mwaka wa Uamuzi Mkuu. Watanzania wataitwa kutoa jibu la maswali makubwa mawili. Je, tuendelee na Rais yule yule aliyechaguliwa mwaka 2015 au tufikirie mtu mwingine? Na pili, Je...
  17. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Serikali yafungua akaunti maalum ya Uhujumu Uchumi

    Serikali imefungua akaunti maalum ambayo watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokiri makosa yao wataweka fedha wanazotuhumiwa kuhujumu, ili kuachiwa huru. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Tanzania, Biswalo Mganga jana Alhamisi October 3. DPP hakuna fedha itakayolipwa kwenye...
  18. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Fanya maamuzi magumu wewe msomi usiye na ajira, utafanikiwa sana

    Habari wasomi wote mnaoteseka na suala la ukosefu wa ajira. Ushauri: Umehitimu chuo ngazi ya Astashahada, Stashada au Shahada na umehangaikia ajira kwa zaidi ya miezi 24 (2yrs)?. Kama jibu ni yes. Basi chukua uamuzi mgumu wa kuchoma moto vyeti vyako kisha ingia mtaani au shambani. Utafanikiwa...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chama cha ACT - Wazalendo chajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayo yametangazwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zitto Kabwe. ACT WAZALENDO CHAIFUATA CHADEMA, CHAJITOA KUSHIRIKI UCHAGUZI. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kuwa chama hicho kimejitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa sababu...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mbunge wa CHADEMA amtimua mpangaji wake ambaye ni Askari Polisi, adai haoni maana ya kushirikiana nae, Waziri Lugola amtisha

    Baada ya kauli ya Mbunge Sophia Mwakagenda (CHADEMA) aliyosema amemuondoa mpangaji ambaye ni Polisi kwenye nyumba yake kwa sababu haoni haja ya kushirikiana nae. Waziri Kangi Lugola amemuagiza IGP Simon Sirro kumchukulia hatua Mbunge huyo na wengine wanaotoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu...
Back
Top Bottom