Kilimo cha vanilla kinasemekana ni mkombozi mkubwa sana, imagine kilo moja inaweza kuuzwa 150,000/=
Mche mmoja tunaambiwa unavunwa kuanzia nusu kilo mpaka kilo 3
Kilimo hiki kinakubali sana mkoa wa Kagera lakini wizi wa mazao haya umekithiri pamoja na uvivu.
Niwaulize viongozi wetu hivi mmeshindwa kuchapa watu viboko kila mmoja alime vanila?
Mmeshindwa kutengeneza mifumo ya kudhibiti wezi?
Waziri wa Kilimo uko wapi?
Waziri wa Viwanda na Biashara uko wapi?
Mkuu wa mkoa wa Kagera uko wapi?
Wananchi wa Kagera wengi wanasema vanilla ni dhahabu lakini wengi wanasema ukilima ulale shambani kulinda.
Kama fursa kama hizi hatuwezi kuziona na kuzigeuza fursa kwa watu ama kwa kuwalazimisha au kuwaondolea changamoto tusitegemee tunaweza kuwaletea wananchi kupitia mambo magumu zaidi.