Waziri Manyanya: CHADEMA ni waoga sana unapofika wakati wa kufanya maamuzi magumu bungeni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,609
141,432
Naibu waziri wa viwanda na biashara mh Stella Manyanya amesema Chadema wana mbwembwe tu za mitaani na mitandaoni lakini inapofika swala la kufanya maamuzi magumu bungeni wabunge wao hukimbia.

Manyanya amesema Spika Ndugai anawafahamu vizuri wabunge hao wa Chadema na makandokando yao hivyo hawamsumbui kwa lolote na wao wa CCM na vyama rafiki wanamuunga mkono kwa 100%

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama
 
Kabla ya kufatiria tatizo la sukari anahangaika na chadema sema sisi watanzania ni mapopoma sana huyu alitakiwa awe ameachia madaraka kwa kushindwa na sukari...nchi hii ina matatizo mengi sana ila kila kiongozi anahangaika na chadema inashangaza sana ndo maana hatuendelei...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapambana na upinzani kama kwamba mnapambana na magaidi, eti kisa mnaogopa upinzani kuchukua madaraka, mnajua wakichukua ndio mtapotea milele yaani itabaki historia.

Mnawafanyia upinzani mambo ya ajabu na matokeo ya kipuuzi kila kukicha mkitumia vikosi nk, but iko day mtapotezwa na mtapotezwa maana hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Chadema inawakosesha amani ma ccm bunge sasa limekuwa kama kijiwe cha kahawa zile kashkash hazipo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole Mdude kwa kudanganywa uwe agent wa madawa ya kulevya nyanda za juu kusini.

Ngoja tusikie hotuba ya boss wa biashara yako huenda ni ya kukuombea msamaha utoke jela.

Kazi ya Makonda kuwataja ndiyo imeanza kuzaa matunda sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile kesi ya mwanachama wetu Wema Sepetu iliishia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naibu waziri wa viwanda na biashara mh Stella Manyanya amesema Chadema wana mbwembwe tu za mitaani na mitandaoni lakini inapofika swala la kufanya maamuzi magumu bungeni wabunge wao hukimbia.

Manyanya amesema Spika Ndugai anawafahamu vizuri wabunge hao wa Chadema na makandokando yao hivyo hawamsumbui kwa lolote na wao wa CCM na vyama rafiki wanamuunga mkono kwa 100%

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama
Mpumbavu mwingine
 
Niaje mkuu kumbe na wew ni hater wa Fisiem safi sana huku tupo pamoja sana mkuu.
Ila kule international forum unanianguasha mkuu team Irani vs team Marekani
Hahahaha , kwa hili letu lazima tuweko pamoja, wametufanya vijana tuonekane kama wazee, tumewachoka hawa wahuni, sasaivi maji yashawafika shingoni ndio maana hawana raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naibu waziri wa viwanda na biashara mh Stella Manyanya amesema Chadema wana mbwembwe tu za mitaani na mitandaoni lakini inapofika swala la kufanya maamuzi magumu bungeni wabunge wao hukimbia.

Manyanya amesema Spika Ndugai anawafahamu vizuri wabunge hao wa Chadema na makandokando yao hivyo hawamsumbui kwa lolote na wao wa CCM na vyama rafiki wanamuunga mkono kwa 100%

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama
Mckilize huyu bwashee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom