Nimesoma mgombea urais wa JMT kupitia Chama cha SAU akisema akiwa Rais atamteua Dkt. Magufuli kuwa Waziri Mkuu.
Yaani huyu mgombea Urais hajui kuwa Waziri Mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa?
Freeman Mbowe wa CHADEMA naye anasema Tundu Lissu akiwa Rais yeye atakuwa Waziri Mkuu.
Huyu...
17 October 2020
Halima Mdee : Wanawake ni Jeshi Kubwa, Wanaweza
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Bi. Halima James Mdee azungumzia umuhimu wa wanawake ktk Taifa kushirikishwa katika maamuzi ngazi zote ili kuwa na Taifa bora kijamii , kisiasa na kiuchumi
Hapa Tanzania...
SEHEMU YA KWANZA
Kanisa lilibaki na mshtuko mkubwa waumini nao hawakuamini tukio waliloliona mbele ya macho yao. Padri alibaki akiwa amezubaa hakujua nini kinaendelea kanisani hapo
pindi Laurance alipo kataa kumvisha pete Nasra kwa sababu ya barua aliyoikuta ndani ya koti lake la suti pasipo...
Baada ya mapema leo polisi kuzuia msafara wa Tundu Lissu eneo la Kiluvya, hatimae wameondoka na kuacha uendelee na safari na Lissu amesema ataendelea na safari yake kama ilivyopangwa na atakutana na wanachama usiku huu. Baada ya polisi kuondoka, Lissu ameongea yafuatayo.
LISSU: Nasikia hata...
Kwa mashambulizi haya ya Tundu Lissu kila siku anabomoa ngome ya mpinzani wake kwa matofali kadhaa. Kuna wale CCM damu na Chadema damu, hawa hata iweje kura zao hazibadiliki.
Kuna lile kundi linalokata shauri dakika za mwisho. Mara nyingi hawa ni watu wenye shughuli zao, wasomi, wakulima na...
Nilisikiliza maamuzi ya ZEC juu ya pingamizi la mgombea wa ACT, Maalim Seif. ZEC iliona makosa ya ujazaji fomu lakini haikuona kama makosa hayo ni sababu ya kuharibu Uchaguzi. Kwa maana kwamba, kosa la ujazaji halikuwa na lengo la kunufaisha mgombea au kuufanya Uchaguzi usiwe wa haki n.k...
Kwa yanayoendelea sasa kuhusu kesi za uchaguzi na malalamiko mengine yanayohusiana na uchaguzi hasa kuhusu wagombea kuenguliwa,ni matokeo ya kuwa na sheria mbovu ya uchaguzi inayotoa mwanya wa wagombea kupita bila kupingwa huku Tume ya Uchaguzi ikiwa ndio alpha na omega katika kuamua nani...
4 September 2020
Video source : millard ayo
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeihakikishia Uingereza pamoja na Jumuiya ya Kimataifa kuwa uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwezi Oktoba mwaka 2020 utafanyika kwa...
Turn and watch now.
Mgombea Urais wa Chadema Ndugu Tundu Lissu alipata fursa ya kuhojiwa na Mwandishi wa habari Bi. Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kinachofanywa na kituo cha televisheni cha ITV ambapo aliongea mambo yafuatayo:
Mwandishi wa Habari: Kwanini unataka kuchguliwa kuwa...
Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.
Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
ccm
jpm
lami
leader
maamuzi
maendeleo
mafanikio
magufuli
miradi
miundombinu
mkombozi
president magufuli
rais magufuli
simba
tanzania
ujenzi
uzalendo
vita
watoto
Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
basi
ccm
cuf
jaji
john
john magufuli
jpm
lissu
lisu
maamuzi
magufuli
maji
marekani
mtu
nchi
ofisi
rais
rais magufuli
sababu
tundu lissu
uchaguzi
uingereza
urais
video
wabunge
wote
Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Tanzania?
Kuwa mtoto wa nyota wa sinema wa kimataifa kama Jackie Chan ni dhahiri kwamba huja na marupurupu mengi na faida. Mtoto wa Jackie Chan, aliyekuwa na umri wa miaka 33 kwa wakati ule anayeitwa Jaycee, aliishi maisha yaliyojaa...
Nitakuwa nakupatia update. Wasanii wote Tanzania kwa moyo wa upendo walitunga nyimbo kuhusu serikali ya CCM.
Wapo katika kufanya mazoezi ya nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni ya chama kikubwa barani Afrika CCM.
Habari za asubuhi, wanajamiiforums.
Niko hapa kuomba msaada kwa haya yanayonisibu. Mimi ni kijana wa umri wa miaka30 kamili. Ni mwajiriwa serikalini. Niko hapa kuwataka msaada wa kimawazo kwa hali ninayopitia ambapo naona kama kuna kitu hakiko sawa kwangu.
Niliwahi kuishi kwenye ndoa kwa...
UTANGULIZI
Kama hujaelewa au huelewi maana ya neno la Kiswahili la 'yanahisiwa' tafadhali mtafute Mtu akueleweshe kuliko 'Kuukurupukia' huu Uzi tafadhali.
UDUKUZI ULIOFANYIKA
Baada ya Sakata zima la huyu Mchezaji Bernard Morrison ambalo hadi leo halijatolewa Maamuzi kuanza kuonyesha kuwa kumbe...
Habari wana JF!
Ni dhahili kuwa 2020 rushwa ni kigezo kikuu cha kukubalika katika mchakato wa kupata wagombea wa ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (ccm)! Na hili limelalamikiwa na tumelilalamikia tangu mchakato haujaanza , Ila penye udhia penyeza rupia ndio staili. Mwenyekiti wetu mh...
Huko CCM kuna bomu linatokota. Bomu hili linaitwa kwa majina tofauti. Umaarufu wake 'WAJUMBE"
Ni wazi kuwa kuna mchanganyiko wa sababu. Zikiwemo mtifuano wa CCM mpya na kongwe.
Rushwa na nguvu ya pesa.
Vita ya madaraka kuelekea 2025 ndani ya CCM.
Amini kwamba maamuzi ya Kamati kuu kuhusu...
Hatimaye dimba limekamilika kwa ajili ya vikao vya kuanzia hapo kesho. Kila kitu kimezingatiwa ikiwemo taratibu za kujikinga na Corona.
Picha za awali zilizotumwa (Isipokuwa ya meza kuu ambayo inajumuisha viongozi wakuu wa chama) ni za vikao vilivyowahi kufanyika siku za nyuma yaani vya...
Waziri Mkuu amemtaka Shehe Majini kutokata tamaa kwani kura za maoni ni mchakato tu lakini maamuzi " yenyewe" yanafanyika huko juu.
Mh Majaliwa amesema subra ni jambo muhimu na Shehe Majini aliyegombea ubunge jimbo la Handeni kwa tiketi ya CCM anapaswa kuwa na subra.
Chanzo: TBC
My take; Hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.