CHADEMA huwa haiangalii mwisho wa maamuzi yake sijui kwanini

daza steven

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
359
357
Chama cha Democrasia na maendeleo kimeonyesha wazi kuwa hakifanyii kazi au tafiti maamuzi yake azi ifu ni chama kigeni hapa Tanzania, ni kama hakipendi kuumiza kichwa sina hakika huwa linakuwa wazo lamtu mmoja au vipi lakini siamini.
Tujaribu kuliangalia swala la kulokudauni au kufunga miji na kufungia watu ambalo Mwenyekiti amelivalia bango. Hili ni zuri kweli kwa Chadema kwani ni kweli bila kupinga kama Magu angeingia mkenge kufunga nchi ni wazi kuwa uchumi ungeyumba zaidi na kungetokea fujo, maandamano na migomo ya kujifungia kwani wa Tz wengi wanaishi chini ya dola ambapo ingebidi serikali kulisha watu wake kitu ambacho kingekuwa kigumu kwetu.

Kwa sasa hii si hoja tena kwani Chadema waliwaiga wazungu kujifungia lakini hivi sasa marekani wamekataa kufungiwa na tayari mashariti yameanza kulegezwa, huko Itali shule zimeanza kufunguliwa Uchina na Uingereza pia wameanza kulegeza mashariti maduka na biashara nyingi zimeanza kufanya kazi, wanasema kufungiana ndani ni ngumu kuliko ugonjwa wenyewe na sheria hiyo haipo.

Sasa angalia unaposema tunasusa bunge hili kujifungia labda kila mbunge alitakiwa awashawishi wapiga kura wake na kuwawezesha kujifungia kwa kuwapa chakula kwani Rais anataka tufe sasa wamejifungia wenyewe kitu ambacho kimeleta tafsiri mbaya kwa wapigakura. Ambapo kama hawajui wamewakera wapigakura wao kwa kufanya ubaguzi huo.

Inamaana hawakujua kuwa baada ya kujilokidauni ni lazima upimaji ufanyike kwa upande mmoja au yote, je hawakutegemea hii changamoto, na kama walijua je hawakusikia ishu ya mapapai, mbuzi na mafenisi katika maabara ya kupima kuwa itakuwaje. kwani sasa Mhs Ndugai ameshasema wakapime kwanza wakati mashine zimetiliwa shaka na haijajulikana kuwa majibu watapata lini au baada ya bunge kuvunjwa kwani kwa hari ilivyo na kama wamemwaga mboga bunge litamwaga nini.

Kuna wapiga kura wao ambao tangia Korona iingie nchini wapo katika hari ngumu sana kama washehereshaji, maDJ, wapambaji, walimu, watengeneza keki na wengine ambao hari zao ni mbaya sana je hawa wanawatafsiri vipi Chama kikuu cha upinzani Tanzania kuwafungia ndani hili hari wako nje hari ni mbaya je wakifungiwa kama Chadema wanavyotaka itakuwaje. Lazima Chadema itumie akili sana kufanya maamuzi kuliko kujibomoa wenyewe.

Je wapiga kura wao ambao ni maskini kabisa na tayari kwa sasa siyo siri wanajua kuwa mbunge wao anapata jumla ya mamilioni ya pesa kwa mwezi hadi kufikia milioni 11 na ushehe alafu wanajifungia ndani, woa je. Hawakuona kama wanaweka gep kati ya wapigakura wao kwani nani anapenda kuumwa korona na kufa maana kipato chao ni cha siku.

Kitendo cha kuwafukuza uanachama wanachama wake wanne tena kukiwa na ukakasi wa kisheria hili ni swala ambalo Chadema lazima walitakiwa kulifanya kwa akili kwani wanajua wamefukuzwa wabunge wengi lakini bunge liliwaI kuwa kingia kifua inamaana chadema hawajui. pia kuna wabunge kama wale wa CUF walifukuzwa uanachama, si waliona hawakuomba maji wote walitemwa fasta hata leo hawajarudi inamaana Chadema hawajui au bado wapo awamu ya 4 ya JK wanashindwa kucheza na figisu hizi wakati hiki ni chama cha wasomi tupu kwanini hawatumiki.

Mfano kitendo cha kumfukuza Lwekatale ambaye alikwisha aga na kutangaza kustaafu hili linaleta mgawanyiko kwani Lwekatale alikuwa anaaminiaka na wanachadema wote hivyo ni kutengeneza mpasuko tena mtu kama Lwekatale amekuwa kiongozi katika intelejensia ya chama hicho anajua siri na mikakati yote, leo anakuwa adui upande wapili si kujiongezea kazi. Na tayari CCM kuliona hili wanamsihii agombee tena kwa tiketi ya CCM alafu utasikia amenunuliwa hivi kweli Chadema inafanya siasa nyepesi kiasi hiki cha kujilisha upepo.

Freeman Mboe lazima atakuwa na ajenda binafsi kuporomosha chama kwa haraka hivi si jambo zuri ni lazima wanachama mtoe msaada wa mawazo hili kunusuru chama.
 
Chadema imeharibika baada ya watu makini kutupwa na Mbowe na kuwakumbatia masela
 
Hakuna rafiki wa kweli kwenye siasa hilo linajulikana wazi. Pili CDM ni chama chenye mizizi imara, leo hata wakifukuzwa wabunge wote hadi akina Mbowe na Myika CDM haitakufa. Kwa kifupi CDC wana jeuri kwani wamesimama mahali imara. Uongozi huu unatumia mabilioni pamoja na majeshi kuiua CDC lakini wapi. Hakuna kitu kinachomwogofya mkulu kama CDM. CCM hofu yao kuu ni CDM pamoja na wingi wa wabunge wao.

Na ukiona watu hawajali mwisho wao ila wanafuata sheria, kanuni na taratibu kama zilivyo bila kujali maslahi yao, basi jua hao ni watu hatari wenye misimamo imara na usicheze nao.
 
Back
Top Bottom