maamuzi

  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania TRAFFIC ENGINEERING: Ni vigezo gani huzingatiwa katika kufanya maamuzi ya kufunga "traffic lights" au kuweka "roundabout" kwenye makutano ya barabara?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania (Traffic Engineers) eti; Ni vigezo gani vya kitaalam huzingatiwa na engineers katika kufanya maamuzi ya kufunga "traffic lights" au kuweka "roundabout" kwenye makutano ya barabara za mijini? (1) Kama...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kutengua maamuzi wafugwa wa kunyogwa ni cha kisiasa

    Nilisoma kwenye gazeti kwamba mkuu wetu hawezi kuuwa mtu hata waliohukumiwa kunyongwa. Tujue mpaka mtu ahukumiwe kunyogwa ni kwamba aliuwa binadamu mwingine au wengine. Kama ni kwa sababu ya dini basi upendo huo na katazo hilo basi lisingeishia kwenye wafugwa. Kitendo cha Lissu kupigwa risasi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wito: Waziri Jafo tumeona maelekezo ya Geita na Mpanda ni maamuzi mazuri, Temeke je?

    Kupitia vyombo vya habari kwa siku za hivi karibuni tumeona Mh Jafo akimsimamisha Mkurugenzi wa Geita kupisha uchunguzi na pia ametoa maelekezo kama hayo kwa Halmashauri ya Mpanda. Lakini Mh. Jafo watu wengi wanajiuliza kuna lile Gari la Mkurugenzi wa Temeke ambalo limenunuliwa 400M mwaka...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna Grand Corruption nyuma ya maamuzi haya ya wanasiasa wetu

    Wakati tukiwa tunashangazwa na kuumizwa na usaliti unaofanywa na baadhi ya wanasiasa wetu, binafsi naanza kupata mashaka kuwa huenda kuna rushwa kubwa inatumika kuwarubuni wanasiasa hawa mpaka kufikia hatua ya kusaliti wananchi wao na kusaliti msimamo yao. Inawezekana wanapokea mlungula mrefu...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gali uliyafanya Mwanzoni yalikuumiza ila baadaye ukaona umefanya maamuzi sahihi?

    Binafsi nakumbuka nikiwa chuo rafiki yangu sana tu alikuja nimkope laki 1 na nusu, jana yake nilikuwa nimepokea kiasi flani na yeye alikuwa anajua, nikamwambia ile kishaji tu pesa sina na ya jana niliyopata ni ya msosi na mambo ya chuo na madeni, Alizoea kuja kupiga stori na ucheshi ila kuanzia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Maamuzi mengi katika Mihimili ya Uongozi Tanzania yanatolewa kufuata hisia za mtu na sio ushahidi (facts) au Sheria

    Hili ni tatizo kubwa sana Tanzania, na huwa naliona katika mihimili mitatu ya usimamizi wa nchi, kuanzia Raisi, Spika, Mwanasheria Mkuu na hata mahakimu katika mahakama zetu! Viongoi wetu wamefika mahali wanavunja Katiba, Sheria au Taratibu zinazokubalika kwa ulevi tu wa hisia zao binafsi. Na...
  8. Mystery

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai hana mamlaka ya kupinga maamuzi halali yaliyofanywa na Kamati kuu ya CHADEMA

    Nimeshangazwa sana na kauli aliyotoa Spika Ndugai hivi leo, wakati akiwaapisha wabunge wapya Humphrey Polepole na yule mwanamama Riziki Lulida, kuwa wabunge wa kuteuliwa na Rais katika zile nafasi zake 10 alizopewa kwa mujibu wa Katiba Spika Ndugai amenukuliwa akisema kuwa hatambui maamuzi...
  9. 5

    JamiiForums Tanzania Nimesubiri Press ya wakina Halima Mdee kuleta mapigo juu ya maamuzi ya Kamati Kuu mpaka nimechoka

    Nimekuwa nikishinda hapa JF usiku na mchana muda tena sasa nasubiri press ya kina Halima Mdee na wenzake kujibu Maamuzi ya Kamati kuu ya CHADEMA ya kufukuzwa kwao uanachama mpaka nimechoka., Sasa nimekata tamaa naomba ni logout labda hawakuwa na majibu. Lakini je, tuseme: 1. Wamekubali kwamba...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Natamani kuona Serikali ikisimamia haki, usawa na utu kwenye maamuzi Kama wafanyavyo CHADEMA

    Hakuna kitu kinanoga Kama kukaa kikao mkachambua hoja,mkatafuta facts za kikatiba na kisheria kisha mkatumia sheria na katiba kutoa maamuzi. Hii nchi ina wasomi wengi na wapo CCM, nimefuatilia mjadala na mahojiano mbalimbali hakuna msomi Wala mbobezi yeyote aliyejitokeza kukosoa maamuzi ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Shairi: Aikael Mbowe, Freeman Mwamba wa Tanzania

    Ameunguruma Simba, Nchi imetetemeka Manyang'au yamevimba, Aibu imewashika Yalijiona miamba, Ile isiyovunjika Hongera sana Mbowe, Wewe ni mtu makini Hawa watu waonevu, Ni watu waso na soni Matendo yao uovu, Na ghiliba za shetani Mipango yao mibovu, Kaivunja Freemani Hongera sana Mbowe, Wewe ni...
  12. Francis12

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa. Stay Tuned for Updates...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

    Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote. Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu...
  14. Maramla

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) na kisa cha asiyefanya kazi na asile

    Na Mwamba wa Kaskazini Nianze kwa kongole kwa Mbunge wangu kipenzi Halima Mdee na wenzake waliokubali kutimiza haki yao ya kikatiba leo kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) kwenye Bunge la JMT. Wabunge hao takribani 19 wa CHADEMA wameapishwa leo wakati mambo mawili...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Wakinamama yasiingiliwe

    Viti Maalum vya wabunge Wanawake vimewekwa ili kulipa fursa kundi hilo la jamii kwenye ulingo wa siasa. Mantiki yake ni kuwa, katika vurugumechi za siasa, wanaume huwazidi wanawake kutokana na sababu mbalimbali za kijamii na kitamaduni. Katika kuheshimu misingi ya malengo hayo ya kuwa na viti...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mashinji: Huwezi ukawatofautisha Serikali, Mahakama na Bunge. Hata Mbinguni kuna Baba, Mwana na roho lakini maamuzi ni yaleyale

    Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na baadae kuhamia CCM, Dkt. Mashinji amesema Tanzania ni nchi changa na haiitaji kuwa na mabadiliko ya haraka ghafla kwa sababu kila mabadiliko yana athari. Amesema yakifanyika mabadiliko na yakaja na athari, bado Tanzania...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!

    Wanabodi, JF ni ukumbi huru wa kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, na kitu kikubwa zaidi, kusaidiana. Kama kuna kitu unakijua, na unaona kinafanyika ndivyo sivyo, unajitolea kusaidia kuwaelimisha wengine kuhusu kitu hicho, na hiki ndicho mimi ninachofanya humu JF, kuwaelimisha wengine...
  18. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo na CHADEMA wamefanya pakubwa ila sisi Wananchi ndiyo tumewaangusha. Tusiwaingilie katika maamuzi yoyote wanayochukua baada ya Uchaguzi

    Wanaonifuatilia humu wanajua mimi ni CCM. Lakini ni ile iliyokuwa CCM ya Mwalimu (RIP mzee wetu), siyo hii CCM ya sasa iliyojaa ulaghai mtupu. Kutokana na CCM kukengeuka, nimejikuta (siko peke yangu, tupo wengi sana) sina namna bali kuunga mkono jitihada na harakati zote zinazofanywa na vyama...
  19. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi. Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia...
  20. Zanika

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jumuiya za Madola ziheshimu maamuzi yetu watanzania

    Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa. Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke...
Back
Top Bottom