Natafuta muvi kali zenye sifa kama hizi!

Point less

Senior Member
Jun 24, 2020
194
98
Kwanza ziwe za kuchekesha
Pili ziwe za kutisha
Tatu ziwe za maajabu
Nne ziwe na mkono wa kufa mtu
Kusiwe na huzuni kwenye muvi hiyo
Na pia kama katuni pia napendelea
Naombeni tafadhali NA PICHA ZAKE IKIWEZEKANA
 
ila kila sifa ina weza kuwana muvi yake basi nipe kama zipo single :)
Ready or not.
Kickass
Wrong turn zote
RIPD
Resident evil
Kuna movie moja ya kikorea ina mazombie kuna dem yeye alibadirika nusu akawa zombie nusu mtu wa kawaida nimeisahau jina.
 
Kwanza ziwe za kuchekesha
Pili ziwe za kutisha
Tatu ziwe za maajabu
Nne ziwe na mkono wa kufa mtu
Kusiwe na huzuni kwenye muvi hiyo
Na pia kama katuni pia napendelea
Naombeni tafadhali NA PICHA ZAKE IKIWEZEKANA
Katuni umeshaangalia RIO ila ziko 2
 
Back
Top Bottom