Tabia ya Trafiki kula kwa urefu wa kamba zao imekithiri. Mamlaka ziingilie kati kukomesha rushwa za waziwazi

markp

Senior Member
Sep 26, 2013
181
299
Kuna magari almaarufu kama daladala , haya magari yakisimamishwa na Polisi hasa hawa wa usalama barabarani dereva akisimama tu JAMBO LA AJABU SANA KONDA HUSHUKA KAMA NINJA NA KUKIMBILIA KWA POLISI NA MARA HIYO HIYO POLISI hukenua meno na kuruhusu gari iondoke.

Nachojiuliza Mkuu wa Polisi haoni hii aibu?

Waziri wa mambo ya ndani haoni aibu hii !

Sijui hii ni nchi ya aina gani yenye kudharau raia wake kupindukia.

MKUMBUKE MUNGU ANAWAONA
 
Back
Top Bottom