maajabu

  1. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

    Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum? Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
  2. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025: CcmA vs CcmB vs CcmC.. ..HII NI MAAJABU!!

    Unaambiwa kinyang'anyiro cha uchanguzi wa mwaka huu ni Mama Samia vs Salum Mwalim vs Mpina.. Uchaguzi wa mwaka huu ni zaidi ya futuhi ni zaidi ya cheka tu ni zaidi ya sinema zetu kusema kweli ni vichekesho + comedy...nchi hii inadidimia na bado kuna nyumbu na vyura wa kijani unawasikia wakisema...
  3. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Majaabu sana imenitokea jana

    Jana nimejikuta nimelala njee tena ni baada yakumuota X wangu amekuja kunisalimia nikaja kumfungulia mlango . Aisee hii ni maajabu sasa hii inakuwaje ??
  4. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya TUNDULISU na wakovu wa watanzania

    Kila nikiangalia hii picha na bubujikwa na machozi ya furaha hakika mpendwa wetu yupo mahari salama hapo wakoloni wanajua wanamkomoa Wakoloni walimuweka gerezani Nelson Mandela wakidhani wanampunguza makali kumbe ndo wanamjenga kiakili na ukomavu na ndo tunashuhudia kwa tundulisu Leo hii yupo...
  5. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Allah yanavyojionyesha hadharani

    Kwa haraka haraka ukitazama hiyo picha unaona nini? Je ukiitazama kwa makini unaona nini? Basi hayo ndio maajabu ya Allah
  6. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya kitabu cha Quran kisayansi

    Quran ni kitabu chenye muongozo na mafundisho ya dini ya kiislam ni ufunuo kutoka Kwa Mungu muumba Mbingu na aridhi kupitia Kwa mtume wake Muhammad (s,a,w) Kadiri binaadamu wanavyopata ufuhamu wa kugundua mambo mbali mbali wanaikuta Quran ipo mbele Yao Kwa hatua nyingi sana 1) Mwaname na...
  7. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya ulimwengu usiofahamika kwa wengi

    Ilikuwa ni December 2004,,,ni miaka 20 iliyopita katika Mkoa wa Shinyanga _Tinde. Miaka hiyo kulikuwa na fisi wa kutosha...nilikuwa nimekosa nauli ya kwenda krismas Moshi,,,,,hivyo nyakati za jioni tunaweka mkeka nje kwenye mbalamwezi huku tukinywa pombe ya gongo iliyotengenezwa kwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya paka shume, paka la mapaka!

    Salaam! Tukiwa wadogo, tulipenda sana kuwinda mapaka shume na kuyashambulia kwa mawe, sababu ya kuyawinda, yalizidi wizi wamboga majumbani na uharibifu uliokithiri. Yaani sie tulipoona mapaka tu jalalani, tulivizia, tukakusanya mawe yetu na kuanza kuyashambulia kwa ghafula, furaha yetu ilikuwa...
  9. smarte_r

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Jiji la Dar, Malori ni mengi Barabarani kuliko Watu

    Kwa sasa kila mkazi wa dar awe mwana ccm, mwanachadema, awe wa no reform no election, awe wa october tuta-tick ana kipata cha mtema kuni kuhusu foleni ya barabarani inayosababishwa na utitiri wa malori, mengi yakiwa made in china. Kila barabara mpaka zile za mitaani ambazo alizijenga Magufuli...
  10. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati JF ilikuwa runned na vijana wa 35+ na 40s ila nyakati zimebadirika, vijana graduates na 20s ndio wanakimbiza usukani na maajabu ni mengi

    Nyuzi sensible unakutana na comments za kumshushua jamaa kuwa anajifanya genius 🤣🤣 Ila zile nyingine sasa, hadi yanaundwa magroup ndani comments kuendeleza umbea. Anyway kila kitu kina wakati wake, maisha yaendeleee
  11. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini ishara, maajabu na miujiza mikubwa inafanywa na watu wanaoiamini Biblia tu?

    Katika historia ya ulimwengu, tumeshuhudia matendo makuu yasiyoelezeka kwa akili ya kibinadamu, kama vile wagonjwa kupona, viwete kutembea, mabubu kuongea, vipofu kuona, wafu kufufuka, na bahari kugawanyika. Jambo la kushangaza ni kwamba, ishara hizi kubwa zimefanywa tu na watu wanaoiamini...
  12. Maleven

    JamiiForums Tanzania Nimengudua watu wazima ni wakawaida tu, hakuna maajabu

    Ukiwa mdogo unadhan mkubwa wako anamajibu ya kila jambo, anajua sana, anNguvu n.k, ila kadri unavyokua unakuja kujua " Being adult means you are adults, and nothing else", ni mtu mzima ni mtoro aliekua tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya musa,,aliyesema mamlaka iheshimiwe sasa anaikolomea mamlaka iyo iyo iliyomsaidia kukimbia trh 8!

    Kweli waswahili husema ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,,Hawa Simba wamekuwa kituko cha Karne! Wamekuwa wakipiga debe kuwataka yanga waiheshimu mamlaka lakini Leo hii wanatoa kitamko chao uchwara kuwapiga mkwara bodi ya ligi kuwa awako tiyali kucheza mechi nyingine ikiahirishwa ya trh 15...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania “Chura wa Ajabu Aliyebeba Macho Koo: Kielelezo cha Maajabu ya Mageuzi”

    Mnamo mwaka wa 1992, mpiga picha wa Kanada aitwaye Scott Gardner alipiga picha ya chura wa kipekee kutoka Ontario ambaye hakuwa na macho usoni mwake; badala yake, macho yake yalikuwa ndani ya mdomo, yakipofya kutoka kwenye koo. Mabadiliko haya ya kipekee ya kinasaba, ingawa ni ya kushangaza, si...
  15. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya:Mechi ya Maajabu Huko Mbeya

    Mashindano ya Dream fm super cup yaliendelea kutimua vumbi siku ya jana kwenye uwanja wa chuo kikuu cha Teku Mechi hiyo ya fainali ilizikutanisha timu za chuo kikuu cha Sayansi na technology MUST dhidi ya TIA. Ndani ya dakika 90 game ilimalizika kwa bao moja kwa moja na ndipo ikafuata...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya ziwa Natron

    Ziwa Natron, lililoko kaskazini mwa Tanzania, ni mojawapo ya mazingira magumu zaidi duniani. Maji yake yana pH ya juu hadi 10.5 na yanaweza kufikia joto zaidi ya 60 ° C. Ukali wa ziwa hilo unatokana na kabonati ya sodiamu na madini mengine, ambayo hupenya kutoka kwa miamba ya volkeno...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Karne. Kipapiro kinatoa mvuke na kuacha alama

    Sijajua hasa siri ni nini. Huyu dada mchana wa jana tumekaa sehemu mi nakula zangu ugali nyama choma nashushia na machozi ya sheta chupa moja. Viti ni virefu vya mbao amekaa meza moja nami kiti cha pembeni. Akainuka kwenda kunawa. Mimi sijui why nikadondoshea macho pale kitini. Nikaona kama...
  18. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania DRC na maajabu yake

    Hivi, raia kama hawa, wanahusikaje kwenye siasa? Inakuwaje wanastahili kifo cha fedheha kiasi hiki! Kwa sababu tu wanaitwa watutsi!
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakuu Gwajima yuko sahihi : Angalieni maajabu, Walomshambulia Padre KITIMA, mpaka leo Kuna kigugumizi Cha kuwapelekea Mahakamani

    Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani. https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282 Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais . Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ona maajabu ya Tanzania kuhusu vipato vya watumishi wa serikali

    Mbunge Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba. 1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku 2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi 3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa 4. mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee 5. bado rushwa a hapa na pale kwenye kamati zao 6...
Back
Top Bottom