Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,517
- 20,337
Ni ya kweli mbona yanafahamika sana tuHaya yote ni ya kweli?🤔
Duh sijawahi kuyashuhudia yote!Ni ya kweli mbona yanafahamika sana tu
Yote ni kweli tupu.Haya yote ni ya kweli?🤔
Kazi nzuri!Yote ni kweli tupu.
Yaani Tanzania ni kama bustani ya Eden inayoongelewa kwenye vitabu vitakatifu kuwa ilikuwapo kati ya mto Tigris na Euphrates. Mungu alitupa kila kitu labda tunakosa uongozi bora tu.Kazi nzuri!
Ipo siku tutayavuka haya hata kwa kupitia kizazi kijacho!Yaani Tanzania ni kama bustani ya Eden inayoongelewa kwenye vitabu vitakatifu kuwa ilikuwapo kati ya mto Tigris na Euphrates. Mungu alitupa kila kitu labda tunakosa uongozi bora tu.
Ni kweli, hasa ukizingatia kuwa hata madini yaliyokwisha chimbwa hayafiki 5% ya reserve iliyopo ardhiniIpo siku tutayavuka haya hata kwa kupitia kizazi kijacho!
Hapo ndio huwa nabaki siamini!Ni kweli, hasa ukizingatia kuwa hata madini yaliyokwisha chimbwa hayafiki 5% ya reserve iliyopo ardhini