maajabu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Haya ni maajabu!! Rais anashinda ndani kama utumbo?!!

    Amejawa na hofu, na anamuona kila mtu ni adui kwake. Ametenda uovu mzito kiasi kwamba siyo tu anawaogopa watu, bali mpk leso yake inamtisha. Ni rahisi kumfitinisha hata na watoto wake. Kama mnabisha, mtumieni Wanu au Abdul SMS yenye maneno "tuletee hata leso yake". Ujumbe huu tu ukionekana...
  2. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya muslims!

    UAE, Saudi Arabia, Bahrain, oman & co. hairuhusiwi kusali barabarani ktk nchi karibia zote za kiarabu zilizostaarabika, na ukionekana kwa mfano dubai unakamatwa mara moja kwa kufunga barabara na kubugudhi wengine lkn muslims wa tanzagiza, ulaya au hata USA wanafunga barabara kusali na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yaliyotikisa 2025 nchini Tanzania, namba 8 ni maajabu

    Hapa ni orodha ya matukio yaliyotikisa nchini tanzania 2025 Maandamano na Mauaji ya Raia (Oktoba 29) Maandamano makubwa dhidi ya serikali, ambapo maelfu ya raia waliuawa au kujeruhiwa baada ya polisi kutumia nguvu kupita kiasi. Samia Kutangazwa Mshindi wa Uchaguzi Bila Kura kuhesabiwa...
  4. Nelly

    JamiiForums Tanzania Kuna Shida na kama isipopatiwa tiba tutakuwa watu wa ajabu kuliko maajabu yenyewe...

    Inakuwaje mtu ambae sio medical professional kupewa majukumu ya kuongoza wizara nyeti ya afya? Na hii inatokea kwenye wizara nyingi tuu na matokeo yake ndio kama haya... Mnakera na kutia aibu asee
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Kanisa Katoliki

    1. Kanisa katoliki halijawahi kuongelea dini yoyote, hata kama ni washindani wao 2. Kanisa katoliki halijitangazi 3. Kanisa katoliki muda wa ibada ni saa 1 hadi 2. 4. Ukiondoka hupigiwa simu hata uasi miaka 10 na ukirudi huulizwi ulikuwa wapi? 5. Hakuna muda wa kutabiri, sijui uponya, fukuza...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya CDF Mkunda na jeshi letu linalodhalilika.

    GT CDF... Kutuma jeshi kwenye mission dhaifu ni kulidhalilisha jeshi na kuonesha mapungufu ya sekta ya ulinzi nchini Kutuma jeshi kwenye kuzuia maandamano na wanaandamanaji wenye mawe ni udhaifu Kutuma jeshi kwa lengo la kutisha waandamanaji ambao ni vijana wasio na siraha ya moto ni udhaifu...
  7. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Askari uhamiaji mwenye asili ya Rwanda kukagua uraia wa Watanganyika ni maajabu.

    Pale Kamsisi kama sijakosea ukiwa unatokea Tabora au Mpanda karibu na mzani Kuna Beria pale. Jana tulisimamishwa akaingia askari uhamiaji mwenye asili ya kihutu completely yaani huulizi mara2 Etii kaanza kunihoji kuhusu vitambulisho nilimuambia Sina kitambulisho hata kimoja nimesahau...
  8. Chibike

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maajabu ya Dunia! Mbona sizioni pongezi za machawa, makampuni, kulikoni?

    Tumsifu Yesu Kristu KWANZA kabisa nawapongeza sana Kanisa katoliki angalau kwa kuweka siku maalumu ya kuombea wafu WALIOUWAWA oktoba 29. Tena kwenye barua zenu hamjakwepesha maneno. Tukiachana na Hilo tendo la kishujaa la kanisa katoliki, nmekua napitia media outlets mbalimbali tumezoa kuona...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mnawadharau kuwa wana elimu duni halafu hapohapo mnataka wasanii wawasemee... maajabu

    Inasikitisha sana kuona kuna kundi kubwa la wapumbavu wanaowaandama hawa vijana wa kitanzania walioamua kutumia vipaji vyao kujipatia kipato kihalali. Wasanii wanajipambania ila wajinga wengi wanataka hawa vijana wajihusishe na siasa zao za majitaka. Mbaya zaidi kila siku ni kuwatukana kuwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Enyi JWTZ Vaeni mavazi ya ujasiri. Vaeni gloves za uzalendo

    Vaeni mavazi ya ujasiri. Vaeni gloves za uzalendo. Fungeni mikanda ya maamuzi. Kwa mkijua, nchi inauzwa. Ngorongoro imeuzwa. Bandandari imeuzwa. Pori la Loliondo limeuzwa. Madini yameuzwa. Ni kipi kimebaki kwa ajili ya wanetu? Ndugu zetu wanatekwa, wanauawa, na wanafungwa bila sababu. Yote...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Polepole

    1. Aliingiaje Tanzania? 2. Aliamini mwenye nyumba wake hangemchoma? Kumuhifadhi mtu wa aina hiyo ni sawa na kuunga mkono uhaini kwa serkali je aliamini mwenyenyumba wake asingemchoma? Maana kumpangisha ni sawa na kuhifadhi cocaine bangi au silaha nyumbani kwako. 3. Kwanamna yoyote alikuwa...
  12. Chibike

    JamiiForums Tanzania Mikoa inapakana na maziwa, mito, chemchem ila wanakosa maji, maajabu ya Dunia

    Mikoa inapakana na maziwa, mito, chemchem ila wanakosa maji, maajabu ya Dunia.. Unakuta kimji kidogo kiwilaya ila watu wanakosa maji kweli? Basic human need ..nchi hii..huku wengine Wana bilioni 20 kwenye akaunti, wengine wananunua vifaa vya ujenzi vya bilioni 2+, wengine hata tunapewa Dole la...
  13. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya soka la TFF, Msimu mpya unaanza tuzo za msimu uliopita hazijatolewa

    Kipindi cha nyuma tuzo zilikuwa zikitolewa kwa wakati, ila kuna kiongozi akasogeza mbele utaratibu wa tuzo kwa kigezo cha kuboresha, sasa unajiuliza huyo kiongozi alikuwa. Anafahamu sababu zilizosababisha tuzo hizo kutolewa mapema? Aliweka katika consideration na alitazama mbele kwamba kwa...
  14. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Maajabu Taarifa Rasmi ya Police Mwili uliokutwa ukielea mtoni maeneo ya jangwani aug.27 ukiwa kwenye mfuko, police yadai alikuwa akianguka kifafa!

    Ukistaajabu ya musa, utayaona ya firauni!.. hii hapa chini ni taarifa rasmi ya jeshi la police juu ya uchunguzi wa tukio la mtu kukutwa akiwa anaelea ndani ya kiroba akiwa amefariki katika mto msimbazi maeneo ya jangwani... Polisi wanadai wameambiwa na ndugu wa marehemu kuwa marehemu alikuwa...
  15. Setfree

    JamiiForums Tanzania Jina la Yesu limefanya maajabu: limemzuia mwana mazingaombwe kucheza "show" zake

    Wanaofanya mazingaombwe huwa wanadai kwamba, maonesho yao yanatokana na ujanja na maarifa fulani ya hali ya juu. Hata hivyo, Mtumishi mmoja wa Mungu, amethibitisha wazi kuwa baadhi ya mazingaombwe huwa yanafanywa kwa kutumia nguvu za giza! Siku moja Mtumishi huyo alipita mahali akakuta mwana...
  16. Setfree

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mungu: Nimeiombea "graphics card" mbovu - imepona!

    Heshima zenu wakuu. Mada hii ni habari ya kweli kabisa. Kila mara huwa nasisitiza hapa kwamba uongo nauchukia kama ukoma. Hivyo unaposoma mada hii usifikiri ni chit chat au chai. Ni kweli kweli tupu. Haya, twende kwenye mada sasa. Kwanza namshukuru Mungu mambo ya IT hayajanipita kando. I can...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Leo nimeona maajabu ya JF. Ina uwezo wa Kutabili kesho muda ambao mtu atapost Jambo. Hii hata Wazungu hawajaweza.

    Inaonesha kesho (tomorrow kwa lugha ya Mabeberu) muda na post ambayo mtu atatuma na jina linaoneshwa kabisa ingawa hapo kwenye majina mimi nime hide. unaweza isoma leo kabisa in advance. Angalia mwenyewe hapo chini. Nimeshangaa sana. Kwa kweli teknolojia inakua sana.
  18. Ngongo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi wa mwaka 2020 na maajabu yake

    Heshima sana wanajamvi, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kilikuwa Arumeru kata ya Bangata. Nakumbuka asubuhi ya saa 2:35 nilikijongelea kituo cha kupiga kura Shule ya Msingi.Nikaanza kutafuta orodha ya majina ambayo yalikuwa yameorodheshwa kwa kufuata alphabet baada ya kuliona jina langu naingia...
  19. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea CHAN 2024 ichukuliwe miongoni mwa maajabu saba ya Duniani

    Nimejaribu kuwaza na kuwazua bado nimeshindwa kupata majibu kabisa, Tuseme ndio mcheza kwao, Au ni vile timu walizonazo vigogo ni wachezaji ambao hawawatumii mara kwa mara katika mashindano au ni soka la ukanda wetu linakuwa au nini hasa? Maana imekuwa ni maajabu Tanzania aongoze kundi lenye...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Usajili: Maajabu ya Thamani ya Mzize na Dau la Usajili wake

    Salaam Wanajukwaa, Kumekuwa na kelele nyingi sana juu ya Tanzania 'Wonderkid' Walid/Clement Mzize hasa juu ya Thamani yake ambapo kwa mujibu wa Maelezo ya Klabu yake na mashabiki wa Young African SC ni kuwa Thamani ya Mzize ni zaidi ya US dollar Milioni Moja ($1,000,000). Hapo hapo kutokana na...
Back
Top Bottom