Maajabu ya Umoja wa Mataifa kuhusu Israel

Maajabu ya Umoja wa Mataifa kuhusu Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,000
Reaction score
7,618
⚠️Picha za picha kali sana⚠️ GRAPHIC-VIDEO

Umoja wa Mataifa umeongeza vyombo vya Israeli kwenye orodha yake nyeusi ya unyanyasaji wa kijinsia unaohusiana na migogoro kwa mara ya kwanza, ukitaja Huduma ya Magereza ya Israeli katika ripoti ya 2026 na kuweka mamlaka zingine za Israeli chini ya uangalizi kuhusu mifumo inayodaiwa ya unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wafungwa wa kigaidi, madai ambayo Israeli inakana na ambayo hakuna hata chembe ya ushahidi ulioonyeshwa zaidi ya ushuhuda wa magaidi wenyewe kusema!!

Hatua hii inafuatia onyo la Umoja wa Mataifa la 2025 kwamba Israeli inaweza kuorodheshwa ikiwa wasiwasi wa kuaminika utaendelea, baada ya ripoti ya Katibu Mkuu kusema Umoja wa Mataifa umethibitisha matukio ya unyanyasaji wa kijinsia unaohusiana na migogoro na vikosi vya usalama vya Israeli; kundi la haki za Israeli B’Tselem, AP, Reuters na vyombo vingine vya habari pia vimeripoti madai ya unyanyasaji wa wafungwa, ikiwa ni pamoja na unyanyasaji wa kijinsia, huku mamlaka za Israeli zikikataa mara kwa mara madai ya unyanyasaji wa kimfumo.

Kwa muktadha huo niliambatanisha picha kutoka Oct 07,2023 ili mtu aweze kuelewa ni akina nani ni UN, B'Tselem, AP, Reuters na wengine. Hawa ni watu ambao wanajaribu kuwalinda magaidi. Kwa kutokuzungumzia mauaji ya kinyama taliyofanywa na magaidi hao.

Umoja wa mataifa haujawahi kuwawajibisha wala kusema lolote kuhusu mauaji yaliyofanywa na magaidi dhidi ya wayahudi!!
 

Attachments

  • VID_20260529_083503_699.mp4
    1.1 MB
  • IMG_20260529_083503_543.jpg
    IMG_20260529_083503_543.jpg
    209.7 KB · Views: 12
  • IMG_20260529_083503_586.jpg
    IMG_20260529_083503_586.jpg
    173.6 KB · Views: 13
  • IMG_20260529_083503_575.jpg
    IMG_20260529_083503_575.jpg
    155.6 KB · Views: 13
  • IMG_20260529_083503_374.jpg
    IMG_20260529_083503_374.jpg
    92.7 KB · Views: 15
  • VID_20260529_083503_724.mp4
    4.2 MB
  • IMG_20260529_083503_765.jpg
    IMG_20260529_083503_765.jpg
    191.8 KB · Views: 14
  • IMG_20260529_083503_224.jpg
    IMG_20260529_083503_224.jpg
    241.3 KB · Views: 10
  • IMG_20260529_083503_676.jpg
    IMG_20260529_083503_676.jpg
    121.4 KB · Views: 14
UN hapo inafanya kazi kama jukwaa la kisiasa tu linalolenga kuhalalisha propaganda za makundi yanayotaka kutokomeza taifa la Israel.
Makundi gani yanataka kuangamiza? Pakistan ina nuclear na hiitambui israel kabisa hao waislam wa siasa kali wangetaka kuimaiza Israel si wangeshaipiga tactical nukes tokea miaka ya 1980s. Hawajawahi kuamua tu kuifuta, Israel ndio mabingwa wa propaganda kupitia program ya Hasbara inayotumia zaidi ya Dola billion 500 mpaka sasa kuisafisha Israel unaweza google ujifunze.
 
Hiyo video ambayo mtu anakatwa na shingo kwa kutumia jembe, inatishaa sana.😪😪😪
 
Sad

Dunia sio mahali salama Kwa viumbe
 
Waarabu/Waislamu ni wachafuzi wa Amani Duniani kote!!
Binaadamu wote Kwa ujumla

Wakati Babu zako wa kiafrica wana wakamata wenzao na kuwauza Kwa Waarabu na wazungu Ilikuwaje !?

Dunia yote imejaa uovu
 
Binaadamu wote Kwa ujumla

Wakati Babu zako wa kiafrica wana wakamata wenzao na kuwauza Kwa Waarabu na wazungu Ilikuwaje !?

Dunia yote imejaa uovu
Mikoa yote waliyopita hao waarabu mfano mikoa yote ya Pwani,Tabora na kigoma yote wahuni hao wameiacha ikinuka Mavi kwa kueneza Ushoga katika maeneo hayo.

Babu zetu hawakuwa na tabia hizo kabisa baada ya waarabu kuja walileta ufirauni huo nchini kwetu!!
 
Mikoa yote waliyopita hao waarabu mfano mikoa yote ya Pwani,Tabora na kigoma yote wahuni hao wameiacha ikinuka Mavi kwa kueneza Ushoga katika maeneo hayo.

Babu zetu hawakuwa na tabia hizo kabisa baada ya waarabu kuja walileta ufirauni huo nchini kwetu!!
Huna Akili hao mababu zako kwanini waliruhusu huo ujinga wao wakiwa kama viongozi wa wakati huo walifanya Nini ili kuweza kuzuia uhamiaji haramu wa hao Waarabu usiweze kuwepo !?
 
Huna Akili hao mababu zako kwanini waliruhusu huo ujinga wao wakiwa kama viongozi wa wakati huo walifanya Nini ili kuweza kuzuia uhamiaji haramu wa hao Waarabu usiweze kuwepo !?
Kwa swali kama hilo inabidi ukapimwe Mavi maanainaonekana wewe una Matatizo ya kijinsia!!
 
Back
Top Bottom