maadili mema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Wazazi tukumbuke kuimarisha misingi ya maadili mema kwa watoto wetu si jambo linalofanyika mara moja, bali ni mchakato endelevu

    Maadili na tabia njema huchangia kwa kiasi kikubwa katika kujenga na kuimarisha jamii yenye amani na umoja. Tunapolea watoto katika misingi ya maadili mema na tabia njema, tunaimarisha uelewa na uwezo wao wa kupambanua matendo mema na mabaya. Pamoja na hivyo, wazazi tunapaswa kuwajengea watoto...
  2. Nyendo

    Mzazi/ mlezi kabla hujaweka picha, video ya mtoto mtandaoni jiulize kama ataifurahia akikua

    Ni kama fashion sasa hivi watu kuwarekodi watoto kwa video fupi au kuwapiga picha wakiwa katika harakati zao za maisha ya kitoto. Kwa kuwa mtandao imekuwa mbadala wa albam kwenye kutunza kumbukumbu ni jambo jema kutunza kumbukumbu za makuzi ya mtoto iwapo unaona ni lazima ukatunze mitandaoni...
  3. MrsPablo1

    Wasaidizi wa kazi za nyumbani wenye uzoefu na maadili mema

    Kuna mabinti watatu wanatafuta kazi Umri ni miaka 21,20,18, Elimu kidato cha nne, Wanauzoefu wa kutosha na kazi zote za nyumbani. Mimi nafahamia na binti mmoja huyo wa miaka 21, hao wengine ni wadogo zake. Mshahara utategemea na ukubwa wa familia yako, kati ya 70,000/ mpaka 100,000/. Wapo...
  4. M

    Rais John Magufuli ndiye sampuli ya Mtanzania mwenye maadili mema

    KOMREDI JOHN MAGUFULI, NDIYE SAMPULI YA MTANZANIA MWENYE MAADILI MEMA Leo 15:15pm,15/09/2019. Komredi Rais John Magufuli ndiye muungwana na mstaarabu anayefuata mambo mema yaliyokubaliwa katika jamii, naamini ndiye Kiongozi mwenye kuita koleo ni koleo na kijiko ni kijiko, ndiye mwenye...
Back
Top Bottom