lugha

  1. Kuna nini kuhusiana na herufi A na lugha ya kiswahili?

    Lugha ya kiswahili imetawaliwa.na herufi A tazama. Uganda. Tanzania. Kenya.Botswana. Kaka. Dada. Mama. Baba. Chakula. Maisha.... Yaani karibia kila.kitu kimeishia na herufi a.
  2. Mali: Katiba Mpya yaondoa Kifaransa kama lugha rasmi

    Katiba mpya ya Mali imeondoa Kifaransa, ambacho kimekuwa lugha rasmi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi tangu mwaka 1960. Chini ya Katiba Mpya iliyopitishwa kwa wingi wa asilimia 96.91 ya kura katika kura ya maoni ya Juni 18, Kifaransa si lugha rasmi tena. Kifaransa itakuwa lugha ya kazi kuanzia...
  3. Hata siku moja usikubali kuhojiwa kwa lugha ya watu. Utashindwa tu

    Siku zote ukitaka kuhojiwa hakikisha unatumia lugha yako mama. Usijidai kutumia lugha usiyozaliwa nayo. Utashindwa na kuabika. Ndiyo yaliyompata Mruma.
  4. Ukiona kiongozi anatumia Lugha za kutisha Watu, jua huyo ni dhulmati" mdhalimu", mashetani ndio hufanya hivyo

    UKIONA KIONGOZI ANATUMIA LUGHA ZA KUTISHA WATU, JUA HUYO NI DHULMATI"MDHALIMU", MASHETANI NDIO HUFANYA HAYO. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Saikolojia ya mtu mwovu anapokabiliana na Mijadala hukimbilia Vitisho. Yupo mwovu hutoa vitisho Kwa sababu ya kuficha Maovu yake...
  5. Shinyanga: Lugha yasababisha Mahakama kuamuru kesi ya aliyehukumiwa kunyongwa isikilizwe tena

    Mahakama ya Rufani Kanda ya Shinyanga, imeamuru kesi ya mauaji inayomkabili, Juma Ndodi, aliyehukumiwa kunyongwa, ianze kusikilizwa upya kwa sababu hoja za awali na maelezo ya mashahidi yalisomwa kwa Lugha ya Kiswahili wakati yeye anaelewa Kisukuma. Uamuzi huo ulitolewa juzi mbele ya jopo la...
  6. Nape Nnauye: Tukosoane kwa hoja na lugha za staha. Kutukanwa kwa mama mmoja ni kutukanwa kwa kina mama wote Tanzania

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoloji ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amewataka watanzania kutotumia lugha za matusi kukosoa jitihada mbalimbali zinazofanywa nchini na Rais wa Serikali ya Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri Nape ameyasema hayo leo Julai 18 Mkoani Dar es Salaam...
  7. SoC03 Ziba pengo katika mawasiliano

    Katika kutafuta huduma mbalimbali toka sehemu tofauti-tofauti, Lugha ni nyenzo muhimu sana. Ili uweze kueleweka unachotaka, ni lazima utumie lugha inayoeleweka kwa atakaye kuhudumia. Mfanyo, mgonjwa anatakiwa kutoa maelezo kiasi Fulani kabla ya daktari kuagiza aina ya vipimo vitakavyomsaidia...
  8. Leo tusalimiane kwa lugha za makabila yetu

    Ndugu zangu kama itawapendeza leo tusalimiane kwa lugha za makabila yetu. Mimi ni mnyiramba natoka kule singidani Inye mbii kate.
  9. Ilikuwa ni siku ya lugha adhimu, lugha ya Kiswahili

    Hii ni Aburani na ahadi Iliyowekwa Siku za Nyuma na Umoja wa Mataifa, Kuwa Kutakuwa na Siku Maalumu ya Kusheherekea Lugha ya Kiswahili Duniani Kila Mwaka. Hii ni Abra nzuri kwa sisi wazungumzao lugha hii Adhwimu ya Kiswahili kujadili Mustakabali mzima wa lugha yetu. Basi na Sisi Waswahili Tuwe...
  10. Akili Bandia ya 'Bard AI' sasa inakubali lugha ya Kiswahili

    Akili Bandia ya Bard ambayo inamilikiwa na Google ili kushindana na Akili Bandia ya ChatGPT imefanya mabadiliko. Google Bard imeongeza upatikanaji wake kwa lugha zaidi ya 40 ikiwemo lugha ya Kiswahili. Sasa hivi unaweza kuuliza akili bandia ya Google maswali yoyote kwa lugha ya kiswahili na...
  11. Matamshi ya alama

    Katika matumizi ya simu tunakuta alama: * inatamkwa nyota. # inatamkwa alama ya reli. Kwanini * isitamkwe alama ya nyota sababu sio nyota kihalisia.
  12. Lugha gongana, Naombeni tafsiri ya “Received from” na “Issued to”

    Good afternoon members (sijui kama nimepatia 😂 ) Kuna sehemu imeandikwa Received from / issued to. hapa unaweza kuandika bidhaa flani imeletwa kutoka stoo ama naandika majina ya wateja waliokuja kuchukua bidhaa . Naombeni msaada kuibadili iwe kiswahili
  13. R

    Utungaji wa Sheria nchini uzingatie Mtiririko Mzuri na Matumizi ya Lugha Rahisi

    Ili wananchi waweze kuelewa vizuri Sheria mbalimbali nchini pamoja na vifungu vyake, kunatakiwa kuwe na mtiririko mzuri katika uandishi wake pamoja na matumizi ya lugha rahisi. Wananchi wanapaswa kuwa na uwezo wa kuelewa sheria bila kuhitaji msaada wa kisheria au ufafanuzi wa ziada. Hii...
  14. Anayejua hii lugha ya Tanganyika na Zanzibar itatufikia wapi anisaidie

    Siku haipiti bila kusikia malalamiko juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioanzishwa kwa shinikizo la Marekani na tamaa ya madaraka ya Abedi Amani Karume na genge lake la mapinduzi. Je huu mnyukano ulioibuliwa na kutaka kuwekezwa kwenye bandari zetu utatufikia wapi kama taifa? Je muungano...
  15. F

    SoC03 Elimu bila Lugha: Mtaala mpya haujatutoa kwenye mtumbwi wa Vibwengo

    Nilipopata habari za mpango wa serikali ya Tanzania wa kupitia upya mtaala wa elimu, nilipata faraja na matumaini. Kuna matarajio makubwa yalianza kujijenga kichwani mwangu – matarajio ya kuondokana na elimu isiyoweza kutafsirika katika uhalisia wa maisha na kazi. Lakini kama wasemavyo waswahili...
  16. J

    Tanzania na Urusi kushirikiana katika kueneza lugha ya Kiswahili

    Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Mhe. Andrey Avetisyan ambapo wamejadili namna bora ya Tanzania na Urusi kushirikiana katika sekta ya Utamaduni na Sanaa kwa manufaa...
  17. T

    SoC03 Mikataba ya kazi iwekwe kwenye lugha mbili

    Katiba ya nchi yetu inatambua lugha ya kiswahili kama lugha rasmi ya taifa la Tanzania, bado inashangaza sana kuona mikataba ya kazi inaandikwa kwa lugha ya kingereza tu, kwa kutumia jicho la kiupembunzi kupitia visa mafunzo kulingana na masuala ya mikataba suala la kuandaa mikataba liwe na...
  18. Nilienda ukweni wakidhani sijui lugha yao wakaanza kuniteta, nikaamua kumuacha binti yao

    Kabisa letu niliite kabila X linadharauliwa sana na kabila Y. Sasa nilipata binti wa kabila Y akaniambia kabla ya yote niende kwao kumsalimia mama yake. Nilienda na nikajitambulisha jina na kabila langu, wakaanza kuniteta wajomba na mashangazi kwa lugha yao! Yalikuwa masimango mabaya nikamtosa...
  19. Nini tofauti kati ya Wahutu na Watusi? Je, ni maumbile au lugha?

    Ninini hasa tofauti ya hizi jamii mbili wahutu na watusi? Mimi ninavyojua ni haya kama nakosea naomba kuelimishwa! 1. Wahutu ni wafupi watusi ni warefu 2. Kitusi ni lugha na kihutu ni lugha 3. Rwanda wanakaa watusi na Burundi wanakaa wahutu Maswali yangu! 1. Je, Burundi kuna watusi? 2. Rais...
  20. SoC03 Upotoshaji wa kiuandishi unavyorudisha nyuma maendeleo ya lugha ya Kiswahili

    Lugha ya Kiswahili, ni lugha inayokua kwa kasi ikiwa ni miongoni mwa lugha zenye wazungungumzaji wengi duniani. Ni lugha inayozungumzwa sana kwenye nchi za Afrika mashariki na baadhi ya nchi kuifanya kuwa lugha rasmi katika shughuli za kiserikali na katika mazungumzo ya watu yaani lugha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…