Hata siku moja usikubali kuhojiwa kwa lugha ya watu. Utashindwa tu

Siku zote ukitaka kuhojiwa hakikisha unatumia lugha yako mama. Usijidai kutumia lugha usiyozaliwa nayo. Utashindwa na kuabika. Ndiyo yaliyompata Mruma.


Weee jamaa wewee. Uv made these walls to crack. Am in stitches 🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆🙌🏿👆🏿👌🏿
 
Siku zote ukitaka kuhojiwa hakikisha unatumia lugha yako mama. Usijidai kutumia lugha usiyozaliwa nayo. Utashindwa na kuabika. Ndiyo yaliyompata Mruma.


Lycaon mkuu chukua maua yako.

Ndio lugha gani iyo? Negro you cant travel around the world and not speak mutherfakin english.

Mimi sijui Kiingereza. English mutherfacker. Asee nimecheka sana leo

Pitia faster hapo kwa dukani kwa mangi uagizie chochote nitapita baadaye na renji yangu kulipa
 
Sina mbs za kuplay hiyo video ya professor, lakini nauliza, kati yao wasomi wore hapa Tz kwanini atumwe yeye peke yake badala ya jopo la wataalam ?

Alichofanya Ni Kama enzi za presentation chuo,unafika mbele ya darasa alafu mwenye document Ali dodge
 
Hahahaha awepe mkalimani DJ MARCK ACHECHE au siyo?
... Ras Simba yupo hana kazi za kufanya walishindwa nini kwenda naye? Soma hiyo barua toka ofisini kwa Prof. Mruma enzi hizo kwenda wa wawekezaji ambao leo wanamdhalilisha mahakamani hiyo barua ikiwa sehemu ya vielelezo! Soma complimentary close halafu then amua umakini wa watendaji wetu;
mruma.jpg
 
Back
Top Bottom