lugha

  1. Tafakuri ya leo kuhusu herufi

    Nimekaa nimewaza na kuwazua nimeona kuuliza si ujinga; hivi huyu aliyegundua herufi alikuwa anawaza nini? Mfano: A tunasema ei, na hapo alianza gundua A alijuaje kuna herufi la 5 E na la 9 I? Angalau W daliyuuu.... sababu alishagundua d, a, b, l, i hiyo y nina mashaka nayo na u. Masharti ya...
  2. Katika Kukuza Lugha Yetu Adhimu ya Kiswahili Kimataifa, Mnaonaje Rais Samia, Atumie Kiswahili, Kulihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa?

    Wanabodi, Leo nimetembelea kurasa fulani za website ya UN, nikakutana na neno fulani la Kiswahili kwenye moja ya program za UN, neno Hii inaonyesha Kiswahili kinazidi ku gain momentum. Neno hilo linatumika kwenye program ya usajili ya UN. Niliwahi kuandika Usiyoyajua Kuhusu Samia UN: Kumbe...
  3. Lugha ya makondakta na madereva daladala inatia hasira, abiria tuwe wakali kukemea mmomonyoko wa maadili

    Mwaramutse nshuti, Mimi sina magari matatu kama ndugu yangu Makamura hivyo hulazimika kutumia usafiri wa umma kama daladala na bajaji kwenda kusaka mkate. Adha kubwa ambazo nimekuwa nikikutana nazo kwenye usafiri huo ni maneno machafu, yasiyo na staha ya makonda na madereva. Imekuwa kama...
  4. Wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya haya maneno anisaidie..

    Wasaalam wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya maneno naomba kusaidiwa -Paka -Dawati Visawe ni maneno yenye maana sawa Neno=Kisawe 1. Ardhi=Dunia 2.Ari=Nia 3.Aibu=Soni
  5. Msaada App ya kutafsiri lugha kwenye Video au Audio

    Jambo wanajamii. Tafadhali anayejua app ya kutafsiri lugha, nimekutana na kitu kizuri sana usiku huu Youtube, sitapenda kinipite. Thank you in advance.
  6. Serikali na Hatima ya Tamthilia za kigeni zilizo lugha ya Kiswahili kwa Kizazi Chetu

    Binafsi nasikitika kuona Tamthilia hizi za Kituruki, kihindi, kikorea, kichina, kiarabu n.k zilizotafsiriwa kwa lugha yetu ya Taifa kiswahili zinazooneshwa sana muda mwingi katika chanel zetu maarufu nchini hasa Azam kila nikiingia nyumbani, saloon, bar, hotel n.k. Serikali hasa Wizara ya sanaa...
  7. Niulize swali lolote kuhusu KUNENA KWA LUGHA nikufafanulie.

    Hello Shalom! Kila siku kwa kadri ya neema ya MUNGU nitaleta mada moja muhimu ili kumjenga mkristo. Tujengwe imara ili tusiyumbishwe na mbwa mwitu. Kristo alisema atakaa ndani yetu nasi tutakaa ndani yake. Asitokee mtu yeyote akawageuza Wakristo wenzake kama chanzo cha mapato yake. Watu wajue...
  8. B

    Tahasusi mpya zakosolewa na Maprofesa wa lugha na Fasihi

    Wabobezi ktk fani ya lugha Profesa Aldin Mutembei UDSM, Prof. Mabala na Prof. Raymond Mosha wa chuo nchini U.S.A wajitosa katika mjadala mzito wa TAHASUSI / COMBINATION mpya zinazotegemea kuaza kutumika https://m.youtube.com/watch?v=bnGuW-H_OeY Yalitakiwa wajadiliwe kwa upana ili umma mpana...
  9. African laguages and their families

    AFRICAN LANGUAGES AND THEIR FAMILIES What is Language? language is a system of conventional spoken, manual (signed), or written symbols by means of which human beings, as members of a social group and participants in its culture, express themselves. What is Language family? A language family is...
  10. Ni lini lugha za kikabila zitakuwa somo kama ilivyo kwa Kiarabu, Kiswahili, Kingereza na Kichina?

    Kwema Wakuu! Ni lini lugha mama zetu, nazungumzia lugha zetu za kikabila zitaingizwa kwenye mitaala kama moja ya masomo ya lugha kama ilivyo kichina, kingereza, kiswahili, kiarabu. Tunampango gani wa kuhifadhi lugha zetu za asili au elimu ya kigeni itafanikiwa kuzifuta Lugha zetu za asili...
  11. B

    Hongera Global Online TV kwa kwenda kimataifa katika Lugha ya Kiingereza

    19 March 2024 Dar es Salaam, Tanzania A STORY BEHIND DEATH OF PRESIDENT JOHN MAGUFULI AND CONTROVERSIAL SWEAR IN OF PRESIDENT SAMIA- CDF GENERAL VENANCE S. MABEYO (RETIRED) NARRATES. https://m.youtube.com/watch?v=3feP2dy0ZVg
  12. Pamoja na juhudi kubwa niliyofanya kufahamu lugha yao, msichana wangu Msandawe amenicha

    Mse ni kifupi cha Msendema huyu ni wanawake wangu tulioishi nae miaka 8, nilimpenda sana na nilifanya juhudi sana kufahamu lugha ya kwao kisandawe na hii ni sababu ya yeye kuwa na mazoea ya kuongea na mama yake kwa kikwao kila siku na akiongea lazima hunipa simu nimsalimie basi niliadhimia...
  13. Neno Amirati lililotaka kuwa mbadala wa Amiri Jeshi Mkuu Asili yake wapi?

    Yamebainika mengi sana leo, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5. Tusirudie yaliyosemwa, bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu.
  14. J

    Moja ya mapungufu kwenye Sheria inaweza kuwa ni Lugha iliyotumika

    Mapungufu katika Sheria yanaweza kuwa ni Lugha ambayo imetumika ikiwa haijulikani kwa Raia wengi na hivyo kusababisha tafsiri tofauti, au utata katika Utekelezaji wake. Pia, Utekelezaji wake kuwa na mwelekeo wa upendeleo au ubaguzi dhidi ya makundi fulani ya Watu, ikisababisha kutokuwa na Usawa...
  15. Lugha ya Ishara ni muhimu katika jamii

    Lugha ya Ishara ni lugha ya kuona ambayo hutumia mikono, mwili na mienendo ya uso kusiliana. Kuna zaidi ya lugha ya ishara 135 ulimwenguni kote, na karibu asilimia 20 ya idadi ya watu duniani wana ulemavu wa kusikia. Hivyo, watu wengi wanahitaji kutumia lugha ya ishara kama njia ya mawasiliano...
  16. Ukiacha Uzoba wa kutojua lugha ya Kiingereza Watanzania pia ni wa mwisho kwenye uwezo wa akili za maisha na darasani hapa Afrika Mashariki

    Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama...
  17. Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama: Unajua kuzungumza Lugha Mama yako? Watoto wako je?

    Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama husherehekewa kila mwaka tarehe 21 Februari. Ni siku iliyotambuliwa na Umoja wa Mataifa kukuza utofauti wa lugha na tamaduni na kuhamasisha ufahamu wa urithi wa lugha na tamaduni ulimwenguni kote. Siku hiyo inakumbuka Maandamano ya Lugha ya Kibengali ya mwaka...
  18. R

    BAKITA mnabuni maneno ya Kiswahili ili kukuza lugha ya Kiswahili. Je, ETIMOLOGY ya maneno mnayoyabuni ni ipi?

    What is the etymology of the Swahili words you are coining? The science of the origin of the words you are coining ni ipi? Mfano, Akili Mnemba, Mnemba etymology yake ni ipi? Mfano, in English, Tele means FAR, and PHONE means sound, therefore TELEPHONE means FAR SOUND ie one can hear a sound...
  19. TCRA: Vyombo vya habari vinavyochanganya lugha kuchukuliwa hatua, ‘kuna haja ya kukiita kipindi Goodmorning?’

    Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa tabia ya vyombo vya habari kuruhusu watangazaji kuchanganya lugha kwenye vipindi vyao ni kosa kisheria na watachukuliwa hatua. 📹 TheChanzo Written by Mjanja M1 ✍️
  20. Nimesikitika sana taasisi yenye dhamana ya kusimamia Lugha ya Taifa (Kiswahili) kukosa jenereta pale unapokatika umeme

    Jana nilifika katika ofisi za BAKITA (Taasisi ambayo inabeba dhamana ya lugha ya Kiswahili inayotuunganisha sisi kama Watanzania). Nilichokiona kimenisikitisha sana. Nilihitaji kupatiwa huduma ya Tafsiri cha ajabu niliambiwa hakuna umeme ofisi nzima (kutokana na mgawo ambao unaendelea nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…