Pamoja na juhudi kubwa niliyofanya kufahamu lugha yao, msichana wangu Msandawe amenicha

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
4,900
10,664
Mse ni kifupi cha Msendema huyu ni wanawake wangu tulioishi nae miaka 8, nilimpenda sana na nilifanya juhudi sana kufahamu lugha ya kwao kisandawe na hii ni sababu ya yeye kuwa na mazoea ya kuongea na mama yake kwa kikwao kila siku na akiongea lazima hunipa simu nimsalimie basi niliadhimia nijifunze lugha yao ili mambo yawe safi si umnajua ukipenda ua penda na boga lake niliweza vizuri tu na nikawa pia namsalimia mama yake kwa lugha yao

Sasa last week ameniacha tena ameniacha vibaya sana issue sio kuachwa hapa issue ni hii lugha niliyojifunza nawaza nitakuwa naongea na nani!

"mse Mungu anakuona"

_d18af90a-5ee1-4395-88b3-08b4bbf90dfa.jpeg
 
View attachment 2939024
ilikuwaje akakuacha?
 
Mkuu tafuta msandawe mwingine ukimegewa na wewe tafuta mnyonge ummegee
 
Huenda ulipaswa kumtafutia nyama ya nyani au tumbili angalau mara moja kwa wiki! Hiyo kitu nasikia wanapenda sana!
 
Mse ni kifupi cha Msendema huyu ni wanawake wangu tulioishi nae miaka 8, nilimpenda sana na nilifanya juhudi sana kufahamu lugha ya kwao kisandawe na hii ni sababu ya yeye kuwa na mazoea ya kuongea na mama yake kwa kikwao kila siku na akiongea lazima hunipa simu nimsalimie basi niliadhimia nijifunze lugha yao ili mambo yawe safi si umnajua ukipenda ua penda na boga lake niliweza vizuri tu na nikawa pia namsalimia mama yake kwa lugha yao

Sasa last week ameniacha tena ameniacha vibaya sana issue sio kuachwa hapa issue ni hii lugha niliyojifunza nawaza nitakuwa naongea na nani!

"mse Mungu anakuona"

View attachment 2939024
We jamaa!

Wala usiumie kabisa!!!
Sio wako huyo was kwako yupo!

Asikudanganye eti pesa,pesa haijawahi kukuza thamani ya mtu hasta siku moja,pesa ni matokeo,usipendane na Dem kisa eti unampa pesa!kama hakupendi hakupendi tu hata umpe Benki,pesa haiwezi chukua nafasi yako ndani ya moyo wa mtu!!

Sisi wanaume tunajidanganya sana na hii kampeni ya tafuta hela!!

Kama tunatafuta hela Kwa ajili ya umalaya sawa lakini siyo substitute ya kupendwa na mtu!!
 
Sasa na hiki kiluga chao nilichojifunza mimi nitaongea na nani jamani?
 
Tafuta mwanamke mwingine wa kisandawe alfu usimwambie kama unajua kilugha chao wala ndugu zake wasijue unakijua utakuja ni shukuru baadae
 
Back
Top Bottom