lugha

  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ubaya ubwela kwa kwa kipare ni uvivi wahunduka je kwa lugha yako mnasemaje?

    Tuambie hii sentensi UBAYA UBWELA kwa lugha ya kikwenu mnasemaje? 1. WAPARE - UVIVI WAHUNDUKA.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nimeanza kujifunza kuhesabu kwa lugha ya kiarabu, tujifunze pamoja tuache kung'ang'ania kiingereza

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeanza jifunza kuhesabu kwa kiarabu Nimeona niwe tofauti na Wakristo wenzangu wanaoamini kuwa kiingereza ndiyo lugha sahihi zaidi kwao kuliko lugha nyingine Kiarabu ni mojawapo ya lugha bora Duniani tena iliyotumika kushushia kitabu kitakatifu Asubuhi ya leo...
  3. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kubananga: lugha ya Kiswahili, lawama ziende BAKITA

    Ukweli ni kwamba kumekuwa na uharibifu mkubwa sana wa lugha ya kiswahili miaka ya karibuni. Tatizo hili lipo haswa kwa kizazi hiki kinachoitwa cha 2000 aka Gen Z. Imefika wakati hadi hawa vijana/watoto wanapoandika jambo au kuongea na wakafanya hivyo kwa usahihi ndio unashangaa. Sio unashangaa...
  4. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Iwekwe siku ya kumbukumbu na kuenzi mchango wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya Kiswahili

    Katika kumbukumbu za siku ya kiswahili, sijawahi kusikia wakitajwa wasanii wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya kiswahili hasa wakati ule ambapo jamii nyingi zilikuwa Bado hazijafunguka na wengi walisthiriwa na vilugha vyao. Lakini wanamuziki wa enzi hizo kwa majitoleo na uzalendo mkubwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya lugha na binadamu.

    Habari wakuu, Nimekuwa nikijiulza hivi sayansi ya lugha duniani ikoje, mbona duniani lugha ni nyingi ila kuna maneno ambayo kila taifa lazma wawe nayo na maana Ni moja. Utakuta watu wa Asia kama waarabu, waajemi yani wahindi, Malaysian, Indonesian n.k wanaingiliana sana maneno kwenye lugha zao...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya msituharibie lugha yetu adhimu

    Watu wa mbeya hiki Kiswahili chenu cha ajabu sana, sijui mlikitoa wapi. Tuendage- badala ya Twende Turudigi- Turudi Tupikage- Tupike Tuvaage- Tuvae Agizaga- Agiza Tuangaliage- Tuangalie Tubusuniage- Tubusiane Usalimiage- Usalimie Kusembua-kusawazisha barabara
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Lady JayDee aliouimba kwa lugha 7

    Distance: Lady Jaydee Nakupenda, nakutaka, nakuhitaji-ii-iiii Moyo wangu wakuwaza, mpenzi uko mbali nami Nakupenda, nakutaka, nakuhitaji-ii-iiii Moyo wangu wakuwaza, mpenzi uko mbali nami Ngiyakuthanda, ngiyakufuna, ngiyakudinga Nhliziyo yami, ngicabanga ngawe, kodwa ukude nami mpenzi I love...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Unawasilianaje na mtu msiyeelewana lugha?

    Ikitokea umekutana na mtu amabaye hamuelewani lugha kabisa iwe katika mambo ya kijamii, kazi, biashara au michezo na hakuna mkalimani huwa mnawasilianaje muelewane? Yaani kama unajua Kiswahili tu na umekutana na mtu anajua Kifaransa, Kiarabu, Kichana au lugha nyingine tu tofauti na Kiswahili...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

    Wakuu Bwana ni mwema!! Maandiko yanatuambia ya kuwa👇👇Mwanzo 11:1-7 (KJV) Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja. Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko. Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CP Suzan Kaganda: Wasimamieni Askari wasitumie lugha zisizofaa, Jamii inalalamika

    Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu Jeshi la Polisi, CP, Suzan Kaganda amewataka Makamanda wa Polisi wa Usalama Barabarani wa Wilaya nchini (DTOs) kusimamia majukumu yao ipasavyo wakati wa kujaza fomu ya taarifa ya ajali za barabarani. CP. Kaganda ametoa maelekezo hayo Jijini Arusha Juni 21...
  11. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Kubali kujifunza, kingereza ni lugha ya kikabila tu

    MAKUBWA! ETI "WHO IS KNOW?" - "NANI ANAJUA?". Ndugu zangu, kuuliza "Nani anajua?", hatusemi "who is know?". Huwa tunasema, "who knows?". Hivyo unapotaka kuuliza, "nani anajua?", wewe sema "who knows?". NI MAKOSA KUSEMA: 1. Who is know? 2. Who is Knowing? MIFANO YA SENTENSI: 1. Who knows to...
  12. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Yajue matumizi ya "When" na "While" katika lugha ya kingereza

    JE TUNATUMIA “WHEN” AU “WHILE”? IPI TOFAUTI KATI YA “WHILE” NA “WHEN”? JIFUNZE HAPA. Katika post hii tunaenda kujifunza matumizi ya maneno “when” na “while” ambayo yanatumika kuelezea matukio mawili yaliyotokea kwa pamoja. Tutaangalia tofauti zake, kwa maana ni wakati upi utumie “when”, na...
  13. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Kutoa ushuzi au kujamba katika Lugha ya Kingereza

    MSAMIATI UNAOTUMIKA KUMAANISHA ‘KUJAMBA’ AU ‘KUTOA USHUZI’ NI: 1. Fart: Hili ndio neno linalotumika sana. Huweza kutumika kwenye mazingira rasmi na yasiyo rasmi (Formal and Informal settings) Mfano: Jesca farts a lot. (Jesca hutoa ushuzi sana / Jesca hujamba sana) 2. Flatulate: Hili ni neno...
  14. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Kiingereza kingefanywa lugha ya JF?

    Nafikiri, ingeweza kuwa na manufaa kwa JF kama taasisi, lakini isingekuwa na faida kwa Watanzania wengi. 1. Wana Afrika Mashariki wengi: Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, n.k., wangeweza kujiunga na JF. Na Watanzania wangekuwapo pia ila idadi ingekuwa ndogo sana. 2. Ingekuwa na watumiaji wengi...
  15. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda kutumia lugha ngumu

    Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu basi na Mimi nikaamua kum-bless moyo wangu na ye akanibless Wa kwake. Binafsi nampenda sana na hii ni...
  16. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Wanyaturu ni kabila pekee lisilo na athari ya lugha kimatamshi; Wanawake wapo pia ni wakali sana

    Hakuna kitu inakera unalikuta lidada linachanganya "R" na "L" kwenye matamshi. Unakuta ni msomi au mzuri tu lakini unamsikia anatamka "chakuRa" au "ajaRi". "UsijaRi baby" !! Nikikutana na lidada linaongea Kiswahili cha "R" "R" kama mgambo wa Congo huwa naghairi kumzagamua kabisa. Namnasa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Nina uhitaji wa kozi ya lugha ya kingereza

    Wanajamvi naomba mnishauri sehemu ambapo ninaweza kufanya kozi ya lugha ya kingereza, ili niweze kuwa mzungumzaji mzuri, na kuboresha matamashi, uwezo wangu ni "intermediate". Nipo mkoani Dodoma! Kama ni online naomba jina la website Asanteni
  18. Meneja CoLtd

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya lugha ya kingereza (sehemu ya tatu). Sheria ya T zinapokutana

    Habari zenu wana JF! Hii makala imebidi niiandike kwaniaba maana nimeona baadhi ya watu hawaijui hii sheria ya T T zinapokutana katika lugha ya kingereza T zinapokutana basi T moja haitamkwi na T iliyobaki inatamkwa kwa kukazwa. Mfano: 1. streeT Town. Neno hili litatamkwa stree 'Town. 2...
  19. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania SoC04 Huduma za Kiserikali zitolewe kupitia TEHAMA/Mtandao, kupunguza rushwa, gharama na lugha mbaya kutoka kwa baadhi ya watumishi wa umma kwa wananchi

    1. 0 UTANGULIZI. Habari zenu watanzania na wananchi wenzangu wa nchi yetu pendwa ya Tanzania? Nawasalimu nikiwa na furaha kubwa sana na nikiwa na lengo la kuchangia mawazo yangu kwaajili ya kuboresha zaidi huduma za serikali dhidi ya wananchi wa Tanzania ambao ndio sisi (Mimi na Wewe). Wengi...
  20. Meneja CoLtd

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya lugha ya kingereza (sehemu ya pili). Kwanini wazungu hatuwaelewi?

    Baada ya kuisoma asili ya lugha ya kingereza katika makala ya kwanza leo tutatoa jawabu la swali ambalo wapenzi wengi wa lugha ya kingereza wamekua wakijiuliza, KWANINI WAZUNGU HATUWAELEWI WAKIONGEA BAADHI YA MANENO KWA KINGEREZA? Jawabu la swali hili ni rahisi tu, kwanza unatakiwa uwe na...
Back
Top Bottom