lugha

  1. Jidu La Mabambasi

    Sakata la dhahabu kwa lugha inayoeleweka!

    Tusijumbue kwa maneno mengi!
  2. Q

    Hongera GenZ, Simba na Yanga kwisha Wasanii kwisha, tuendelee hivi hivi hadi wote tuongee lugha moja.

    Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa. Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
  3. Farolito

    Je, Wazungumzaji wa lugha ya Kihispania na Kireno wanalewana?

    Wakuu, Kwa wale wanaozijua lugha hizo mbili naomba mnisaidie. Mimi sio mzungumzaji wa lugha yeyote kati ya hizo ila naweza kusema kwamba naelewa baadhi ya maneno au sentesi sababu nimekuwa nikifuatilia sana nyimbo za zinazoimbwa Kihispania, katika harakati za kujua maana ya nyimbo hizo...
  4. DogoWaNjombe

    Jaji Mkuu: Mahakama kuanza kuandika hukumu kwa Lugha ya Kiswahili

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amesema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, tarehe 13 Januari...
  5. S

    Mwabukusi awashangaa wanaosema kwa lugha nyepesi tusameheane baada ya mauaji ya Oktoba kama vile mtu amekanyaga tu kitumbua

    Rais Wa Chama cha mawakili Tanganyika ameeleza kuwa mauaji yaliyotokea Oktoba ni makubwa hayakuwahi kutokea Toka Tanganyika ijulikane na si Muarabu, Mjerumani wala Muingereza aliyefanya mauwaji makubwa hivi. Awashangaa watu wanaozungumza kwa lugha nyepesi tu kuwa tusameheane kama vile mtu...
  6. Allen Kilewella

    Siri imefichuka Marefa wetu kutochezesha mechi za CAF.

    Udhaifu wa kutokujua lugha zaidi ya Moja hasa kifaransa na kiingereza ndiyo chanzo kikubwa cha marefarii wetu kutokupangwa kuchezesha mechi zinazoandaliwa na CAF. Itakuwa ni aibu tuandae mashindano ya AFCON halafu marefarii wetu wasiwe sehemu ya marefarii watakaokuwa wanachezesha mashindano hayo.
  7. K

    Joseph Ludovic: Viongozi wa dini wana haki na wajibu wa kukemea maovu lakini lugha wanayotumia si ya kiuchungaji

    Joseph Ludovic ambaye ni mwalimu wa na masomo ya dini mbali na kulaani vurugu za uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, mwaka huu ametoa wito kwa viongozi wa dini kuponya taifa kwa kuhimiza maridhiano badala ya kugeuka kuwa wachochezi kwa kutoa kauli zenye viashirio vya uchochezi wa kuligawa taifa.
  8. Bawabu wa pili

    Prof. Abdallah Safari: Kiswahili sio lugha Taifa kwa mujibu wa sheria, tunatumia kimazoea tu

    prof. Abdallah Safari ambae ni Profesa wa sheria na muandishi nguli wa vitabu ambae amewahi kuandika vitabu kama vile riwaya ya Joka la Mdimu katika mahojiano yake ameeleza kuwa lugha ya kiswahili sio lugha ya taifa bali tunaitumia tu kimazoea akirejelea kuwa katiba haina kifungu kinachobainisha...
  9. Traxtion

    Tanzania tunapaswa kufanya hivi ili kupunguza umasikini, uhaba wa ajira na kukuza lugha ya Kiswahili

    Hapa nitaongelea vipengele viwili na vinahusiana sana, kwa hiyo naomba usome hadi mwisho I. Suala la Uhaba wa Ajira II. Ukuaji wa Lugha ya Kiswahili I. UHABA WA AJIRA Tanzania ina uhaba wa ajira kwa sababu ya uhaba wa makampuni na wawekezaji. Sio tu wawekezaji wa nje, hata wa ndani pia ni...
  10. Freyzem

    Aliyozungumza Jaji Warioba, ametumia Lugha kama Ile aliyokuwa anatumia H. Polepole..Kifuatacho!

    Huyu mzee kwa Kweli Mungu ampe maisha marefu! Ameongea mambo ambayo ni makubwa, na kumbukumbu zitahifadhiwa kwa ajili ya rejea za vizazi vijavyo! Kaongea kwa ujasiri kweli kweli tena kwa uwazi! Maneno aliyosema hivi sasa kuna watu wataanza kumshambulia, na tutegemee apate pia misukosuko, sijui...
  11. Mwachiluwi

    Baadhi ya maneno ya English Wabongo walivyoyaharibu kimatamshi

    Solu tape = solution tape Rubber band = bala bendi Ambles = ambulance Ongezea Mengine unayo ya jua...
  12. Chizi Maarifer

    Kwanini wapambania haki Mitandaoni wana lugha Kali sana na matusi kwa wengine?

    Chunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane mitizamo katika hoja unaambulia matusi au wanakublock. Mimi binafsi naona mtu anayekimbilia matusi kwa...
  13. H

    Mbinu bora za Elite home tuition kumfundisha mtoto anayeanza lugha za kigeni

    Katika Elite Home Tuition, tunatumia mbinu maalum zinazomuwezesha mtoto kuanza kuielewa na kuitumia lugha ya kigeni kwa ufanisi, kwa furaha na bila hofu. Hizi ndizo mbinu zetu bora: 1. Mazoezi ya Kusikiliza (Listening First): Tunaanza na kusikiliza nyimbo, hadithi, na mazungumzo mafupi...
  14. thegreat1510

    Tukipanga maandamano December 25, watanzania wote tutaanza kuzungumza lugha moja.

    Hio itakuwa Siku ya Christmas, wakiristo watahitaji kutoka kusherehekea. Hakuna namna ya kuzuia mikusanyiko siku hio, na kama wakizuia na ndio lengo letu., Sio tu machawa yataguswa hata watanzania wa kawaida wataanza rasmi kuandamana.
  15. The Father of All

    Mara hii lugha ya mama imebadilika hivi?

    Baada ya kuangukia madaraka kama wakenya ambayo wangesma, Samia Sulubu Hassan alliahidi kuifungua Tanzania kana kwamba ilikuwa imefungwa. Alianza kuvaa barakoo tofauti na mtangulizi wake. Alianza lugha ya economic diplomacy au diplomasia ya uchumi. Aliongelea demokrasia, maridhiano na mambo...
  16. T

    Kuanzia tarehe 6 mpaka tarehe 8 hutaweza kufanya miamala ya TISS, au kwa lugha nyepesi, bank kwenda bank nyingine, Mtandao kwenda mtandao mwingine

    Hii ni taarifa ya bank moja nimepata, hii inaenda kuathiri miamala karibia yote. Chukua hatua mapema
  17. mirindimo

    Picha: Polisi sharia ni nini ? Hatujazoea hizi lugha huku Tanganyika

    Hii haijatumika kimakosa, tunajua Polisi wanaanza kuingia taratibu kwenye Lugha za Kiislamu, maneno Sharia, Kadhi na mengine itabidi tuyazoee, lakini isiwe ghafla hivi jamani !!!
  18. Chigurh

    Kiswahili ni lugha yenye vikwazo sana

    Najua wengi wenu hapa ni wazalendo hivyo itakua ngumu kwenu kukubali hili ntakalosema. Kiswahili ni lugha limiting sana. Ndio, katika maisha yakawaida ya kila siku, haina shida. Leta maji, leta kikombe, nenda pale, nipe hiyo. Hapo hakuna shida, na ni vizuri nchi nzima inaongea kwa kiswahili...
  19. R

    Sikiliza lugha ya madikiteita wa kiafrika, lugha yao ni moja!

    Sikiliza clip hii. Majitu haya yanasahau yanayowafanyia wapinzani wao wa kisiasa!
  20. K

    Ukisikia Lugha Gongana ndiyo hii. Maasofu wanasema lao na Masheikh wa BAKWATA wanasema lao

    Nawaombeni msikilize kwa makini hawa viongozi wetu wa dini halafu tuone nani yupo sawa na yupi hayupo sawa. Binafsi sina la kusema sababu BAKWATA labda wanaweza kuwa wanasema kweli sababu nimesikia mara nyingi wakisema Yesu alikua Muislamu mwenzao labda wanayajua zaidi mafundisho ya Yesu kuliko...
Back
Top Bottom