Lugha za kichina na kijerumani

Lugha za kichina na kijerumani

Marealle

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
25
Reaction score
22
Watoto wangu wanaishi Chanika, mkoani dsm.
Naomba kufahamu mtaalamu wa lugha za kichina na kijerumani au sehemu rahisi kwao kwenda kujifunza. Ninashukuru kwa msaada huo
 
Mtandaoni.. jaribu kuangalia walimu wa mtandaoni na wajifunize huko kwa mwanzo kwanza then unatafuta walimu physical.. wazo tu
 
Back
Top Bottom