Congo DR na lugha ya Kifaransa

Congo DR na lugha ya Kifaransa

Mwafrikamtanzania

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,032
Reaction score
1,288
Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (Congo DR) imetawaliwa na Ubelgiji (Belgium) tangu 1885 hadi 1960.

Kwa nini KIFARANSA ni LUGHA rasmi nchini humo?
Uzi tayari.
 
Sio wote wanaongea kikongo wengi huongea kiswahili kilicho changanyana na kifaransa ila wengi kifaransa hawajui labda waliopita shule na ni baadhi yao
 
Sio wote wanaongea kikongo wengi huongea kiswahili kilicho changanyana na kifaransa ila wengi kifaransa hawajui labda waliopita shule na ni baadhi yao
Nikusaidie kdg , Kinshasa ndio sehemu inayoongea kifaransa zaidi Africa

Kiswahil congo kinaongelewa zaidi Mashariki na Katanga
 
Kifaransa ni moja ya lugha rasmi kule Ubelgiji na huku DR Congo waliileta wenyewe.

Kingine wakongo wanaipenda sana Ufaransa/Paris hivyo wamejazana huko na wamekuwa wakirudi na kifaransa tangu enzi za ukoloni. Wengi wao walisoma Ufaransa badala ya Ubelgiji.
Asante sana
 
Back
Top Bottom