lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaoanzisha pubs mpya wengi lazima watinge Singida kutafuta mabinti wa kuziendesha/kuhudumia?

    Kuna siri gani juu ya mabinti wa Singida, are they good at hospitallity and homage?
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kusudi kuu la maisha ni balance (uwiano) na survival. Raha inakuwa fupi kwa maana unajaribu kusavaivu na tabu inakuwa ndefu ili ku-extend uwiano

    Hata ufanye nini asili itakugusa tu, uzembe wa wengine utagusa hata uwe makini kiasi gani, raha itakupata tu kwa wakati fulani na shida itakupata ili wengine wapate raha. LIFE
  3. Stability

    JamiiForums Tanzania Huwa nashangaa sana ila kila mdada mwenye makebo makubwa lazima awe na besti yake huyo mwembamba ambae ni kama waziri wake wa ulinzi na mawasiliano

    Ukimuita tu dada mwenye makebo makubwa uanshangaa yeye lazima aje wa kwanza utafikir umemuita yeye, kila sehemu unakuta anamshika mkkono ila tu auze nae sura na kumpa ushauri wa kila mwanaume anaemtaka. Looh! Yeye ndio haji manara wake, yanj muda mwingine unajikuta unakosa fursa ya kutafuna...
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Raman za nyumba zinazokubalika na Halmashauri/Mamlaka ya Mji lazima ziwe na vitu hivi

    Raman za nyumba zinazokubalika na Halmashauri/Mamlaka ya Mji lazima ziwe na vitu hivi: 1. Taarifa za Msingi - Title Block Jina la mradi - Mf: Nyumba ya Makazi ya Bw. Juma Ally Mmiliki - Jina kamili la mteja Mahali - Plot No, Block, Kitongoji, Kata, Wilaya Msanifu - Jina, saini, namba ya...
  5. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Maisha lazima uishi, maisha yenyewe mafupi

    Salaam jamiiforum Kuishi ni lazima, Kuishi ni kuvifurahia vitu,kama Kula vizuri, Kulala pazuri na kuvaa vizuri. Bahati mbaya vitu tunavyotamani havipatikani kirahisi lakini ,naamini kila mmoja anatamani kupata kilicho bora. Bro,hata uwe bize na majukumu vipi usisahau kuishi,enjoy maisha Kula...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ili wapike matapishi yale ilikuwa lazima waende gizani, wazuie taarifa za live wakati wa mchakato

    Naona ugumu kukichafua cheo cha Jaji kwani ni adhimu na chenye heshima kwa anayestahili kuheshimiwa nacho na Wewe Chawa, Chande umejivua cheo hicho, acha nisionekane mtovu wa nidhamu kwa wakubwa nikuite Mzee Chande kutokana na Mvi zako. Nachelea kusema kwamba, kama wasingeenda gizani upisha wa...
  7. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Gentamycine ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe

    GENTAMYCINE ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe tu na wenye chuki ambao wanachukia kumuona GENTAMYCINE akisifiwa na aking'ara humu kusema ukweli katika watu walionifanya niipende jamiiforum ni huyu mkuu jamiiforum aisee jamaa ana hoja na analeta mada kuntu Sana Namkubali sana GENTAMYCINE...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Golugwa: Watawala lazima wachukue hatua za kidharura si kulalamika bei zimepanda hata majirani zetu, Manufaa ya akiba iko wapi?

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 12, 2026, Naibu Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa, amezihoji mamlaka kuhusu akiba iliyokuwepo ya miezi mitatu iko wapi ikiwa wananchi hawanufaiki nayo? Ameongeza pia, Mamlaka zinatakiwa ziondoe Kodi iliyopelekea...
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kuna wale maslahi yao yakiguswa wanaajiri watu wa kutukana, ili waendelee kufugwa, lazima watukane viongozi

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesema kuwa vita ya rasilimali ni kubwa sana na ndio maana baadhi maslahi ya waliozoea kuchukua na ya wengine yakiguswa huwa wanaajiri wa kutukana mtandao, na hili hao watukanaji waendelee kufugwa lazima waendelee kutukana na ndio maana wamekuwa wakihama kila awamu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Je ni lazima kubadilisha jina baada ya kuokoka?

    Je ni lazima kubadilisha jina baada ya kuokoka? Katika biblia Mungu hakuwabadilisha watu majina kutokana na tafsiri za majina yao. Ni muhimu sana kufahamu hili, vinginevyo shetani anaweza kukutesa na tafsiri ya jina lako. Hii ni kwa sababu usipomwelewa Mungu jinsi anavyotenda kazi...
  11. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Ni wazi kuwa Nchi kwa sasa haipo kwenye mikono salama

    Kwa masikitiko makubwa sana Viongozi tuliokuwa nao kwa sasa wamekosa TIJA. Nadhani kwa mara ya kwanza kwenye Taifa letu tumeweza kuwa na rais mwenye uwezo mdogo sana Natambua wapo wanaonufaika na incompetence ya Samia , to them , ni stepping stone kufikia malengo yao : Kwenu CCM wenye akili...
  12. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Lakini ukweli huu ni dawa na ni lazima tumeze. Tutake Tusitake

    1. Utapeli (The 40-Year Scam) Tumeaminishwa tufanye kazi miaka 40, tuweke akiba kidogo kidogo, ili tuje tuanze kufurahia maisha tukiwa na miaka 65. Huu ni wazimu wa kiwango cha lami! Yaani usubiri mpaka viungo vyako vimechoka, magoti yanauma, na huwezi hata kula nyama choma bila daktari...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pasaka ni Ukombozi na Ushindi! Ili Watanzania Tukombolewe na Tushinde, Lazima Tusamehe (Hata Bila Kuombwa Msamaha) Tukombolewe, Turidhiane, Tushinde

    Wanabodi Heri ya Pasaka!. Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya Leo!, ila kabla ya kukupeleka kwenye makala, mimi pia kama Mtanzania, kwa mujibu wa ile Ibara ya 18 ya katiba, natoa maoni yangu. Pasaka hii imetukuta, Watanzania tukiisubiria kwa shauku kubwa Ripoti ya...
  14. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Maisha mazuri ni lazima, ewe kijana wa kiume set standards zako kisha ishi

    Salaam jamiiforum forum. Kwa wakristo wenzangu , hususan Roman katoliki,Leo ni Alhamisi kuu, Ni bado saa chache tu mkombozi wetu aanze kupitia maumivu. Kwani tayari Yuda ana Vipande thelathini vya pesa. Kwa pesa ya Leo kibongobongo unaweza kuta ni milioni 300😂 maana kuuza roho ya mtu Kwa Kwa...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tutabana matumizi yasiyo ya lazima ili kukabiliana na athari za kiuchumi zinazoendelea duniani

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akijibu ameyasema hayo Bungeni katika kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu wakati akijibu swali la Mbunge Ado Shaibu kuhusu hatua za Serikali wanazochukua ili kukabiliana na athari za kiuchumi kutokana na vita inayoendelea mashariki ya kati na ulaya mashariki.
  16. M

    JamiiForums Tanzania wakamaria maarufu hupata pesa kupitia codes na referral links, haijalishi mkeka umetiki au umechanika, usijidanganye kuwa mpo boti moja.

    Betting Codes Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka moja kwa moja. Ukiweka dau, mkamaria hupata sehemu ya asilimia fulani, mfano 4%. Kwa mfano, ikiwa watu...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Utani lakini kuna kaukweli: Usipomkula vizuri, lazima akuue

    Usipomfanya vizuri mpaka kiuno kikateguka na utando ukatoka lazima awe na kinyongo. Lazima aishi kwenye wimbi la hasira. Kuna wanaume wamejisahau, wanadhani wakimpa mimba mwanamke ndiyo wamemfikisha mlima Kilimanjaro. Unaweza kuzaa watoto 10 yet ndani ya miaka 20 ya ndoa yenu ikawa umemfikisha...
  18. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Sio lazima kila mtu aanzishe familia

    Naelewa jinsi jamii ya Kitanzania inavyo pressurize watu kuanzisha familia ila kiuhalisia sio kila mtu lazima aanzishe familia (mume, mke au mtoto) Kuna watu hawastahili kabisa kuwa na familia Angalia matukio haya ya 2025/2026 Kuna huyu mwanamke, amemuua mume wake kisa mali, akamfunga kwenye...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Zama za Babeli (Iraq) Uajemi (Iran) na Rumi zimeshapita Iran haiwezi kuinuka Tena LAZIMA ibondwe Kutimiza unabii tusiwe wavivu kusoma maandiko

    Uajemi na umedi ni Dola kubwa lilotawala ulimwengu miaka mingi kabla ya Kristo Baada ya hapo ndipo warumi wakatawala Dunia Kwa muda mrefu sana Hadi Leo alama zake tunaziona Baada ya Rumi kuanguka Marekani kama Pembe mojawapo kati ya mataifa ya ulaya ndo superpower wa dunia ingawa hawezi kuwa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Wakenya lazima mbadilike, someni alama za nyakati, Kenya sio mkubwa kuliko wenzake wote

    Mfanyabiashara Rostam Azizi ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Machi 11, 2026 jijini Nairobi, Kenya wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media Group (NMG). https://www.youtube.com/watch?v=k6BN7BQ7LQc ============================== Pia soma ~...
Back
Top Bottom