lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tunasherekeaje skukuu wakati ndugu zetu wametwa na kuuwawa na miili hatujapewa tukazike hili suala samia na genge lake lazima watalipa.

    Tunasherekeaje skukuu wakati ndugu zetu wametekwa na kuuwawa na miili hatujapewa tukazike hili suala samia na genge lake lazima watalipa.
  2. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Lazima kila mtu ashereheke Krismas

    Hili sio ombi ni AMRI. Kila mtu lazima ashereheke Krismas. Kuendana kinyume na hapo utajiweka kwenye wakati mgumu. Na usije kulaumu mamlaka takatifu. Vijana wa Zayuni kwaanzia leo usiku hadi kesho jioni watafanya doria maalum kukagua kila nyumba, kaya, mji na familia. Kubaini kama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano si kitu cha lazima ndiyo maana yanahamasishwa na si kulazimishwa

    Wakuu, Kuna watu wamekuwa wakiwashambulia na kuwatukana akina Maria Sarungi na wenzake kwa kuhamashisha maandamano kwa kuhamashisha watu waandamane. Mi naona ni bora hawa watu wanaowashambulia maria Sarungi na wenzake nao wahamasishe watu wasiandamane kisha watu watachagua kipi cha kufuata...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kizazi hiki kinachosoma kwa kutumia Artificial inteligent lazima mabumunda yajazane kwenye ofisi za umma

    Yaani upuuzi mtupu. Unakuta kijana anapewa swali na mwalimu wake. Anatumia simu kwa akili mnemba ili kupata majibu. Taifa linazalisha mabumunda. Ndio maana uwezo wa kuperfom umepungua sana. Ofisi zimejaza mabumunda tupu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Robert Alai: Tanzania Shida siyo Samia, shida ni system (mfumo), ili kufanikiwa lazima ing'olewe

    Wakati akizungumza na Radio 47, Robert Alai ameeleza kuwa shida si Rais Samia bali ni mfumo mzima uliopo hivyo ili kufanikiwa ni lazima ung'olewe. Amesisistiza kuwa anaamini kwamba shida siyo Samia, shida ni CCM.
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Uvunjaji mkubwa wa sheria, unaofanywa na mamlaka kwa kushirikiana na baadhi ya askari wapenda rushwa hauvumiliki na lazima ukomeshwe

    Uvunjaji mkubwa wa sheria, unaofanywa na mamlaka kwa kushirikiana na baadhi ya askari wapenda rushwa hauvumiliki na lazima ukomeshwe. Tunapinga vikali watu wote wanaofanya mauwaji na utekaji ambao kwa vyanzo vya kuaminika vinafanywa na vyombo vya usalama vikiongozwa na samia havikubariki na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kaacha legacy mbaya sana kwenye usalama wa nchi hii!

    Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku elewa kuwa, Ili mshindi apatikane, ni lazima shindano liwepo, Oktoba 29 ilikuwa siku ya mauaji ya halaiki

    Nakusalimu Mzee, Ulichokisema siamini kimetokana na umri wako kuwa mkubwa kwamba unapoteza uwezo wako wa kuchanganua mambo. Ukimuuliza mtanzania yeyote mbali na Hawa wauwaji kwamba siku ya October 29,2025 kulikuwa na tukio Gani kubwa nchini? Utajibiwa kuwa, October 29 ilikuwa siku rasmi ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiliba: Lazima umma ijulishwe waanzilishi wa matukio batili Oktoba 29 ni wanaharakati

    Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 14, 2025 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amesema lazima umma kujulishwa wahusika na waanzilishi wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuata ambao ni wanaharakati "lazima umma ujue tutakuwa ni...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchange: Uhalali wa uchaguzi sio lazima CHADEMA washiriki

    Kada wa CCM, Mchange Habib Mchange amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoshiriki uchaguzi si kigezo cha uchaguzi kutokuwa halali
  11. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiliba: Shughuli za kiharakati lazima zisisitize amani na upendo siyo kueneza hofu na chuki kwa wanajamii

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi na Taasisi za Elimu, Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025 akielezea shughuli za kiharakati zinazoendelea mitandaoni amesema shughuli za uharakati lazima isimamie misingi ya kudumisha amani, upendo na kuunganisha taifa na siyo...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza

    Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza. Waambieni sisi tupo sana
  13. S

    JamiiForums Tanzania Usiifananishe Tanzania ya sasa na ilivyokuwa Libya kipindi cha M.M.A.M-GADDAFI lazima niipambanie TANZANIA yangu

    WATANZANIA walio wengi hawajaamka , wapo kwenye giza nene
  14. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuhuma za Jeshi la Polisi kuzuia majeruhi wasitibiwe wapelekwe mochwari ni za kusikitisha. IGP lazima ajiuzulu.

    Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi. Hata kama serikali itakana kama kawaida yake lkn hili tukio ni la kinyama sio la kibinadamu kabisa. Hivi leo polisi waliofanya...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nauhakika Nyerere angekua yu hai, lazima angetekwa katika utawala huu

    Kwa jinsi mambo yalivyo utawala huu, Nyerere amgekuwepo na zile hotuba zake, nina uhakika wanamtandao wasingemuacha. Hawa watu hawacheki na yoyote
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania ICC yazidi kunukia kwa Samia na Wakuu wa Vyombo. Mbunge wa Congress Marekani ataka Uchunguzi huru Mauaji ya raia Tanzania

    Nilisema na nitasema tena. Huwezi ua maelfu ya watu alafu Dunia ikakuacha. Mbunge wa Bunge la Congress Marekani Ayanna Pressley ametoa tamko kudai uchunguzi huru wa Kimataifa kuhusu mauaji maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na vyombo vya Ulinzi wa Usalama wakati na baada ya uchaguzi. Ikumbukwe...
  17. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukombozi, then reforms kubwa ni lazima!

    Haya yote ambayo polisi na vyombo vya usalama wanayafanya ya kuteka, kutesa wananchi hata ambao hawajahukumiwa bado (ingawaje hata aliyehukumiwa hastahili kuteswa nje ya hukumu aliyopewa) yanaruhusiwa na ni sehemu ya training yao, na hawawezi kufanya tofauti, mtalalamika mnavyotaka lkn polisi...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ngoma inogile. Baada ya Vyombo vya Kimataifa kumwaga ukweli, Wahutumiwa wa Mauaji wanaweza kushtakiwa popote sio lazima ICC

    Kwa mujibu wa Sheria za Nchi mbalibali duniani Mahakama za Nchi husika zinaweza kutoa hati ya Kukamatwa Wahutuhumiwa Wanaotuhumuwa kutenda Makosa dhidi ya Binadamu. Kwa kuwa Chombo kikubwa kabisa cha habari duniani CNN kime confirm kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama kuua raia kipindi na baada...
  19. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Manara: Watoto wazuri wanazaliwa kila siku, Nitaoa ila lazima nifanye upembuzi yakinifu,

    Wakuu naona Manara hajakatia tamaa bado suala la ndoa, amedai watoto wazuri wanazaliwa kila siku anaachaje kuoa kwa mfano
  20. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Manara: Udiwani wa kuvaa majoho na masuti lazima tuache

    Katika mkutano wa waandishi na waandishi wa habari alioufanya leo Novemba 20, 2025 Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya kariakoo Hajj Sunday Manara ameeleza kuwa udiwani wa kuvaa majoho na masuti kwa sasa lazima uachwe akitilia mkazo suala la uwajibikaji kuliko kuzingatia vyeti...
Back
Top Bottom