Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
Haki ya kwanza ni yeye na wenzake walioshiriki utekaji, utesaji, ulawiti na ubakaji pamoja na mauaji ya halaiki October 29 na kuendelea ni yeye kuachia kiti alichokalia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.