lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Video ya mzee Malissa ina maanisha nini? Rais Samia lazima ag'oke madarakani?

    Nimeiona video ya kada huyu wa CCM mfukuzwa ikidai kuwa watanzania wataandamana mpaka Samia aachie urais. Je, anamaanisha kweli? Kuwa kitendo cha kikwete kumpitisha rais Samia kwenye mkutano mkuu bila endorsement ya wanachama kimeleta mpasuko ndani ya CCM?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwani lazima utawale? Wahurumie watanganyika, kweli 9.12.2025 wafe kwa wingi kama last time?

    Yangu ni hayo. Ndio ujumbe wangu kwako. Yasitokee tena. Mimi nakipenda, naipenda Tanganyika, spare life!
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela

    Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela alafu heti hawa wizara ya afya wameipost ile video sio AI kuipost ni kujiaibisha kimataifa ile video sio AI kabisa wanaendelea kujivua nguo...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ili Haki Itendeke, Sio Tuu Itendeke, Bali ni Lazima Ionekane Imetendeka!, Kama Tumewashitaki Waandamanaji, Pia Tuwashitaki na Wauaji!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Jumapili ya jana.Short version for Gen ZiiInasemekana GenZii hawana time kusoma makitu marefu, hivyo Nawawekea short version kwa numbers Dini zote zinafundisha utii kwa mamlaka halali za nchi, kwa sisi Wakrsto tunafundishwa kumpa Mungu...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Damu za watanganyika zitalipwa tu, haitajali ni miaka mingapi. Kisasi chetu ni lazima, Samia achia madaraka, na Abdul jisalimishe

    Kila mahali kwenye vikundi vya whatsapp, kuna vilio vimetanda, kila familia imepoteza angalau mtu mmoja kama siyo zaidi ya moja. Wengine wamepoteza watoto wawili, wengine familia nzima imepigwa risasi, wengine mama na mtoto mdogo wa miaka wa miaka 2 wamepigwa risasi vichwani bila sababu.....Hao...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Fungueni vyuo, leteni wanafunzi bandia, Vijana tunahitaji kukusanyika. Lazima tuelewane

    Kuna dalili ya kuvuta miguu kuamua ni siku gani vyuo vitafunguliwa, lakini hata iweje tutataka kurudi vyuoni. Tunaporudi tuna letu jambo la moyoni. Hii siyo nchi ya CCM peke yao. Wale vihelehele wa CCM vyuoni tunakukla nanyi. Taarifa iliyopo wanaandaliwa wanafunzi bandia kuingia vyuoni...
  7. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ansbert Ngurumo: Ilikuwa lazima tuue watu ili kuhalalisha Urais wa Samia? Maneno mawili tu yatatuliza hali sasa: Poleni na Tumekosea!

    https://youtu.be/XspoH80_PEY?si=lLo0g68b3JeBsIHs 1. Hivi kulikuwa na ulazima gani kuondoa uhai wa maelfu ya vijana ili kuhalalisha utawala na Urais wa Samia na CCM yake huku akiwa tayari ana ushindi wa 99% hata kabla kura hazijapigwa? 2. Vijana hawa walianza kuandamana kwa amani, wakishangalia...
  8. heartbeats

    JamiiForums Tanzania GE2025 Matukio wakati wa uchaguzi, Serikali lazima iseme ile ni Collateral damage

    Tumeomboleza tumechoka, Serikali isiendelee kutia aibu kwa jàmbo walilofanya la kuua watu. Wakubali vile vifo, uharibifu na majeruhi ni collateral damage wao walikuwa wanajaribu kudhibiti fujo ila yaliotokea yalikuwa nje ya uwezo wao Waombe radhi hata wasipolipa mtu, wawakabidhi marehemu kwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Suluhisho ni moja TU, Polisi lazima walipe Gharama ya vifo vilivyosababisha kwa watanganyika wenzetu

    Tumefiwa wapendwa wetu kwa risasi Hadi tumepanick juu ya kuenenda kwenye taifa hili. Huruma ya Mungu iwe juu yetu, kama taifa tuwe na namna Bora ya kusuluhisha jambo hili. Ili wasio na hatia wasifikwe na madhara kama hayo yanayoweza kutekelezwa na wananchi wenye hasira Kali. Mungu tuhurumie...
  10. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Tanganyika ikilia ,Mungu lazima atasikia

    Kwa miaka mingi Mungu amekua akiitumia Taifa langu Tanganyika kama mapumziko na tumaini la wanadamu kutoka mataifa kadha wa kadha mbao tamaa na ukatili wa binadamu wenzao ziliwafanya wakakimbia nchi zao. Tanganyika ndio nyumba ya shuhuda za mamilioni ya wakimbizi wa kiafrika ambao sasa wanaishi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa LAZIMA wafanye hivi, vinginevyo…

    Tafakari haya: 1. Watanzania walio wengi hawakupiga kura 2. Wachache waliojitokeza walifurumshwa na Gen Z. 3. Mawakala hawakuwepo tena. 4. Waliojiandikisha ni 37M na CCM wenyewe hawana wanachama hata milioni 10. Je, kura 32 milioni za Samia zimetoka wapi? 5. Bila intaneti, wamesafirishaje...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Waandamaji fungeni barabara ili magari ya Polisi yasipite. Itapunguza mashambulizi

    Waandamaji ni lazima kufunga barabara magari ya polisi yasipite waje kwa miguu hii itasaidia kupunguza vifo maana asilimia kubwa wanaofyatua risasi ni wale wanaoshambulia kutumia magari Barabara zifungwe hakuna kuruhusu gari kupita ili kufanikisha maandamano ambayo hayatatoa uhai zaidi wa watu...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hatuombi mabadiliko bali ni lazima yafanyike mtake msitake. Kama mtu anafikiri sisi tunaomba, ngoja muone. Moto utawaka

    Hatuombi mabadiliko bali ni lazima yafanyike mtake msitake kama mtu anafikiri sisi tunaomba ngoja muone moto utawaka Tunataka nchi yetu tutakinukisha
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa. Ni kinyume na sheria pia

    Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa kinyume cha sheria pia
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Machawa wote waliodharau wananchi lazima tukawasalimie ili siku nyingine tuheshimiane

    Machawa wote walio dharau wananchi lazima tukawasalimie ili siku nyingine tuheshimiane wachunge sana hatutaki uchawa wao
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ili Tanzania ipone, ni Lazima CCM ife

    Hii kazi inayo endelea ya kuikomboa Tanzania kutoka katika mikono ya waovu; Samia na Genge lake ni muhimu; lakini haitatosha kuleta mabadiliko chanya endapo CCM kama chama itaendelea kuwepo. Kutokana na muundo wake na mfumo wa uendeshaji wa shughuli zake CCM daima itaendelea kuwa ni adui mkubwa...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ili Watuheshimu tena ni lazima tufanye jambo ambalo hawategemi kuwa tutalifanya

    Tulipofika Watanzania, CCM wameshajiona kuwa wao ni alpha na omega. Baada ya kuzinajisi taasisi zote na baada ya kunajisi mifumo yote wamejiona kuwa wao ni miungu. Hakuna chochote wanachowezwa kufanywa na yeyote yule. Ili kutoka hapo ni lazima Wananchi tuwaoneshe kuwa Nchi hii ni ya Wananchi...
  18. 4

    JamiiForums Tanzania Ombi mahalumu la kukutana na IGp , CDF , mkuu wa usalama wa taifa ikiwapendeza sio lazima.

    Wakuu kwema katika jina yule atupatiae mkate wa kila siku. Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani. Rejea mada tajwa hapo juu natamani kukutana na wakuu tajwa hapo juu sio kwa nia mbaya bali kutoa ushauri wangu binafsi juu ya uchaguzi...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hama lazima wasalimishe silaha zao ama sivyo tutawalazimisha-Donald Trump

    Baada ya magaidi wa Hamas kushindwa vita huko Gaza na kuwaachia mateka wote walio hai kinachofuatia sasa ni kusalimisha silaha zao kwa Amani wakikataa tutawapokonya kwa nguvu-Donald Trump "Mytake" Huo ndiyo mwisho wa Hamas!!! Wanajuta kwa nini Oct 07,203 walivamia Israel!!
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mwislamu anaamini ili uelewe maandiko ya Mtume S.W.A lazima ukariri alichokosema kwa kiarabu

    Kilekile alichokisema mtume Mohamed ukikisema kwa kipare hawakuamuni. Utasikia wamaata shaaula alaknau waakadari....tuutenmuuka mantashariii.
Back
Top Bottom